Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mwenye kujua thamani ya familia na ndoa hua ni mwanaume, na ndio maana huwa tunakuwa wahanga sana kuliko wao kwenye case kama hizo. Huwa tunafanya chini juu ku protect ila ndio hivyo mwanamke akisha anza seke seke.. ujue nje kuna jambooo
 
Huu ni ushindani wa watu wasiojitambua. Kwamba wewe kumpiga chini kunakuongezea nini!

Ujue kuna mtu anakuchoka, anatengeneza mazingira umpige chini ili usiumie.
Mimi sijajigamba wala nini ila sababu ni nyingi mno za kufanya hivyo, endapo angezirekebisha tusingefikia hapo
 
Safi sana,hii nimeipenda
 
Sasa we ulitaka akulilie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tumejifunza kupitia ninyi, hatutaki stress za mapenzi.
bora pesa ndo iniwazishe kuliko kamdada hata nyashi hakana au mdada mwenye nyashi afu hana hakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…