GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akishirikiana na Yule aliyehamia Domu!!Kuna banker kauza ramani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishirikiana na Yule aliyehamia Domu!!Kuna banker kauza ramani.
Unadhani haifahamikiTuanze kuorodhesha maeneo Hatari kiusalama ktk Mkoa wa DSM na wilaya zake zote na ikiwezekana na mitaaa hatari kiusalama,
mitaa yenye uhalifu wa kijambazi, wauza madawa ya kulevya, wezi, vibaka n.k
tunayajua maeneo yetu/mitaa yetu
Polisi ndio majambazi wenyewe. Huyu mama acha acheke na nyani atavuna mabua soon. Inatakiwa hii nchi sasa hivi miji mikuu yote ilindwe na JWTZ. Udokozi ujambazi na ujinga ujinga unarudi kwa speed ya mabomu ya Israel.
Magufuli nilikuwa simkubali kwa mambo mengi sana ila yule dume halikuwa hataki ujinga wa kisengesenge kama huu. Jiwe alikuwa kiboko wasomi na elimu aliwageuza chekechea jiulize kuna mtu na elimu ya mwisho kbs alikunywa dawa ya Madagascar bila kupenda halafu leo anagomea chanjo ya covid 19.
Magu mungu akuweke unapostahili, ila ulijua kuchezea na ndeze wabongo.
Toka umezaliwa sidhani kama umeshawai kuongea kitu cha ovyo kuliko iki..Huyu Rais anatakiwa ajiuzulu uchaguzi ufanyike.Hana uwezo kuongoza nchi
Akili anayo! Wewe ndiye hauna akili.Mtanzania yeyote mwenye mapenzi na nchi yake lazima ataona tofauti kubwa na udhaifu wa serikali iliyopo na lazima ataikumbuka serikali iliyopita japo haiwezekani kuirudisha.tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai
iko hivyoKuna banker kauza ramani.
Nadhani wewe utakuwa jambazi au baba yako ni jambaziToka umezaliwa sidhani kama umeshawai kuongea kitu cha ovyo kuliko iki..
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kazi ya ujambazi sio!?Kazi iendelee
sio rahisi hivyo, idadi ya polisi wetu na idadi ya raia....sio kazi nyepesi.Unadhani haifahamiki
majambazi wapo enzi zote kuna majambazi pia yalimvamia mbunge maeneo ya bungeni[emoji1787] [emoji1787] Halafu utasikia mijitu inasema "aah mama kaanza vizuri Sana", endeleeni kupiga makofi na vigelegele hamna rangi mtaacha ona.
Utakuwa umechanganyikiwa na maisha wewe, natafuta mke wa pili bado lakini.. [emoji23]Nadhani wewe utakuwa jambazi au baba yako ni jambazi
Kipindi cha chuma hawa askari walikuwa na ujasiri wa kumalizana na Hawa Wapuuzi huko huko site na walikuwa na mtu pale juu wa kuwalinda na kuwapigania. Sasa hivi hata wao wanaona hizo harakati tu za kuwatoa huko magerezani wahalifu wenye vinasaba na wakubwa huku wakielekezwa wapunguze kesi na kupeleka mambo kidemokrasia. Sasa demokrasia na jambazi wapi na wapi !! Sasa wewe unadhani kuna askari atakuwa tayari kwenda front kupambana na jambazi kidemokrasia ? Wape askari ujasiri kwa kuwalinda utaona kama hao majambazi hawatanyooka. chukulia mfano wa issue ya kibiti jinsi walivyonyooshwa kimya kimya hadi leo ni stori, unaweza kuta asilimia kubwa ya wale wasumbufu walipelekwa peponi kimya kimya hadi wengine wakaogopa. kwa sasa ni mwendo wa ruksa, hapo jiandae kusikia kg za kule mafia zinazidi kupungua na mwisho wa siku mtaambiwa ni raw materials za nini sijui !!! Sasa tupo kwenye kipindi cha demokrasia so ni muda wa kila mmoja kutamba kwa muda na fani yakeKwa nini Mama alaumiwe?
Je, ni kweli kwamba Mama ameagiza Polisi waache kushughulika na UHALIFU na WAHALIFU?
Au, Kamanda Siro na timu yake wameamua kuachia UHALIFU NA WAHALIFU ili Mama Mh. Samia Suluhu Hasan "ALAUMIWE"
LAWAMA ZIELEKEZWE KWA KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
WA KUWAJIBIKA NA AU KUWAJIBISHWA NI KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa alikua mwamba, aliwachezea watu 60M na wote tukaufyata, sio majambazi wasomi au wanasiasa. Wote ni mwendo wa kuimba na kuabudu. Kmmk dah
Aliwazibiti majambazi yeye ndiye aliyekuwa akishika bunduki na kupambana nao?Tupo pmja kiongozi jamaa hta mm nilikuwa simkubali kbsa lkni kwenye ujambazi alifanikiwa kuwadhibiti Askari wake wasishirikiane na majambazi maana hili lipo wazi wezi ni hao hao Askari
MkingaKwani huyu Jimmy ni mtu wa wapi? Au asili yao wapi yaan?