kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #101
Pole sana mkuu, ila naamini kila sehemu Mungu huwa anatupitisha kwasababuMimi wa ujanani aliniacha kwa dharau sana sema hakunisumbua sababu hatukuwa na Mali za kusumbuana (ila alibeba Kila kilichokuwa ndani akaniachia kitanda tu) nikasema nenda, kama utani vile mpaka sasa imebaki historia,. Alitumia njia nyingi kujipenyeza ili arudi lkn wapi! Nilikaa kisela mwaka mmoja nikaoa kitoto kibichi nikawachukua wanangu mpaka sasa maisha yanaendelea na shemeji yenu kanizalia wengine wawili maisha yanasonga. Ila bro kuachana na mwenza mliekaa nae kwa kipindi kirefu halafu mnawatoto ni kitu mbaya sana kidogo initoe kwenye mstari!
Yani wengine wanakuwa na experience ya kuacha na kuachwa wanaona kitu cha kawaida,, me nilishangaa namwambia tuachane anachekaa ety🚮Inasikitisha sana mkuu🥲
Anakuwa amefuta hadi namba yako huyoBora ata ww apost stata unaona wengne atuini ata post
Unakuta anao wengi mkuu, siyo kawaida kabisa kumvimbia mtu unayempenda namna hiyoYani wengine wanakuwa na experience ya kuacha na kuacha wanaona kitu cha kawaida,, me nilishangaa namwambia tuachane anachekaa ety🚮
Wewe ndo umemaliza kilakitu.Options zimekuwa nyingi sana mitandao imesogeza umalaya karibu zaidi Unakuta mtu ana magroup ya stage zote alizowahi kupitia katika maisha yake
Group la shule ya msingi , Group la 0 level/ A level group la Uni Bado group la kazini na kote huko ana ma-ex !!! Can you imagine!?
Bad enough ana experience ya kutosha sana ktika mahusiano, amesha Toka na wanawake/wanaume hamsini Moyo umeshakuwa kama jiwe do you think utamfanya nini mtu kama huyo
Na bado wewe ni mtu imara,safi sana.Bora ata ww apost stata unaona wengne atuini ata post
Hakuna asiyeumizwa na mapenzi sema ndiyo hivyo tu wengine tunayapotezeaMnajipa moyo tu hapa wote ninyi mkirudi vyumbani mwenu mnalizwa na mapenzi mpaka huruma, hapa JF mnajifanya keyboard warriors wakutype nyoo mapenzi hayaniumizi
Kwaufupi UMALAYA ni mwingi sana,watu tujifunze kutoumia.Ukiona huumizwi tena na mapenzi,
Tambua kua umeshakua malaya.
Suree aaha anaona mbn bado amebaki na majimbo/sponsors kulosse moja sio issues daah aisee😂😂Unakuta anao wengi mkuu, siyo kawaida kabisa kumvimbia mtu unayempenda namna hiyo
😂😂😂😂😂😂Options zimekuwa nyingi sana mitandao imesogeza umalaya karibu zaidi Unakuta mtu ana magroup ya stage zote alizowahi kupitia katika maisha yake
Group la shule ya msingi , Group la 0 level/ A level group la Uni Bado group la kazini na kote huko ana ma-ex !!! Can you imagine!?
Bad enough ana experience ya kutosha sana ktika mahusiano, amesha Toka na wanawake/wanaume hamsini Moyo umeshakuwa kama jiwe do you think utamfanya nini mtu kama huyo
Yaan hapo Beki zimewekwa Sub km zote ukiomba poo tu anaingizwa ingizo jipya wewe nenda kakae bench kidogo uangalie kabumbu ukiwa nje ya uwanja si umechoka kucheza wewe? Kaa nje ya uwanja uangalie kinachoendeleaSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Huu ni ushindani wa watu wasiojitambua. Kwamba wewe kumpiga chini kunakuongezea nini!Sasa hata hivyo itabaki kuwa mimi ndiye niliyempiga chini
Basi alikua hakupendi na hakua na ndoto ya kufika mbali na weweSina hizo tabia mkuu, ila tu sikuwa na mtu sahihi hakuwa na future plans
Anakua na OPTIONS nyingi sana,kama mdau alivyochangia hapo juu,unakuta kuanzia shule ya msingi alikoslma ana max,sekondari, chuo bado kazini na mbaya zaidi wanakua na magrupu kabisa ya shule,vyuo hadi makazini mwao.Ukimuacha mtu wa hivyo,chap tu nafasi yako inajazwa.Malaya hawezi akaachwa, akaumia
Anakata mti, anapanda mti.Anakua na OPTIONS nyingi sana,kama mdau alivyochangia hapo juu,unakuta kuanzia shule ya msingi alikoslma ana max,sekondari, chuo bado kazini na mbaya zaidi wanakua na magrupu kabisa ya shule,vyuo hadi makazini mwao.Ukimuacha mtu wa hivyo,chap tu nafasi yako inajazwa.
Nihonge mkinga? 😹Wewe ndiye unaye honga kumbe🙄 au sijaelewa