Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.

Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??

Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
we jamaa mjinga sana. ati maaskofu ni kinanani hadi watoe tamko? kwani serikali ni kinanani hadi iamue kila kitu kwa ajili ya watu, na maana halisi ya uhuru wa kuongea uliopo kwenye katiba yako ni nini? na hivi haujui kama ninyi mlioko serikalini mmeajiliwa na sisi huku mtaani? tunawalipa mishahara na hamna mamlaka kutuamulia jambo ila sisi ndio tunawaelekeza nini tunataka mfanye? akili yako ni ya kipindi cha ujima.
 
Hiyo tayari imeenda
kuuza wameuza na imeshaenda ila itawasumbua sana maishani mwao kwasababu historia itawahukumu. mikataba ya nyuma ambayo tumelipa mipesa mingi tuliikataa kama huu na ukifika muda matokeo yake tunalipa pesa. cha muhimu wananchi wameshaona kinachoendelea na 2025 watafanya maamuzi wakiwa na uelewa mkubwa zaidi wa nani anawafaa.
 
Una mwandiko mzuri ila hauna hoja.

Unaposema kua ni mambo mengi ambayo serikali inqfanya bila kuungwa na wananchi unamaanisha kwakua serikali ina desturi ya kufanya hivyo basi hata kama jambo ni baya basi ifanye tu kwakua ni kawaida yake( mazoea).

Na hao wanaokosoa kwa mujibu wako wanakosea kwasababu ni lazima serikali ifanye watake wasitake, inabidi wananchi wakae kimya bila kuhoji wala kutilia shaka jambo lolote kisa serikali inafanya, serikali ijiamulie mambo bila kushirikisha wananchi wala kutoa taarifa nk

Na je serikali inaendeshwa kwa matakwa ya taasisi za kidini?? Kwamba wanafuata yatayosemwa na wakatoriki, wabudha au bakwata na sio kuangalia kipi ni sahihi??
 
Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.
kati yao hao woote hakuna askofu lofa hata mmoja. pia, usifikiri serikali ni miunguwatu wanaotuamulia maisha, wao ni waajiriwa wa wananchi, kuna siku watatoka, na wanatakiwa kufanya kile tunachokipenda wananchi, tusichokipenda hawatakiwi kufanya kwasababu sisi tunaowalipa mishahara kwa kodi zetu hatujakipenda. ukiwa na akili kama hii utakuwa umepata ukombozi, ila kwa namna ulivyo sasa unastahili kuishi porini na wanyama kwasababu huna tofauti na akili za nguruwe anayezaa watoto akawala yeye mwenyewe.mnajifanya mnaongoza wakati mnakula rasilimali zetu na kusumbua wanaowashauri. manguruwe makubwa nyie.
 
Mkataba wa bandari ni mkataba wa kurudisha utawala wa sultan sio wa kuleta maendeleo

Alichofanya samia ni kusaidia waarabu kuja kutawala TANGANYIKA
ninahisi waarabu wana compromising info kuhusu huyu mtu, sio hivi hivi.......
 
Hayo yote waliyotoa Baraza la Maaskofu ni Lugha tu ya Staha, ila wanaamini huu mkataba ni WA kilaghai, sasa ulitaka wamwambie Rais huu ni mkataba WA kilaghai?
Uwe wa kilaghai au usiwe wa kilaghai kwa hatua ambayo serikali imefikia sio Rahisi kuachana na huo Mkataba umetoka serikalini umepita bungeni umepita Mahkamani halafu kuna viongozi mbali mbali wa serikali na wa ccm wamepita maeneo mbali mbali ya Nchi kuwaaminisha watu kuwa Mkataba hauna tatizo halafu wauwache hee sio Rahisi na haitawezekana hao wananchi sii watawaona hawana maana kitu uwambie ni kizuri baadae uje uwaambie kibaya sii Rahisi Bandari ndio imeenda hiyo
 
Hawa maaskofu upole huu wameutoa wapi

Hii ilikuwa ni kutoa siku 10 tu mkataba uwe umevunjwa vinginevyo samia aachie urais
 
Ndio imekwisha pangiws,hujui kanisa ndio Alpha na Omega nchi hii?
Kakojoe kalale wewe jahili.Uipangie Serikali kitu cha kufanya na kutofanya?Jifurahishe kama keyboard warrior halafu ukimaliza bando lako utarudiwa na akili.
 
Ndio imekwisha pangiws,hujui kanisa ndio Alpha na Omega nchi hii?
Nani kakudanganya. Bunge na Mahakama Kuu wamesharidhia hivyo ndio vyombo vyetu vikuu vya kutunga na kuitafsiri sheria hawa wengine wakaongoze vigango huko siyo fani yao.
 
Back
Top Bottom