Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Nitag uzi wowote ambao unaweza kupata tamko la TEC. Nataka nilisome ndo nije nielewe mantiki ya maswali hayaWapi zimefutwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitag uzi wowote ambao unaweza kupata tamko la TEC. Nataka nilisome ndo nije nielewe mantiki ya maswali hayaWapi zimefutwa?
Mkuu Baraza la Maaskofu lilikemea vitendo vya kutekana na kuua kipindi cha Magufuli, tena kuna askofu mmoja yeye ndo alisema kabisa kuwa Serikali kufunga mikutano ya kisiasa sio haki cos kazi ya vyama hivyo ni siasa sasa kama wanafunga wanataka vyama vifange nini?Taifa limeingiaje majaribuni? Wakati magufuli anavunja mikataba ambayo leo inatufanya tulipe mahela kwa kesi tunazoshtakiwa huko waliwahi kutoa waraka kwa magufuli kusema asivunje mikataba?
Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi uliwahi kusikia sauti zao hadi saivi amekuwa mlemavu wa kudumu?
Mkataba wa bandari ni mkataba wa kurudisha utawala wa sultan sio wa kuleta maendeleo
Alichofanya samia ni kusaidia waarabu kuja kutawala TANGANYIKA
Inaonekana samia na waarabu wanamipango mingi iliyojificha ambayo sio mizuri juu ya TANGANYIKA yetu ambayo sisi hatuijui
Dp world washapewa bandari,hao Tecc ni vilaza tuhGame is over mkuu.
Utajikuta unapambana na hoja zako mwenyewe soon.
Jitahidi kumeza pirton hautakosa usingizi
Any-howGame over how?
Haya mkuu.Dp world washapewa bandari,hao Tecc ni vilaza tuh
Sasa wewe ndo hujui! Tics pale Bandarin alikuwa na Gati 2 tu! Na TICS alishindanishwa kwa mujibu wa sheria yetu ya manunuzi hakupatikana kama alivyopatikana DP World.Tics walipewa Bandari kipindi cha nani? Waliwahi kutoa waraka?
Wakati Magufuli anawaongezea Tics miaka 4 pale bandarini mwaka uliwahi kuona wakitoa waraka?
Mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa, hakuna anayepinga uwekezaji tatizo ni vipengele Embu tupe mkataba wa Southampton.Wapi imesemwa uwekezaji maana yake ndo hiyo? Hao waliofanya uwekezaji huko Southampton maana yake uingereza hawawezi kuendesha Bandari?
Akili ya wapi iyo? Wao wanavyopelekwa Vatican. Au kwenye mataifa mbalimbali kufanya kazi ya Bwana maana yake watu wa mataifa hayo hawawezi kufanya kazi ya Bwana?
Mkuu Baraza la Maaskofu lilikemea vitendo vya kutekana na kuua kipindi cha Magufuli, tena kuna askofu mmoja yeye ndo alisema kabisa kuwa Serikali kufunga mikutano ya kisiasa sio haki cos kazi ya vyama hivyo ni siasa sasa kama wanafunga wanataka vyama vifange nini?
Nakukumbusha! Unajua kwanini Askofu Niwemugizi anyang'anywe Passport yake?
Mikataba aliyovunja Magufuli ilikuwa ya unyonyaji ambayo ndiyo kama huu wa DP World kias wewe ulipewa dhamana pale unasema bora tuvunje kama kulipa tulipe kuliko kuwaachia mpaka shughuli za Bandari zitakapokwisha.
Nakukumbusha! Baada ya kuana haya Magufuli alileta sheria kuwa mikataba yote itakayoungiwa na Serikali inayohusu Rasimali za Taifa basi lazima ije Bungeni iidhinishwe, kwanini aliweka hivi? Ili watanzania wajue viongozi wao wanasaini vitu gani, kama kupinga wapinge na kama kuunga mkono waunge mkono.
Leo hii Samia anapeleka muswada Bungen kutaka kifungu hicho kitolewe na kiseme kuwa baraza la mawaziri likishapitisha jambo kuhusu mikataba ga Rasimali za Taifa iwe ndiyo mwisho.
Kumbuka Mikutano ya Baraza la Mawaziri ni siri, wewe huwezi jua wala huna mamlaka ya kuhoji maamuzi yeyote yaliyofanywa na Baraza la Mawaziri ata Mahakamani.
