Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Wanabwabwaja tu hao wabaguzi, mkataba umepitishwa na bunge na juzi mahakama kuu imeubariki. Hii ndiyo mihimili ya dola hiyo takataka ni kundi gani, km kazi ya kueneza injili inewashinda waanzishe chama cha siasa waite TEC.
We jamaa emu Ivi unajua ata utafiti unafanyika vipi?
 
We we ni sehemu ndogo sana ya wanaoukubalia huu mkataba wa kihuni
Mimi nimefanya utafiti mitaani,vyuoni,walimu shule ya msingi na sekondari kote huko mkataba hawautaki.90% ya watanzania hawautaki
 
"....Tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa mda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu.

Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na kwalo sisi si Taasisi yenye kutamka jambo kwa kubahatisha!"

Padre Kitima (PhD).

Chanzo: DW Swahili.
How. The church cannot be superior than God himself. Remember the president is chosen by God. The church is contradicting itself. Kuanzia Leo nalihama hili kanisa nakuwa muislamu mana ni upuuzi tu na kutaka kujitukuza
 
Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
We ni nyumbu tu hakuna unaloelewa. We ndio unajua kuliko majaji wa mahakama kuu? Kenge
 
TEC hawajawahi kukosea. Wale ni jopo la wasomi na wanajua nini wanasema.
Bila shaka katika walioshiriki kwenye huu mkataba, kuna ambao wameshaenda "kuungama"! Wacha tuone atakapingana na "sauti ya Mungu" (Vox Populi, Vox Dei)🤔🤔
 
TEC wanawazumzia wananchi wenye akili,wajinga wajinga kama wewe no.
Umeelewa nilichomaanisha ? Namaanisha na Mimi Siukubali, ila sihitaji kuzungumziwa na mtu yoyote ili niikubali au niukatae and since na mimi ni mwananchi na tupo kama mimi zaidi ya mmoja technically wapo sawa kwamba kuna mimi tunaukataa
 
Hiyo serikali imemuuliza mama yako au baba yako?. Toa upuuzi pumbavu we.
 
Wewe hapo ulipo umebakiza tu kuvuliwa ubingwa. Fanya kazi, acheni uchawa wa kipumbavu
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Kwani wakiita wananchi na wewe utaenda?⁰

Katika watu wanaostahili kunyongwa hadharani ni pamoja na wewe!
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Kwani wapi TEC wamesema wananchi 'wote' hawaukubali huo mkataba? Wewe ni kati ya wachache mnaoukubali na ni haki yako pia
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Achana nao walevi wale mkuu washajitia wanzuki zao wanabwabwaja tu

Wao kama nani waipangie serekali chakufanya
Shenzi zao
 
Back
Top Bottom