We jamaa emu Ivi unajua ata utafiti unafanyika vipi?Wanabwabwaja tu hao wabaguzi, mkataba umepitishwa na bunge na juzi mahakama kuu imeubariki. Hii ndiyo mihimili ya dola hiyo takataka ni kundi gani, km kazi ya kueneza injili inewashinda waanzishe chama cha siasa waite TEC.
Hakuna shortcut tujadiliDuh.....uzi ufungwe!
How. The church cannot be superior than God himself. Remember the president is chosen by God. The church is contradicting itself. Kuanzia Leo nalihama hili kanisa nakuwa muislamu mana ni upuuzi tu na kutaka kujitukuza"....Tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa mda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu.
Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na kwalo sisi si Taasisi yenye kutamka jambo kwa kubahatisha!"
Padre Kitima (PhD).
Chanzo: DW Swahili.
We ni nyumbu tu hakuna unaloelewa. We ndio unajua kuliko majaji wa mahakama kuu? KengeHoja 8 muhimu za TEC
14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):
14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.
14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.
14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.
14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.
14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.
14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
Bila shaka katika walioshiriki kwenye huu mkataba, kuna ambao wameshaenda "kuungama"! Wacha tuone atakapingana na "sauti ya Mungu" (Vox Populi, Vox Dei)🤔🤔TEC hawajawahi kukosea. Wale ni jopo la wasomi na wanajua nini wanasema.
Unajua kazi za mbunge?Wao serekali wameuliza kila mtu?
Majaji wanaopokea maelekezo namna ya kuamua kesi hao ndio majaji?We ni nyumbu tu hakuna unaloelewa. We ndio unajua kuliko majaji wa mahakama kuu? Kenge
Umeelewa nilichomaanisha ? Namaanisha na Mimi Siukubali, ila sihitaji kuzungumziwa na mtu yoyote ili niikubali au niukatae and since na mimi ni mwananchi na tupo kama mimi zaidi ya mmoja technically wapo sawa kwamba kuna mimi tunaukataaTEC wanawazumzia wananchi wenye akili,wajinga wajinga kama wewe no.
Nani sasa hajasoma dunia ya leo? Tafuta sababu nyingine dunia ya leo kama hujasoma ni wewe na familia yako.TEC hawajawahi kukosea. Wale ni jopo la wasomi na wanajua nini wanasema.
Hata TWAWEZA Wasingeukubali!!!!Anayeukubali ule mkataba simply hana akili. TEC itakuwa walitazama wanaojitambua tu, mazezeta wakawaacha.
Ndege ya Raisi inahangaikia Nini kilasiku Dubai au inafuata dawa ya Korona kama Kabudi kule Shelisheli!!Umeshapita sasa jinyonge wewe
Kwahiyo Hawa walioingia huu mkataba wamesoma?, Dah kweli wasomi wa Tz Kama ndio Nape ndio maana humu jf tuna wajinga wengi Kama wewe.Nani sasa hajasoma dunia ya leo? Tafuta sababu nyingine dunia ya leo kama hujasoma ni wewe na familia yako.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kwani wakiita wananchi na wewe utaenda?⁰Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Kwani wapi TEC wamesema wananchi 'wote' hawaukubali huo mkataba? Wewe ni kati ya wachache mnaoukubali na ni haki yako piaMfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Mimi waliniuliza na familia yangu tukaukataaMfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Achana nao walevi wale mkuu washajitia wanzuki zao wanabwabwaja tuMfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?