Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Tuanze kuorodhesha maeneo Hatari kiusalama ktk Mkoa wa DSM na wilaya zake zote na ikiwezekana na mitaaa hatari kiusalama,
mitaa yenye uhalifu wa kijambazi, wauza madawa ya kulevya, wezi, vibaka n.k
tunayajua maeneo yetu/mitaa yetu
Unadhani haifahamiki
 
Sasa umeanza kumkubali au vipi..
Polisi ndio majambazi wenyewe. Huyu mama acha acheke na nyani atavuna mabua soon. Inatakiwa hii nchi sasa hivi miji mikuu yote ilindwe na JWTZ. Udokozi ujambazi na ujinga ujinga unarudi kwa speed ya mabomu ya Israel.

Magufuli nilikuwa simkubali kwa mambo mengi sana ila yule dume halikuwa hataki ujinga wa kisengesenge kama huu. Jiwe alikuwa kiboko wasomi na elimu aliwageuza chekechea jiulize kuna mtu na elimu ya mwisho kbs alikunywa dawa ya Madagascar bila kupenda halafu leo anagomea chanjo ya covid 19.

Magu mungu akuweke unapostahili, ila ulijua kuchezea na ndeze wabongo.
 
Pamoja na kutokumkubali Magufuli ila kwa hili ninakiri wazi ninajuta kumkosoa, Magufuli popote ulipo Mungu akurehemu hakika tunakukumbuka kama ulivyosema.Endelea kupumzika kwa amani
 
tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai
Akili anayo! Wewe ndiye hauna akili.Mtanzania yeyote mwenye mapenzi na nchi yake lazima ataona tofauti kubwa na udhaifu wa serikali iliyopo na lazima ataikumbuka serikali iliyopita japo haiwezekani kuirudisha.
 
Ili kufahamu chanzo na sababu za tukio hili ni vyema Jeshi la polisi likafanya uchunguzi wake wa kina na haraka na kisha kutoa taarifa kamili juu ya sababu cha mauaji hayo.

inawezekana ni tukio la kijambazi la kawaida kama matukio mengine au kisasi n.k

uchunguzi wa Jeshi letu la polisi ndio litabaini haswa, hata hivyo vyovyote vile itakavyo kuwa ni wajibu wetu sisi raia kutoa taarifa kwa polisi kiliko kuishia kusema na kulalamika, haisaidiii mpaka pale tutakapo shirikiana kuwafichua wahalifu.

tatizo baadhi yetu wapo tuna lea na kuwaficha wahalifu hakika hawa ndio wabaya wetu zaidi kuliko....
 
Unadhani haifahamiki
sio rahisi hivyo, idadi ya polisi wetu na idadi ya raia....sio kazi nyepesi.

tutoe taarifa, kama mtaa wako una majambazi au wauza dawa za kulevya toa taarifa za siri.
 
Kwa nini Mama alaumiwe?

Je, ni kweli kwamba Mama ameagiza Polisi waache kushughulika na UHALIFU na WAHALIFU?

Au, Kamanda Siro na timu yake wameamua kuachia UHALIFU NA WAHALIFU ili Mama Mh. Samia Suluhu Hasan "ALAUMIWE"

LAWAMA ZIELEKEZWE KWA KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.

WA KUWAJIBIKA NA AU KUWAJIBISHWA NI KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
Kipindi cha chuma hawa askari walikuwa na ujasiri wa kumalizana na Hawa Wapuuzi huko huko site na walikuwa na mtu pale juu wa kuwalinda na kuwapigania. Sasa hivi hata wao wanaona hizo harakati tu za kuwatoa huko magerezani wahalifu wenye vinasaba na wakubwa huku wakielekezwa wapunguze kesi na kupeleka mambo kidemokrasia. Sasa demokrasia na jambazi wapi na wapi !! Sasa wewe unadhani kuna askari atakuwa tayari kwenda front kupambana na jambazi kidemokrasia ? Wape askari ujasiri kwa kuwalinda utaona kama hao majambazi hawatanyooka. chukulia mfano wa issue ya kibiti jinsi walivyonyooshwa kimya kimya hadi leo ni stori, unaweza kuta asilimia kubwa ya wale wasumbufu walipelekwa peponi kimya kimya hadi wengine wakaogopa. kwa sasa ni mwendo wa ruksa, hapo jiandae kusikia kg za kule mafia zinazidi kupungua na mwisho wa siku mtaambiwa ni raw materials za nini sijui !!! Sasa tupo kwenye kipindi cha demokrasia so ni muda wa kila mmoja kutamba kwa muda na fani yake
 
Hao mateller wote waliokuwepo ndani muda huo wakamtwe kwa ajili ya mahojiano, zitumike pliers na bisibisi wakati wa mahojiano, watasema tu, na simu zao wote zikagukiwe waliongea na nani kuanzia siku kadhaa nyuma hadi siku ya tukio.
 
Jamaa alikua mwamba, aliwachezea watu 60M na wote tukaufyata, sio majambazi wasomi au wanasiasa. Wote ni mwendo wa kuimba na kuabudu. Kmmk dah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupo pmja kiongozi jamaa hta mm nilikuwa simkubali kbsa lkni kwenye ujambazi alifanikiwa kuwadhibiti Askari wake wasishirikiane na majambazi maana hili lipo wazi wezi ni hao hao Askari
Aliwazibiti majambazi yeye ndiye aliyekuwa akishika bunduki na kupambana nao?

Acheni kumpa marehemu sifa asizostahili
 
Back
Top Bottom