Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Basi mkuu usiwe na hasira sana ukashindwa kumhudumia mumeo leo!
.
Tuendelee kudemka tukiimba Samia mi 10 tena na ccm mbele kwa mbele.
Dada tulia njoo nkupe kilambio upate faraja ya moyo
 
Wahusika watadakwa kama kuku wa kisasa muda si mrefu!

Damu ya yule kaka haitawaacha salama na vizazi vyenyu.
 
Haya matukia yanarudi kwa kasi sana..sijui tumekwama wapi
 
nchi sasa imefikia huko? hatuna tena uhuru wa kutoa pesa sehem tunayotaka? hiyo nchi au upumbavu, yaani mtu utoke bunju ukatoe pesa posta? tutaskia mengi sana kipindi hiki


Eti uende Posta kutoa 4M???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enzi za JPM kuna mtumishi wa umma alikuwa anapita hapa kwangu saa 12 kamili Sharp na baiskeli yake ya Avon akienda kazini, siku hizi anapita saa mbili kwenda na saa saba mchana tunakutana machimboni, hahahaha! Natamani kurudi kwenye ajira mimi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Duuuh inasikitisha na kuogopesha.
 
Mtupe na ripot za waliouawa mkiru na walipotezwa kimyakimya ili tufananishe na wanaouawa na majambazi wapi wengi
 
Familia changa kabisa hii! Pole nyingi kwa wafiwa. Wahusika watiwe nguvuni haraka ili wakalipie makosa yao.
 
🤣 🤣 Halafu utasikia mijitu inasema "aah mama kaanza vizuri Sana", endeleeni kupiga makofi na vigelegele hamna rangi mtaacha ona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…