Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Watu wa meko wanamhujumu mama
Kwani anashindwa vipi kujiuzuru watawale wengine.

Hizi propaganda sijui watu wa meko ndio wanamuhujumu ndio zitamuharibia maana failures zake watatupiwa mzigo watu wa meko .

Tanzania Ina watu zaidi ya milion 60 Kama yeye anaona nchi Ni ngumu aachie ngazi watakuja wengine , na sio kutupitisha kwenye rough road (ujambazi) wakati tulikuwa tumeshahau.
 
Wala.hakuna cha JPM .wewe ukachukue 10m bank cash unawazimu kwa nini usifanye bank transfer ni 10,000 tu u wape polisi shida

Acha upopoma wewe mandazi, sio kila jambo hutaka transfer, wewe kwa akili yako unafikiri aliyeuawa hakujua ya kuwa kuna kufanya transfer ?

Just imagin mtu unasherehe labda ya Harusi wanakamati wanataka wakahemee vitu sokoni, madukani n.k transfer unafanyeje hapo ?

Tujaribu kufikiria zaidi ya hapo
 
Unajiuliza majambazi yanapata wapi taarifa za mtu aliyetoka bank kuwa ana hela? Haya matukio yana uhusiano mkubwa na baadhi ya wahudumu wa bank wasiokuwa waamunifu
Kiufupi watu wa bank awameanza ungesee wao wa kuuza Ramani yani mambo ya ujambazi sasa yatarudi kama Enzi za Jk...Magu tutamkumbuka kwa mengi ikiwa huu upuuzi wa ujambazi hakikaa ulikoma kabisaa kesho sitashangaa kusikia gari limetekwa.. Mama inabdi awe mkali mnooo hasa tokana na tukio hili baadhi ya wakubwa wa polisi wapate joto ya jiwee nadhani watakaopewa madaraka upya wataelewa nini Magu alifanya mpka huu upuuzi uliisha kabisa.
 
Sijapotosha kama unabisha huyo mama alikuwa anafanya kazi chuo kikuu alipigwa risasi na tulimzika last year wanaishi karibu na Hospital maarufu Tegeta.Acha kukuza mambo tumeumizwa hata sio sasa nikipindi cha JPM
Kupotosha unapotosha wengi tunaishi Tanzania hii hii
 
Mambo yatakaa sawa tu tumpe muda zaidi
 
Kule alokuwa anaenda kutumia hizo hela mfano kulipa mafundi au kununua kitu huenda ndiko ambako kulikuwa na adui wa karibu na ikawaje akaenda bank matawi mawili tofauti?
Mbona hiyo hela ni ndogo kuweza kutolewa kwenye tawi moja? Au Banks mbili tofauti?

Bank teller naye anaweza isaidia Polisi vizuri.

Yani lazima kuna taarifa zili leak mahali kwa hao wauaji.

[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Haya yalidhibitiwa au habari zake hazikutakiwa kuwekwa hadharani sababu zilimchukiza mtawala
 
Mkuu habari inasemaa haijulikani kiasi alicho ibiwaa....wee unatuambia milioni 4
 
Fani yako ni hii hapa kwenye siasa hapakufai mkuu!
Tuliza mshono boss,,kwenye jukwaa la mapenzi nina haki ya kuchangia kutokana na mada inayojadiliwa na hata kwenye siasa vile vile. This is too low kutoka kwako ,so kuleta hapa comment yangu kutoka kwenye jukwaa la mahusiano inakusaidia nini wewe? Magufuli is dead and you should accept that .
 
MAJAMBAZI, WEZI, VIBAKA tunaishi nao mitaaani hivyo basi ili kufanikisha kudhibiti ujambazi na wizi ktk mitaa yetu ni lazima sisi wananchi kwanza tuwe na utamaduni wa kuwafichua kwa kutoa taarifa za siri Polisi.

tuache tabia ya kuwaficha wahalifu ktk maeneo yetu, lkn pia tusiwapangishe nyumba watu tusio wafahamu vizuri.

majambazi na wezi tunawafuga sisi wenyewe kwenye mitaa yetu


tunawaomba polisi wasiwe na simile kwa kichwa cha jambazi yeyote.

Majambazi, wauza unga ni watu hatari sana ktk jamii,

kama unaishi ktk mtaa ambao una watu wa aina hizo hapo kama sinza basi ni hatari sana.
 
Tuanze kuorodhesha maeneo Hatari kiusalama ktk Mkoa wa DSM na wilaya zake zote na ikiwezekana na mitaaa hatari kiusalama,
mitaa yenye uhalifu wa kijambazi, wauza madawa ya kulevya, wezi, vibaka n.k
tunayajua maeneo yetu/mitaa yetu
 
Mkubwa unataka kusemaje kuhusu sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…