Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Hapa kanisa nimetibua Memorundum ya kuwapa ruzuku kwenye kiradi yao.

Serikali ijionfoe kuendesha Hospital na shule za kanisa maana tunalipia matibabu.

Ili Maaskofu wawe wamewatendea haki watanzania.
 
Hizo takwimu zako ni za wapi? Utafiti uliufanya lini?
Niliwahi kusema kuwa Lord denning ana matatizo ya ubongo! Ni mfuasi wa CCM asiye fikiria kabisa.

Hawa cct, wako smart kweli kweli. Waumini wao ni wengi in such a way wakiwaambia mtu ni mbaya asopate kura, hapati kweli.

CCM kama hawajipendi waendelee kushupaza shingo.
 

Bandari za watanzania wote Kama haziendeshwi kwa faida tarajiwa basi wapewe watu waendeshe serikali ikusanye Kodi.
Kama mkataba ni kwa manufaa ya watanzania viongozi waendelee na mchakato tuu hakuna haja ya kusitisha,
 
Reactions: Tui
Nitajie Hospital hata moja ya Rufaa inayomilikiwa na Bakwata au vyuo vikuu 2
Kwakuwa huduma zao zinalipiwa basi Serikali iache kutumia pesa za watanzania wote kuhudumia dini moja.

Hapo tutaelewana
 
Ni uelewa tu mdogo kaka, na ule ni mkataba kamili ukitaka kuelewa mantiki yake uusome wote kwa ukamilifu wake sio kifungu kimoja kisomwe kwa nia tu ya kutaka kufanikisha lengo la taasisi fulani.
Mkuu, kama mkataba una kifungu kinachosema kuwa hauwezi kuvunjika kwa sababu zozote zile hata kwa kushindwa kutekeleza mlilokubaliana, kwa maneno ya JPM "ni kichaa tu anaweza kuukubali"
 
Kama akili yako inaangalia kupata kura wewe utakuwa mjinga wa mwisho duniani.

Hoja hapa ni usalama na utengamano wa taifa. Taasisi za kidini hazihusiani na masuala ya uongozi wa nchi. Hazipaswi kuingilia masuala ya uongozi wa nchi.

Hawa wanadai hivi kesho waislamu wakidai hivi unataka Serikali imsikilize nani?
 
Reactions: Tui
Shida kubwa ya ndugu zetu wa Catholic wanadhani kwakuwa JPM hakumaliza muda wake ilikuwa ni haki yao kuendelea kutawala kuna ile hali toka Nyerere kwa bahati tu kuwa awamu moja baada ya nyingine imekuwa Catholic, Muslim, Catholic, Muslim sasa hili linawakera sana na wakiona kule CCM vijana waliojuu kama mastar wa baadae hakuna Catholic na hawa wanadhani wanahaki juu ya watu wote. Kuna agenda kubwa zaidi hili la bandari ni kichaka tu ndio maana haya yanaratibiwa na watu wako Nje, hilo linajulikana na hata Dr Slaa kasema sio siri tunaratibiwa na kikundi kinajita Sauti ya wa Tanzania. Hawa wengi wako nje na wanakereka jambo la uraia pacha linapigwa chini sasa wanatumia hii nguvu ili siku wakikaa meza moja wapate wanachotaka. CCM walilijuwa hili ndio maana wamekuwa wanalipinga, kwa sasa wanatumia chokochoko. Hawa watu ni hatari sana kama wanania nzuri hawa Sauti ya wa Tanzania ni kina nani? kwanini wanajificha hawasemi ni kina nani? wanaogopa nini?
 
Reactions: Tui
Kuna ule mkataba wa mwaka 1992 kati kanisa na serikali. Mkataba wa kanisa kuchotewa mabilioni ya shilingi kwa ajili ya shule zao na Hospital zao.
JEE WATANZANIA WALIO WENGI WAMERIDHIA MKATABA HUO?
 
Reactions: Tui
Mlio wengi mnaosapoti huo mkataba niwanufaika wa huu utawala., maana ni nadra sana mtu anayepata ugali kupitia utawala huu akwambie mkataba una mapungufu.

Tuliona wote Mahakama ilikili kuwa mkataba unamapungufu na bado ikatupilia mbali pingamizi., hapo raia watakuwa kweli na imani na hii mihimili mitatu na mnasema inajitegemea., au ilishaungana bado kutangaziwa tu.
 
Mimi nanufaikaje na huu utawala?

Kwa hoja zenu hizi za kijinga ndo mana nawaona nyie ni wajinga na mna agenda zenu za siri mnazozificha kwenye mkataba wa Bandari!

Kwa taarifa yako mimi ni mkristo tena mkatoliki ila siungi mkono huu upuuzi wa maaskofu wangu
 
Mkuu, kama mkataba una kifungu kinachosema kuwa hauwezi kuvunjika kwa sababu zozote zile hata kwa kushindwa kutekeleza mlilokubaliana, kwa maneno ya JPM "ni kichaa tu anaweza kuukubali"
Mkataba huo huo una kifungu cha serikali kuutaifisha wote mzima, umekisikia kikiongelewa popote hicho kifungu?.

Jiulize kwanini. Ni siasa za upotoshaji zina ushawishi mkubwa kwenye jamii yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…