Nakukumbusha tena kuwa Katiba yetu Ibara 27 (1) (2) inasema kila mtanzania ana wajibu wa kulinda na kutunza Rasimali za nchi, Katiba haikuipa jukumu ili Baraza la Mawaziri wala Bunge wala Mahakama! Ila wananchi wote! Ila leo watu wanataka kuingia mikataba kisiri wananchi wasijue? Tunaenda mbele au tunarudu nyuma?
Mkataba ni mbovu acha zako. Hata mahakama imeonyesha reservation za msingi sana ila la ajabu wakatupilia mbali shitaka. Kwa namna nyingine walikubali hoja zile za kimsingi za walalamikaji karibu zote. Kwanza ni hili la kulazimu kubadili sheria ili zikubaliane na mkataba inaonyesha wazi mkataba umefungwa kinyuma cha sheria za nchi. Kwamba waislaam wao wakija na azimio kukubali mkataba ni mojawapo ya sababu kuutupilia mbali mkataba maana unaleta mgawanyiko hatari kwenye jamii yetu.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaunga mkono Serikali i reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Hoja yao kuwa Bandari tuiendeshe sisi hawakuiona wakati TICS anapewa pale Bandarini?Sasa wewe ndo hujui! Tics pale Bandarin alikuwa na Gati 2 tu! Na TICS alishindanishwa kwa mujibu wa sheria yetu ya manunuzi hakupatikana kama alivyopatikana DP World.
Kuhusu Magufuli kuwaongezea miaka 4 Tics labda kama huna habari kamili ila huyo Magufuli ndiyo alibadilisha mkataba wa tics ukawa wa vipindi vya miaka mi5 kama hawatakidhi viwango tuvitavyo basi waondoke watupishe! Bila hivo Tics angekuwepo mpaka leo.
Mwisho kabisa nakuuliza? Unajua Kwanini Dp World imetumia mgongo wa IGA?
Mkataba mbovu kivipi? Kama mtu hajui kutafsiri vifungu asilazimishe ukilaza wake kwa wengine!Mkataba ni mbovu acha zako. Hata mahakama imeonyesha reservation za msingi sana ila la ajabu wakatupilia mbali shitaka. Kwa namna nyingine walikubali hoja zile za kimsingi za walalamikaji karibu zote. Kwanza ni hili la kulazimu kubadili sheria ili zikubaliane na mkataba inaonyesha wazi mkataba umefungwa kinyuma cha sheria za nchi. Kwamba waislaam wao wakija na azimio kukubali mkataba ni mojawapo ya sababu kuutupilia mbali mkataba maana unaleta mgawanyiko hatari kwenye jamii yetu.
Ko ulitamani kuona wanaunga mkono hoja?? Wao wameweka hoja zao za msingi ko heshimu maoni yaoTunataka twende sawa. Sijahongwa na wala sitahongwa.
Vioengele vipi vina shida?Mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa, hakuna anayepinga uwekezaji tatizo ni vipengele Embu tupe mkataba wa Southampton.
Watu wa dini wasijihusishe na shughuli za Serikali. Si wakristo wenzangu si waislamuKo
Ko ulitamani kuona wanaunga mkono hoja?? Wao wameweka hoja zao za msingi ko heshimu maoni yao
Huutaki we na mkeo ??? Maana umetumia wingiUshauri wao tumeusikia na tumeuchukua lakini hatuutaki.
Kwa nini hawakuibua hoja ya Bandari tuiendeshe wenyewe wakati magufuli anawapa iyo miaka 5 ?Sasa wewe ndo hujui! Tics pale Bandarin alikuwa na Gati 2 tu! Na TICS alishindanishwa kwa mujibu wa sheria yetu ya manunuzi hakupatikana kama alivyopatikana DP World.
Kuhusu Magufuli kuwaongezea miaka 4 Tics labda kama huna habari kamili ila huyo Magufuli ndiyo alibadilisha mkataba wa tics ukawa wa vipindi vya miaka mi5 kama hawatakidhi viwango tuvitavyo basi waondoke watupishe! Bila hivo Tics angekuwepo mpaka leo.
Mwisho kabisa nakuuliza? Unajua Kwanini Dp World imetumia mgongo wa IGA?
Kwanini hamtaki kuelewa vifungu vya mkataba? ni vya hovyo?Mkataba wa hovyo kivipi?
Hao wapinga Kristo wakae kwa kutulia