Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kama huko nyuma uliwahi kosea, basi utaendelea kukosea?Naomba kuuliza miikataba ya serikali na makambuni ya Migodi wananchi walikubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huko nyuma uliwahi kosea, basi utaendelea kukosea?Naomba kuuliza miikataba ya serikali na makambuni ya Migodi wananchi walikubali?
Hajitambui ameona kanzu tende halua na ubwabwa wa bure unenda mwishoni katoka mafichoniKama huko nyuma uliwahi kosea, basi utaendelea kukosea?
Hiyo tayari imeendaBandari haiuzwi....wakauze za Zanzibar
Nimeambiwa na nani? Kwani nani kauza Bandari?punguza jazba ....umeshaambiwa bandari haiuzwi tena kwa upole na upendo.
kunywa maji
we jamaa mjinga sana. ati maaskofu ni kinanani hadi watoe tamko? kwani serikali ni kinanani hadi iamue kila kitu kwa ajili ya watu, na maana halisi ya uhuru wa kuongea uliopo kwenye katiba yako ni nini? na hivi haujui kama ninyi mlioko serikalini mmeajiliwa na sisi huku mtaani? tunawalipa mishahara na hamna mamlaka kutuamulia jambo ila sisi ndio tunawaelekeza nini tunataka mfanye? akili yako ni ya kipindi cha ujima.Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.
Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??
Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
kuuza wameuza na imeshaenda ila itawasumbua sana maishani mwao kwasababu historia itawahukumu. mikataba ya nyuma ambayo tumelipa mipesa mingi tuliikataa kama huu na ukifika muda matokeo yake tunalipa pesa. cha muhimu wananchi wameshaona kinachoendelea na 2025 watafanya maamuzi wakiwa na uelewa mkubwa zaidi wa nani anawafaa.Hiyo tayari imeenda
lofa ni wewe na mamako anayewaongoza huko ccm nyie makuwadi ya warabu koko.Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
kati yao hao woote hakuna askofu lofa hata mmoja. pia, usifikiri serikali ni miunguwatu wanaotuamulia maisha, wao ni waajiriwa wa wananchi, kuna siku watatoka, na wanatakiwa kufanya kile tunachokipenda wananchi, tusichokipenda hawatakiwi kufanya kwasababu sisi tunaowalipa mishahara kwa kodi zetu hatujakipenda. ukiwa na akili kama hii utakuwa umepata ukombozi, ila kwa namna ulivyo sasa unastahili kuishi porini na wanyama kwasababu huna tofauti na akili za nguruwe anayezaa watoto akawala yeye mwenyewe.mnajifanya mnaongoza wakati mnakula rasilimali zetu na kusumbua wanaowashauri. manguruwe makubwa nyie.Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
ninahisi waarabu wana compromising info kuhusu huyu mtu, sio hivi hivi.......Mkataba wa bandari ni mkataba wa kurudisha utawala wa sultan sio wa kuleta maendeleo
Alichofanya samia ni kusaidia waarabu kuja kutawala TANGANYIKA
Uwe wa kilaghai au usiwe wa kilaghai kwa hatua ambayo serikali imefikia sio Rahisi kuachana na huo Mkataba umetoka serikalini umepita bungeni umepita Mahkamani halafu kuna viongozi mbali mbali wa serikali na wa ccm wamepita maeneo mbali mbali ya Nchi kuwaaminisha watu kuwa Mkataba hauna tatizo halafu wauwache hee sio Rahisi na haitawezekana hao wananchi sii watawaona hawana maana kitu uwambie ni kizuri baadae uje uwaambie kibaya sii Rahisi Bandari ndio imeenda hiyoHayo yote waliyotoa Baraza la Maaskofu ni Lugha tu ya Staha, ila wanaamini huu mkataba ni WA kilaghai, sasa ulitaka wamwambie Rais huu ni mkataba WA kilaghai?
Wewe labda na mmeo!.Ushauri wao tumeusikia na tumeuchukua lakini hatuutaki.
Umepaniki?[emoji23]Ndo hapo.
Yaaani kuna watu wanajiona kama wao ndo wanaongoza nchi.
Sasa naelewa kwa nini China walipiga marufuku upuuzi huu wa dini
Ndio imekwisha pangiws,hujui kanisa ndio Alpha na Omega nchi hii?Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
Kwani wao kina nani kwangu?
Sawa., kwa uanasheria wenu huu ndio maana tunapigwa na tutaendelea kupigwa. Maana sheria hamuielewi bali mnakalili ili mfaulu mtihani.Hayo ni mawazo yako
Facts...... 🙂Mimi sina hayo maujinga ya kuchamba. Mimi naongea facts
Kakojoe kalale wewe jahili.Uipangie Serikali kitu cha kufanya na kutofanya?Jifurahishe kama keyboard warrior halafu ukimaliza bando lako utarudiwa na akili.Ndio imekwisha pangiws,hujui kanisa ndio Alpha na Omega nchi hii?
Wewe umeishi China?....Nini maana ya Serikali? China hakuna Serikali? Mbona hakuna kelele za makanisa ?
Nani kakudanganya. Bunge na Mahakama Kuu wamesharidhia hivyo ndio vyombo vyetu vikuu vya kutunga na kuitafsiri sheria hawa wengine wakaongoze vigango huko siyo fani yao.Ndio imekwisha pangiws,hujui kanisa ndio Alpha na Omega nchi hii?