Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Kwa hiyo unakubaliana na TEC kuwa wengi wasikilizwe hivyo turudi kwenye mfumo wa Chama Kimoja maana kipindi hicho watu wengi walipendekeza tuwe na mfumo wa Chama kimoja!!
Huna hoja wewe king'ang'anizi nimekudharau sana. Huna weledi kabisa. Wewe unaweka hisia na mapenzi yako kwa samia huseni mbele, halafu kazi yako ni kuteteta tu BLINDLY hata kwa kupindisha logic if you can get away with it. Hivi wewe ni mwanamke?
 
Huna hoja wewe king'ang'anizi nimekudharau sana. Huna weledi kabisa. Wewe unaweka hisia na mapenzi yako kwa samia huseni mbele. Hivi wewe ni mwanamke?
Sasa ukinidharau unanipunguzia nini? Mimi mapenzi yangu ni kwa Tanzania na ninataka ipate maendeleo ya kweli sio chuki zake mnazoendekeza kwa upuuzi wenu tu
 
Mimi ni mwanasheria. Na nimezungumza kama Mwanasheria. Kwenye suala la Bandari hakuna ubaya wa mkataba na ninachoona ni watu kutaka kupush ajenda zao walizokuwa wamezificha kupitia suala hili la bandari
Maana wewe kwa sheria zako ukinunuliwa jumla , pamoja a vizazi vyako, hakuna noma.
 
Moja ya taasisi zenye mfumo na organaizesheni thabiti from the grassroots to the top ni Kanisa la Mungu..

Kanisa likisimama na likiamua kusambaratisha tawala na mamlaka za kiserikali za kidunia, ni ishu ya muda mfupi sana kila mfumo wa uovu wa serikali utatiishwa na kuvunjiliwa na kusambaratishiwa mbali kabisa..

Hongereni baba zetu maaskofu wa kanisa Katoliki. Mmeamua kusimama upande wa haki na walio upande wa haki wanakuwa upande wa Mungu - Yehova.

Natangaza rasmi kuwa, that is the end of the disgusting story of bandari scandal...
 
Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.

Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??

Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Kama nchi ikiingia kwenye matatizo itakuwa imesababishwa na viongozi wa serikali kutokutoa uhuru mpana wa kuujadili mkataba wa bandari na kutotaka KUREKEBISHA ukakasi ULIOPO kwenye mkataba. Maaskofu wametumia haki yao ya KATIBA, ambayo inatoa UHURU wa kutoa MAONI kwa kila mtu. Unapojaliwa kuwa na ELIMU ya jambo fulani halafu UKAKAA kimya wewe unastahili hukumu kubwa mbele za MUNGU yakitokea matatizo huko mbele.

NB
Baraza la maaskofu (TEC), halikuanzishwa ili kuangalia upepo wa BAKWATA, lilianzishwa kwa mujibu wa interests zao. Kutoa TAMKO kwa BARAZA LA MAASKOFU hakujaanza Leo. Ni muhimu uhuru wa watu wa MAONI uheshimiwe hasa katika mambo yanayoleta ukakasi ili kujenga UMOJA WA NCHI YETU.
 
Moja ya taasisi zenye mfumo na organaizesheni thabiti from the grassroots to the top ni Kanisa la Mungu..

Kanisa likisimama na likiamua kusambaratisha tawala na mamlaka za kiserikali za kidunia, ni ishu ya muda mfupi sana kila mfumo wa uovu wa serikali utatiishwa na kuvunjiliwa na kusambaratishiwa mbali kabisa..

Hongereni baba zetu maaskofu wa kanisa Katoliki. Mmeamua kusimama upande wa haki na walio upande wa haki wanakuwa upande wa Mungu - Yehova.

Natangaza rasmi kuwa, that is the end of the disgusting story of bandari scandal...
Kawaambie wakasambaratishe Serikali ya China au Marekani au Urussi! Hizo hoja zenu ni hoja mfu ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya kujilisha ujinga tu

Sasa nakuhakikishia. As long as Serikali ndo inafanya maamuzi kwa faida ya nchi mkataba wa Bandari unaendelea na faida zitakazoonekana zitawaumbua hao wapuuzi wote wanaoficha chuki zao kwenye hoja za mkataba
 
Kama nchi ikiingia kwenye matatizo itakuwa imesababishwa na viongozi wa serikali kutokutoa uhuru mpana wa kuujadili mkataba wa bandari na kutotaka KUREKEBISHA ukakasi ULIOPO kwenye mkataba. Maaskofu wametumia haki yao ya KATIBA, ambayo inatoa UHURU wa kutoa MAONI kwa kila mtu. Unapojaliwa kuwa na ELIMU ya jambo fulani halafu UKAKAA kimya wewe unastahili hukumu kubwa mbele za MUNGU yakitokea matatizo huko mbele.

NB
Baraza la maaskofu (TEC), halikuanzishwa ili kuangalia upepo wa BAKWATA, lilianzishwa kwa mujibu wa interests zao. Kutoa TAMKO kwa BARAZA LA MAASKOFU hakujaanza Leo. Ni muhimu uhuru wa watu wa MAONI uheshimiwe hasa katika mambo yanayoleta ukakasi ili kujenga UMOJA WA NCHI YETU.
Viongozi wa serikali hawajatoa uhuru wa kujadili kivipi?

Uliwahi kusikia Kanisa Katoliki linasema tubaki na mfumo wa Chama Kimoja maana sauti ya watu ni ya Mungu? Au hujui kuwa watanzania kwa wingi tena kwa takwimu za uhakika walikataa mfumo wa vyama vingi?

Serikali ikifanya maamuzi ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi na hadi leo hakuna anayetaka kuwaza kuwa ulikataliwa na watu wengi na sauti ya watu ni sauti ya Mungu
 
Facts kwa mtazamo wako.
Na wao hizo walizozitoa ni facts kwa mtazamo wao.
Sawa.
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuwa watu wengi walikataa mfumo wa vyama vingi na sauti ya watu ni sauti ya Mungu?
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!

Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Itisha press umwage nyongo yako.

Maaskofu wapo bize kusimamia shamba la Bwana. Sasa wewe kujifanya unawauliza maswali huku ukijua unatuuliza sisi tunaopinga contents mbovu za mkataba ni janja ya bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Samia katia aibu sana taifa
 
Mkuu hakuna anayekataa maendeleo tatizo vifumgu kadhaa vya huo mkataba havipo sawa..wengi wameona na wamesema
 
Itisha press umwage nyongo yako.

Maaskofu wapo bize kusimamia shamba la Bwana. Sasa wewe kujifanya unawauliza maswali huku ukijua unatuuliza sisi tunaopinga contents mbovu za mkataba ni janja ya bure
Shamba la Bwana ndo kutoa matamko dhidi ya mipango ya Serikali ya maendeleo inayopanga kwa faida za wananchi wake?
 
Back
Top Bottom