Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Sawa, suppose mtoa hela aliwaambia washikaji atakwenda kutoa bilioni moja benki, je aliwaambia ni benki gani? Huu mchongo ni wa wafanyakazi wa benki wenyewe, unaitwa inside job na usikute hata bunduki waliazima toka jeshini au polisi.Unajuaje mtoa hela alikuwa hana siri kuwa anachukua hela leo? Conclusion yako ni wrong
Si jazba, ni akili tu ndizo zinatumika hapa.utawala wa sheria mkuu acha jazba
Upo Tanzania hii ama Gambia?Kuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba
Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki
Au...!!!?
Unajaribu kupambana na kivuli cha JPM! Utateseka sanaalafu si sahihi kimtaja magu ambae ashafari. issue ni watoe yale waliona magu kakosea waweke mambo yao mapya, mbona kitu rahisi sana. wamshauri mama mambo wanayoyataka. mi nashangaa kukicha magu
Askari police na wanausalama ndio walipwao kwa jukumu hilo.upuuzi unaoendelea ni uzembe na kutowajibika kwa vyombo husika. Na wakuu wa mabenki mchunguze washirika wa majambazi waliopo kwenye taasisi zenu.Kidogo inaanza kutia wasiwasi.
Ni kama mama hakuwemo kwenye serikali iliyokuwa imeyadhibiti haya mambo, na sasa ni kama anatafuta njia zake mpya kabisa kwa kila kitu, jambo ambalo inaonekana inamchukua muda mrefu na kutoa mwanya kwa watu kujifanyia yao.
Hivi polisi nao wamebadili utendaji kazi wao uliokuwa umedhibiti uhalifu wa aina
Samia atalinganishwa na mtangulizi wake katika baadhi ya mambo, na ataonekana hatoshi kabisa!
Unaruhusiwa kwenda huko alikoRIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Umejibu ushuzi. Poleni wafiwa.Umeandika ushuzi tupu
IGP na Polisi Kanda maalum wapo ,pia mabenki yameanza kuuza siri za watejaAfande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheeza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.
Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.
Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
Tuna wazee wenye werevu wengi nchi hii ila tuna mzee mjinga kama wewe kwa akili hii lazima umebambikiwa watoto kawapime DNA. Wewe ulizaliwa na smart phone kila jambo tunajifunza takataka wewe. Mpuuzi ww mimi nina elimu kushinda yako usiongee kufurahisha uzee wako. Uwe na akili siku nyingine mata core yako. Jikaze baba msiba umeshatokea. Usiwe na tabia ya Farasi kupenda kupandwa.Kuandika kwenyewe hujui, unakaa standard seven material uliejifunza kutumia smart phone [emoji336], vijana bwana , tuna vijana wa hovyo sana nchi hii, ila nashukuru Mungu ni wachache kama wew
Jiwe alikuwa noma hasa. Wote aliwaweka kwenye mfukoni. Huyu mama muache tu. 2025 sio mbali.Jamaa alikua mwamba, aliwachezea watu 60M na wote tukaufyata, sio majambazi wasomi au wanasiasa. Wote ni mwendo wa kuimba na kuabudu. Kmmk dah
Mshamba wewe ambaye hayajakukuta na siku yakikukuta unaita "MAMAA,MAMAA"Kuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba
Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki
Au...!!!?
Nani wa kum-miss mtu katili?!Yule muuaji na katili bora tu kaenda.Mnamiss kimoyomoyo ila vinywani mnashindwa kukiri
Humu JF liloitwa jukwaa huru uliusikia?Au ulofa unakusumbua kichwaniUnafikiri huo uliisha. Tatizo ilikuwa nani atathubutu kuripoti?
Yalikuwepo wala sio kuwa kwa sababu ya JPM nikwa sababu walikuwa hawatangazi.Mimi nilimpoteza my sister mwaka.juzi alikuwa anachukua ametoka kuchukua fedha pale.kibo complex.Wakati kwa JPM walikiwa hawaruhusiwi kutangaza ila matukio yalikiwepo sana tuRIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Alijua hasa unakumbuka alisema hawa akina Mpango na Kabudi nawatukana sana[emoji38]. Magu nilikuaa simkubali kbs ila aliweza kuitia heshima kidogo.Tupo pmja kiongozi jamaa hta mm nilikuwa simkubali kbsa lkni kwenye ujambazi alifanikiwa kuwadhibiti Askari wake wasishirikiane na majambazi maana hili lipo wazi wezi ni hao hao Askari
Yalikuwepo ,ni vile walikiwa hawaruhusiwi kusema .I lost my sister hapo kibo complex alichukua fedha na kupigwa risasi na alifariki.Nina mwingine namjua alikoswa koswa risasi ikapita juu ya Bega.Mambo ya kijinga yameanza kwa kasi bongo land.
Hii nchi inahitaji kiongozi mwenye maamuzi ya bila kumuonea haya mtu.
Pumzika kwa amani Jembe.
Unamlaumuje Sirro wakati Mama kasema hata majambazi na magaidi waliokuwa mahabusu waachiwe kwa kuwa eti wanabambikwa kesi!! ukiona polisi wanamshikilia mtu muda mrefu, ujue mtu huyo ni hatari kwenye jamii. Sasa hivi ameanza kucheka na mambo ya usalama barabarani, hapo pia hakuna muda mtaanza kulia sana kwa ajali, kwani kuna madereva kenge huwa hawaelewi kitu, twendeni tu, tutafika tu japo tutakua tumechoka sanaKwa nini Mama alaumiwe?
Je, ni kweli kwamba Mama ameagiza Polisi waache kushughulika na UHALIFU na WAHALIFU?
Au, Kamanda Siro na timu yake wameamua kuachia UHALIFU NA WAHALIFU ili Mama Mh. Samia Suluhu Hasan "ALAUMIWE"
LAWAMA ZIELEKEZWE KWA KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
WA KUWAJIBIKA NA AU KUWAJIBISHWA NI KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
Nawe umeandika ama ndio kaka jambazi mwenyewe.tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai