Lwetanyahu, Trump na Khamenei wote ni makafiri.
Hii vita waislamu haituhusu.
Ni mgogoro wa kisiasa kati ya nchi tatu za kikafiri kama ilivyokuwa mgogoro wa Urusi na Ukraine kwamba ni mgogoro wa kisiasa kati ya nchi mbili za kikafiri.
Israeli na Marekani wanapigana na ukafiri mwenzao wa Irani.
Sisi waislamu hii vita haituhusu.
Nasikia Pakistani ambao ni waislamu wenzetu wana mpango wa kumsaidia muirani.
Wakifanya hivyo watakuwa wanamsaidia kwa maslahi ya kisiasa na haitamaanisha kuwa mashia wa Irani wamesilimu.
Unajua haya mataifa yamewekewa vikwazo kwa muda gani na bado yanapigana tu? At the same time Israel anapata military support toka USA kwa kila vita anayojiingiza. Mwambieni azichape mwenyewe tuone uwezo wake.Kwa sasa amepatikana hapo Ukraine, na wameshamsoma uwezo wake; ndio maana ana kaa mbali na vita ya Iran.
Putin alimtisha Biden, Trump na MAGA ni maswahiba wa Putin.Kwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
Kobazi wa iran kazi kupanua mdomo na kuhara. Propaganda za kitoto😀 kobazi toka lini wakawa na akili mkuu?
Kwa sasa amepatikana hapo Ukraine, na wameshamsoma uwezo wake; ndio maana ana kaa mbali na vita ya Iran.
Wamemtoa SyriaMbona hao wanaomtafuta wana uwezo mdogo sana, mpaka leo wameshindwa kumtoa ndani ya mipaka Ukraine
Alianza na Crimea na sasa amejichukulia Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhzhia
Wamemtoa Syria
Unajua haya mataifa yamewekewa vikwazo kwa muda gani na bado yanapigana tu? At the same time Israel anapata military support toka USA kwa kila vita anayojiingiza. Mwambieni azichape mwenyewe tuone uwezo wake.
Muda ukifika ataondolewa tuMbona hao wanaomtafuta wana uwezo mdogo sana, mpaka leo wameshindwa kumtoa ndani ya mipaka Ukraine
Alianza na Crimea na sasa amejichukulia Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhzhia
Zaidi ya 20% ya ardhi ya Ukraine imetwaliwa na Russia
Muda ukifika ataondolewa tu
Kwa.sababu washasema haitoenda kutokea bora wangefanya kimya kimyaIrani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kula😁View attachment 3378707
Leo ni mwaka wa ngapi?Hakuna mwenye ubavu wa kumtoa Russia anaichezea Ukraine anavyotaka
Hizi ni mbwembwe tu za picha, hakuna kitu kwenye hayo mabati.Irani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kula😁View attachment 3378707
Marekani ameshashusha vitu vizitoIrani yeye kazi yake kuichapa Israel tu
Urusi Noth Korea na china wamembia Irani wewe mchape huyo Mbwa Koko Israel Marekani akija tuachie sisi
Labda kambi ya kufuga ngamia.Bado Russia ina kambi hapo Syria mbona Marekani na mashoga zake hawathubutu kuzigusa?
Leo ni mwaka wa ngapi?
Labda kambi ya kufuga ngamia.
Hizi ndizo sababu kuuKwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
Vita ndio mchakato wenyewe sasaMwaka wa 3 huu na hakuna aliyeweza kumuondoa