Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

How. The church cannot be superior than God himself. Remember the president is chosen by God. The church is contradicting itself. Kuanzia Leo nalihama hili kanisa nakuwa muislamu mana ni upuuzi tu na kutaka kujitukuza
Kuanzia Leo nalihama hili kanisa nakuwa muislamu[emoji23][emoji23][emoji23]
70943382b43cfe1de943a0b7abba2627.jpg
 
Mfano Mimi mwenyewe naukubali huu mkataba Sasa iweje TEC wafanye technical error ya nna hii?
Wewe tatizo lako ni uelewa mdogo pia mara nyingi unatumia tumbo lako kufikiri ni vipi unaanza kuuliza na kushindana na watumishi wa Mungu
 
Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO
 
Shida ni nini? Wakiacha hao waarau bandari si yetu tunabaki nayo?

Au kwa kwa nini wasipewe bandari za Zanzibar kama sisi bara hatutaki?
Shida ni mkataba ila siyo uwekezaji

Ova
 
Mimi siukubali hata kidogo.Ingekuwa amri yangu wote walioshiriki kuandaa,kuushabikia,kuingia makubaliano na kuupitisha ningewanyonga siku ya I Ijumaa mchana.

Sijui kama wewe ungepona.

Mimi siukubali hata kidogo.Ingekuwa amri yangu wote walioshiriki kuandaa,kuushabikia,kuingia makubaliano na kuupitisha ningewanyonga siku ya I Ijumaa mchana.

Sijui kama wewe ungepona.
Kumnyonga tena alaa 😂😂😂
 
Kama una ukubali huu mkataba wewe ni kichaa, kwasababu ni kichaa peke yake anayeweza kukubali masharti hayo.
Weka na matokeo yake ya kidato cha nne!!Kule hakuna Dv IV ya form four.Form six sawa maana hutegemeana na mazingira
 
Mkataba wa bandari ni mkataba wa kurudisha utawala wa sultan sio wa kuleta maendeleo

Alichofanya samia ni kusaidia waarabu kuja kutawala TANGANYIKA

Inaonekana samia na waarabu wanamipango mingi iliyojificha ambayo sio mizuri juu ya TANGANYIKA yetu ambayo sisi hatuijui
Dah watu tumekwama, yaani mkuu unaamini kabisa kuna utawala wa Kisultani kupitia mkataba huu na unakula maokoto ya likes kama yote. Binafsi natamani marekebisho kwenye mkataba (iwapo kuna vipengele haviko sawa). Lakini hizi propaganda zitaligawa taifa letu kwa misingi ya udini. Hivi shida ni content za mkataba au mbia (DPW) wa mkataba?
 
Ninaposema hawa watu wana ajenda yao binafsi nielewe. Uzuri hii nchi kwa sasa nina uzoefu wa kutosha sana hivyo nawajua watu wake kuzidi mfano
 
Back
Top Bottom