Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
Ogopa tumbo likisikia njaa
Riziki haramu zimekatwa
Mirija imefyekwa
Bandari ndio walikuwa wanaingiza bidhaa na kusingizia misamaha na pia wanakitakatishia fedha huko
Waache kelele tunajua wamekula vya haramu tangu uhuru
 
Wakomae na sadaka makanisani huko nchi haiendeshwi kwa matamko ya kipumbavu ya maaskofu uchwara.
 
Ila unaunga huo upuuzi wa mkataba mbovu., basi sawa simamia hoja zako za kijinga nasi tusimamie za kwetu.

Hakuna mtu anayekataa uwekezaji, watu wanapojitokeza na kukosoa mapungufu ya mkataba mnakimbilia kuwaita wachochezi.

Hakuna mwenye hati miliki ya hii Nchi, kila mzaliwa wa Nchi hii ni Mwenye Nchi na mkae mkijuwa yakuwa cheo ni DHAMANA tu.
 
Mkataba una ubovu gani?

Nimesoma mkataba hakuna sehemu nimeuona huo ubovu.

Tena kama hujui mimi ni mkristo tena mkatoliki
 
..serikali ilijaribu kutumia karata ya udini ktk suala la bandari naona inaelekea kushindwa.

..pia Ssh aache kutumia jinsia yake kama kichaka cha kujificha asikosolewe.
 
Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu. Mimi sitetei mwarabu natetea uwekezaji unaoleta mapinduzi ya kiuchumi kwenye Bandari yetu na uchumi wetu
We mpumbavu mmoja hata huna adabu kabisa. Mkataba wenyewe hujasoma, makelele tu. Sasa TEC wameshasema, na tuone kama mtaendelea na mkataba wenu wa kinyonyaji. Tutawanyoa kwa shoka
 
Kama watu hawataki mnalazimisha nini jamani au huo mkataba unakitu gani special tulikikosa miaka 60 iliopita mpaka nyie mking'ang'anie? Baada mnalia wenzetu sijui wanatumia uchawi gani
 
..serikali ilijaribu kutumia karata ya udini ktk suala la bandari naona inaelekea kushindwa.

..pia Ssh aache kutumia jinsia yake kama kichaka cha kujificha asikosolewe.
Serikali haiwezi kujiingiza kwenye huo ujinga. Hawa ndo wanatakiwa waache huo ujinga.

Kwa mambo wanayoyafanya wanatakiwa wafikiri kweli matokeo na matendo yao na mambo wanayoweza kuyazalisha huko mbeleni.

Ni upuuzi mnatoa eti tamko kwa Serikali. Nyie kama nani? Ili iweje?
 
Mkataba una ubovu gani?

Nimesoma mkataba hakuna sehemu nimeuona huo ubovu.

Tena kama hujui mimi ni mkristo tena mkatoliki
Wew hata uwe askofu mzee.., kama huoni dosari za waumin wako wapo watakaoziona. Tatizo letu watu weusi kwanza huwa ni Wanafiki sana, wabinafsi sana na wenye kuendekeza njaa.

Nina uhakika wew si mwanasheria, usisome sheria kama unasoma gazeti, kuna vitu huwezi kuvielewa. Ila kwa kuwa kila mtu amekuwa msemaji endeleeni, maana bora hata Mangungo ambaye hakujuwa kusoma wala kuandika.
 
Kama watu hawataki mnalazimisha nini jamani au huo mkataba unakitu gani special tulikikosa miaka 60 iliopita mpaka nyie mking'ang'anie? Baada mnalia wenzetu sijui wanatumia uchawi gani
Mkataba una shida gani kwani?

It's a bad precedent kwa dini kuonesha zina nguvu kuliko Serikali. Nchi yetu ina dini nyingi sana. Je vipi dini zingine zikianza kutoa matamko yao?
 
..wametoa tamko kama wananchi.

..serikali lazima itambue kuwa iko kwa ridhaa ya wananchi.

..hii habari ya kuuliza " nyie kama nani " inatokana na ulevi wa madaraka.

..nashauri Bakwata, Uamsho, KKKT, Hindu, Budha, nao watoe misimamo yao kuhusu bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…