Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

Huyu mwanaume mjinga sana, afufuliwe na apelekwe gerezani ili ahukumiwe kunyongwa hadi kufa.
 
Hali ya uchumi inavyokuwa ni mkanda mkanda halafu zikatokea stress za mapenzi, inapelekea mambo kama haya kutokea.

Tanzania ipo gizani. Mtawala hataki kuwasikiliza wananchi wake anapambana nao kupitia mbanano wa maisha magumu kinachotokea ni full sonona

Imeniuma sana hao malaika kuuawa kinyama. Wananndoa turudi kwa Mungu jamani
 
Kuna majitu wanawake wanaolewa nayo huwa ni mashetani,unaua watoto Kisa upumbavu wenu?
 
Migogoro ya Mke na Mume inawagharimu watoto ambao hawafahamu chochote.

Wangejimaliza wenyewe wakawaacha watoto.

Najua wanchofikiri wao wakishaaga Dunia watoto watapata tabu, hii ni dhana potofu

Watateseka ndio kwani uongo
 
Migogoro ya Mke na Mume inawagharimu watoto ambao hawafahamu chochote.

Wangejimaliza wenyewe wakawaacha watoto.

Najua wanchofikiri wao wakishaaga Dunia watoto watapata tabu, hii ni dhana potofu
Ni upumbavu tuu, kuna majitu yanawaza huu ushetani.
 
unaingilia kazi ya Mungu Sasa,wangapi walifiwa na wazazi wao wote wawili, still watoto walikuwa na Hadi umri mkubwa na Sasa Wana maisha mazuri,

Watoto wengipitia changamoto lakini wangekuwa tu kwa uwezo wa Mungu
Mimi baba yangu alifiwa na baba yake yaani Babu akiwa na miaka 5 alibakia na mama tuu so mbona alibahatika kutoboa hadi leo hii wapo wote baba,bamdogo,Shangazi nk?

Ni majitu mapumbavu tuu ndio yanawaza huo ushetani..
 
Ushauri wangu kwa vijana.
Usioe mwanamke mzuri, nenda Makete au Katavi ukapate mke mchapakazi na mwenye kujiheshimu.

Jitahidi kuoa flat screen maana Hawa sio rahisi kutongozwa. Njoo Marangu upate jiko linalojituma.

Wewe flat screen tunatongozwa sana tu [emoji23][emoji23]
 
Na mke mmoja tuu inachangia sana haya maumivu hasa kwa mtu muanifi na mtiifu kwa mkewe.

Fuatilieni haya matukio utakuta ni watu wasio na wenza wengine au asiye na kimchepuko pembeni.

NB: ni mawazo yangu tuu haya.
Nimewahi kuongea mara nyingi na narudia,mambo ya mke mmja ni ushenzi tuu Wala sio tamaduni za Africa bali Ulaya.
 
Wee bwana hivi mnajua maumivu ya kutombewaa mwanamke nyie?
Mie nilikuwa na sexmate ila siku nikaja kujua kabisa kuwa anatombwer na njemba nyingine sikulala wiki nzima. Ndio itakuwa mke...tusichukulie poa
 
We nae mpumbavu tu
Narudia kukwambia wewe ni mpumbavu mmja tuu na majitu kama nyie ni kuua kabla hamjaleta madhara kwa wengine..

Upumbavu wako usihamishie kwingine,hujawahi kupanga mtu azaliwe na Wala huwezi define destiny yake..

Ukishindwana na mpumbavu mwenzio unaitwa mke uaneni wenyewe tutawafukia tuu..

Nilishasema siwezi kulia Wala kusikitika kwa mtu aliyejinyonga au kujiua maana Bora life kuliko kuleta shida Kwa mwingine..
 
Usinichoshe na upuuz wako
 
Watu wamekuwa makatili over and over.

Ifike mahali ndoa zisitishwe, mtu akiamua azae kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…