Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Hawa Maaskofu si ndio walioata mgao wa ESCROW?

Wana Moral Authority ya kuwasemea watanzania?

Na waislaam wakisema tumfuate nani.
Serikali iendelee na utaratibu wa uwekezaji.
 
Kwani TICS ni wazawa? Au umekaririshwa kanisani?
 
Umekaririshwa kanisani ,kwenyw Jumuia za jumamosi

Sawa ,waambie watapike hongo ya mwarabu ,bandari ndiyo urithi wetu ,kamwe hatuwezi kumpa mwarabu milele,rekebisheni vifungu vya hovyo ndipo mumpe mwarabu.
 
Hujawahi kumsikia Tulia Ackson, Nape Nnaye. Jerry Silaa, Kuna mkataba wa Kanisa Katoliki na Serikali wa kurudishiwa mashule na hospitali wakati taasisi nyingine hawakurudishiwa aliwahi kuulizwa nani kabla hawajasaini?
 
Kun
Mtanzania wa kawaida mwenye uelewa wa kawaida saaana,anahofu kuu juu ya yale yaliyotokea yanayofanana na hili, watanzania tunajua na, vijana wetu tunawajua,wazee wetu tunawajua/tuliwajua, viongozi wetu tunawajua/tuliwajua waliyofanikiwa na ambayo hawakufanikiwa iwe ni kwa manufaa ya taifa au ya makundi waliyoyachagua.Chukua muda tafakari maoni, mawazo na mitazamo yao,na kwa pamoja kama taifa tutapata jibu lililo bora zaidi.sii kwa manufaa ya makundi ya kibaguzi ila tutaweza kuyaona manufaa ya taifa yalipo na yatakapo patikana.🤔
 
Mimi nimeuliza maswali yenye hoja
Kwa vile unakwepa hoja za TEC? Wewe ni mtu mmoja tu, weledi wa kupingana na hoja za viongozi wa TEC uwezo huo huna. Na nakuhakikishia kama Samia Hussein asipofanya yanayotakiwa, hii ishu itaenda hadi level ya vigango, na matokeo yake yataonekana uchaguzi mkuu 2025. Na huu utakuwa msimamo wa Wakristo wote kwa ujumla ikija uchaguzi mkuu.
 
Kutoka kwa kanisa au siyo
 
Waende mpaka kwenye vigango alafu waislamu na wengine waseme waende nchi nzima nao kuunga mkono muone kama tutakuwa na Tanzania moja. Nchi haiongozwi na kanisa wala misikiti
 
Waende mpaka kwenye vigango alafu waislamu na wengine waseme waende nchi nzima nao kuunga mkono muone kama tutakuwa na Tanzania moja. Nchi haiongozwi na kanisa wala misikiti.
 
Waende mpaka kwenye vigango alafu waislamu na wengine waseme waende nchi nzima nao kuunga mkono muone kama tutakuwa na Tanzania moja. Nchi haiongozwi na kanisa wala misikiti
Wewe ni mpumbaavu. Hata waraka wa TEC inaonekana hujausoma. Waraka unasema Samia Huseni ndiyo chanzo ch kuligawa Taifa kwa huu mkataba wake USIOKUBALIKA na Waarabu wake.
 
Wewe ni mpumbaavu. Hata waraka wa TEC inaonekana hujausoma. Waraka unasema Samia Huseni ndiyo chanzo ch kuligawa Taifa kwa huu mkataba wake USIOKUBALIKA na Waarabu wake.
Sasa mbona unakasirika na kits wenzio pumbavu, kwani wote lazima tukubaliane na maaskofu
 
Wewe ni mpumbaavu. Hata waraka wa TEC inaonekana hujausoma. Waraka unasema Samia Huseni ndiyo chanzo ch kuligawa Taifa kwa huu mkataba wake USIOKUBALIKA na Waarabu wake.
Nadhani wewe ndo mpumbavu!! Samia ameligawaje taifa? Waarabu wake ndo lugha gani hiyo? Kwa tabia hizo unaonekana kabisa una tabia za kipuuzi za kibaguzi.
 
Acha kubagaza jina la jaji. Wewe jiite mlalanjaampakaupewemabaki
 
Kama hamkubaliani pangueni hoja za TEC kimantiki na siyo kutuletea mipasho
Kwa hiyo unakubaliana na TEC kuwa wengi wasikilizwe hivyo turudi kwenye mfumo wa Chama Kimoja maana kipindi hicho watu wengi walipendekeza tuwe na mfumo wa Chama kimoja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…