Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama macho huna basi hata kupapasa huwezi ?Tupe uthibitisho wa maamuzi ya kupigiwa simu?
ccm inapenda kuzalisha watu wajinga ili iwatumie kubaki madarakani. Mtaji wa ccm ni watu wapumbavu1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaunga mkono Serikali i reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
haya umeyatoa msikitini,Kimsingi swala la Bandari ni Agemda ya Kanisa wanahubiri hayo makanisani hadi kwenye Jumuia,wanaambizana kwamba Wakioewa DP world waislaam watapewa kipaombele.
Unajua ukizoe kuka nyama ya mtu,always utakuwa unamuwazia hivyo kila mtu.
Kwa miaka Mingi sana kuna ubaguzi wa dini kwenye nchi yetu Wakristo hasa wakatoliki wanajifanya hii nchi ni mali yao.
Wanaamini kila kinachoridhiwa na Kanisa lazima kiridhiwe na Nchi,na kikikataliwa na kanisa lazima kikataliwe na nchi.
Kama ukivyosema ,wakati wa utawala wa Magufuli,pamoja na maovu mengi na mikataba mingi hawakuwahi kuihoji hawakuwahi kukemea ule unyama uliofanyika kwa sababu aliefanya ni mkatoliki mwenzao.
Kaingia Rais Samia,anasaini Mkataba wa DP world kama Magufuli alivyosaini Yapi Markez,lakini kila anaepinga ni Mkristo kama una rafiki mkristo mlieshibana atakwambia jinsi hii ageda inavyohubiriwa makanisani.
Slaa ameshamaliza kazi iliyompeleka mahabusu lazima aachiwe, wajinga ndio waliwaoBottom line hatutaki Bandari zetu zigawiwe kwa foreigners mkilazimisha msije kurukana huko mbele kwani ni lazima mtalipa, Watanzania wengi hawataki hivyo ni kama mlivyosikiliza na kumwachia W.Slaa pia na hili msikikize sauti ya wengi ni sauti ya Mungu …
Kuuza bandali ndio FACT? 😆Mimi sina hayo maujinga ya kuchamba. Mimi naongea facts
Swali la kwanza unao uhakika kuwa tulipiga kura huru na wananchi wakaukataa mfumo huo? Kama waliukataa iweje kura za Mrema(TLP) dhidi ya Mkapa(CCM) zilivunja rekodi kiasi uchaguzi ukafutwa na kuanza kuurudia kwa vipandevipande! Nyerere alisema hayo ili ajisafishe na baadae tuliona CCM ilikaria kufa shukurani kwa jeshi la polisi liliiokoa kwa kuwadhibiti wananchi dhidi ya CCM.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaunga mkono Serikali i reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Nisipolala na viatu ndio muungano utakuwa halali au vipi mkuu 😛 ?Mkuu
Usilale na viatu tu
si bandali ni bandari , samahani kwa kukuweka sawaKuuza bandali ndio FACT? 😆
Imeuzwaje?Kuuza bandali ndio FACT? 😆
Mtazamo wangu, sasa hivi wezi na majambazi wanalitumia kanisa.1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaunga mkono Serikali i reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Sasa Diasporas hawana majina au? yes wamejificha na kutumia watu nchini kuleta uchochezi na inajulikana wengi wana Pass za nje na hili linawakera sana maana wanataka ya nje na ya ndani. Diasporas wako wengi na wengine hawana habari na haya mambo ila hicho kikundi kidogo ni kina nani na nani ana funds hizi movement za chochoko nyuma yao. Lakini watajulikana tu ni muda tu.Wanajificha?yet umesema ni diasporas hueleweki.
Unadhani wameanza leo? Kwenye list ya waliopewaga za escrow na Rugemalila umewasahau? Kulikuwa na Maaskofu wawili wa hili kanisa pamoja na huyu Mama Tibaijuka. Its not a coincidence!!Mtazamo wangu, sasa hivi wezi na majambazi wanalitumia kanisa.
Wameshikwa pabaya.
Aliye mzima hawezi kuwaita maaskofu kuwa wapuuzi na wajinga. Ndiyo maana siamini wewe uliyewaita maaskofu wapuuzi na wajinga, utakuwa mzima.Mie mmoja wao kivipi?
Yote sawa, lkn vipi hizi Hoja zao 8Unadhani wameanza leo? Kwenye list ya waliopewaga za escrow na Rugemalila umewasahau? Kulikuwa na Maaskofu wawili wa hili kanisa pamoja na huyu Mama Tibaijuka. Its not a coincidence!!
Hakuna hoja hapa.Hoja 8 muhimu za TEC
14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):
14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.
14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.
14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.
14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.
14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.
14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
Kwani mjinga tusi? Mpuuzi nalo ni tusi?Aliye mzima hawezi kuwaita maaskofu kuwa wapuuzi na wajinga. Ndiyo maana siamini wewe uliyewaita maaskofu wapuuzi na wajinga, utakuwa mzima.
Kama ni tatizo la afya ya akili, ni bahati mbaya sana, siyo kosa lako la kujitakia. Unastahilo kuonewa huruma, na walio karibu nawe wakusaidie, japo magonjwa ya akili ni vigumu sana kupona kwa 100%.