lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Kwani anashindwa vipi kujiuzuru watawale wengine.Watu wa meko wanamhujumu mama
Hizi propaganda sijui watu wa meko ndio wanamuhujumu ndio zitamuharibia maana failures zake watatupiwa mzigo watu wa meko .
Tanzania Ina watu zaidi ya milion 60 Kama yeye anaona nchi Ni ngumu aachie ngazi watakuja wengine , na sio kutupitisha kwenye rough road (ujambazi) wakati tulikuwa tumeshahau.