Kwani huyu Jimmy ni mtu wa wapi? Au asili yao wapi yaan?Acha tu
Kumbe unamfaham nuru?
Sasa mama yake jimmy je?mama anaomboleza yule jamani ukiwa pale msibani hata kama humjui marehem utalia tu ukimsikiliza mama anavyoomboleza!
Kwani kipindi cha Magufuli hakuna mtu sliyepigwa risasi katika ujambazi?Kidogo inaanza kutia wasiwasi.
Ni kama mama hakuwemo kwenye serikali iliyokuwa imeyadhibiti haya mambo, na sasa ni kama anatafuta njia zake mpya kabisa kwa kila kitu, jambo ambalo inaonekana inamchukua muda mrefu na kutoa mwanya kwa watu kujifanyia yao.
Hivi polisi nao wamebadili utendaji kazi wao uliokuwa umedhibiti uhalifu wa aina
Samia atalinganishwa na mtangulizi wake katika baadhi ya mambo, na ataonekana hatoshi kabisa!
Watu walivyokuwa wakiokotwa ufukweni ndani ya viroba jpm wako alitoa kauli gani?WAPI JPM!!
Tusaidie inaonekana una taarifa muhimu kumhusu marehemu ngoja nikufuate PM.Hii dunia ina siri nyingi.
Huenda huyu mtu katenda uovu mwingi na Sasa kalipia gharama.
Wewe ni kengeHii dunia ina siri nyingi.
Huenda huyu mtu katenda uovu mwingi na Sasa kalipia gharama.
Kumbukizi ya hapa ni udhibiti wa majambazi ulikuwa wa hali ya juu kipindi cha jpmKumbukumbu haziondoi majambazi unless unachosema ni majambazi yamekuja ili tuwe na mada za kumkumbuka.
Wa nini? Aliyewaua kina Bensa8 naye sawa na jambazi tu!WAPI JPM!!
Kama nawaona hao watoto wakimuuliza mama yao, baba yuko wapi mbona harudi nyumbani.
Huyo mdada asipopata ushauri nasaha na uangalizi wa karibu anaweza akafanya mambo ya ajabu kwa msongo wa mawazo, au akachanganyikiwa.
Mungu awasaidie na awaongoze.
Imeandikwa kwenye bibilia ni mpumbavu pekee amtegemeaye binadamu aliyezaliwa na mwanamke.WAPI JPM!!
Hayupo JPM. Badala ya kulaani mauaji, tunatumia uhalifu wa majambazi kuwa na kumbukizi iliyotukuka.Kumbukizi ya hapa ni udhibiti wa majambazi ulikuwa wa hali ya juu kipindi cha jpm