tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Inategemea card yake ziko card zinatoa 5m mpka 10m kwenye atm crdb bankSasa Atm si alitoa chini ya milion?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea card yake ziko card zinatoa 5m mpka 10m kwenye atm crdb bankSasa Atm si alitoa chini ya milion?
Huko ni kwenda tu kwa ulinzi wako mwenyewe,pesa unagawa kwa vijana wako wakalipe....halafu usiwe unawapa taarifa kua siku flani unakuja kununua mazaoKama ni hivyo basi inabidi uingie gharama ya polisi escort.
Kwahiyo mwendazake ndo alikuwa polisi? Kwani IGP kabadilishwa?We babu hata kama unamchukia Mwendazake, kuna vitu haviihitaji ubishi, eti walikuwa hawaripoti. Waulize watu wa Kigoma hasa Kibondo watakwambia ukweli, Sasa walikuwa wanaweza kuishi kwa amani kabla ya huyu Mzee kupita siku Bila duka, nyumba au gari kuvamiwa au kutekwa na majambazi ilikuwa ni Jambo la ajabu. Lakini within these four yrs mambo yalitulia kabisa.
Sio kuusikia tu, nimeushuhudia sana tu. Sasa niite lofa ili ufurahie upoyoyo wakoHumu JF liloitwa jukwaa huru uliusikia?Au ulofa unakusumbua kichwani
Hiv haya mambo yanauhusiano na ma bank trller nini?Maana jambazi hawezi ku risk kama hajajua una kiasi gani?Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheeza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi...
Alipangiwa na nani panua akili yako na achana na mapokeo ya binadamuKilled for his own money. Ila Alipangiwa atakufa hivyo.
Hajui kitu huyo ndugu halafu Rufiji dam si private,ni serviceman tu.Wewe na mapraivet wenzako wa JW ndo wezi.
Matukio mengi tu askari wachache msio na maadili mnaliaibisha jeshi letu la wananchi. Kesi kibao zimesolviwa kimya kimya kati ya viongozi wa polisi na Jw, pengine hulijui hilo.
Muache ujambazi.
We ni mpumbavu unaishi Tandale kwa shemeji yako huwezi jua kinachozungumzwa humu.Kwahiyo mwendazake ndo alikuwa polisi? Kwani IGP kabadilishwa?
Bora waendelee kututeka tu ili tutie heshima,unajua sisi raia wema hatuna shukrani.Dawa ya jambazi ni kuuwawa tu Sasa wakiuwawa huwa mnakuja kuanzisha uzi wa kulalamika kwanini wanauwawa wasipelekwe mahakamani yani sisi binadamu tuna shida sana
Jiwe walilolikataa Tanzania...Anko gani huyo utaye mmiss?
Kwani cashier wanaruhusiwa kutumia simu??Mchezo huu unafanywa na wafanyakazi wa benki wenyewe, ni vigumu sana mtu wa nje kujuwa mteja katoa kiasi gani. Hapa wa kumkamata ni mtu wa mwisho hapo benki aliyemsaidia huyu jamaa kutoa hela kwenye account, akamatwe na anyongwe ili iwe fundishio kwa wengine.
Hata ww majambazi yanaweza kukupeleka soonUnaruhusiwa kwenda huko aliko
Ni hilo moja tu, acha kujazia.Yalikuwepo wala sio kuwa kwa sababu ya JPM nikwa sababu walikuwa hawatangazi.Mimi nilimpoteza my sister mwaka.juzi alikuwa anachukua ametoka kuchukua fedha pale.kibo complex.Wakati kwa JPM walikiwa hawaruhusiwi kutangaza ila matukio yalikiwepo sana tu
Mama anashindwaje kumuagiza IGP kuwaondoa mara moja marpc wanaoshindwa kudhibiti uharifu wakati wamepatiwa kila kituPolisi ndio majambazi wenyewe. Huyu mama acha acheke na nyani atavuna mabua soon. Inatakiwa hii nchi sasa hivi miji mikuu yote ilindwe na JWTZ. Udokozi ujambazi na ujinga ujinga unarudi kwa speed ya mabomu ya Israel.
Magufuli nilikuwa simkubali kwa mambo mengi sana ila yule dume halikuwa hataki ujinga wa kisengesenge kama huu. Jiwe alikuwa kiboko wasomi na elimu aliwageuza chekechea jiulize kuna mtu na elimu ya mwisho kbs alikunywa dawa ya Madagascar bila kupenda halafu leo anagomea chanjo ya covid 19.
Magu mungu akuweke unapostahili, ila ulijua kuchezea na ndeze wabongo.
Umekomaa kupotosha......!!?Sio.kweli matukio yalikiwepo hata wakati.wa.JPM tumepoteza ndugu zetu nyamaza kabisa.Hakuna mtu wala.chombo cha habari walikuwa wanatangaza .Ni kama Corona tu tuliaminishwa hakuna ila watu wanakufa tu
Kabisaah hili naamini.Kuna banker kauza ramani.
Magu wa mchezo yule baba? Hapana kwa kweli.Jamaa alikua mwamba, aliwachezea watu 60M na wote tukaufyata, sio majambazi wasomi au wanasiasa. Wote ni mwendo wa kuimba na kuabudu. Kmmk dah
Acha hizo unafikiri kila mmoja ana shida zinazofanana ! Ni uzembe wa polisi tu ndio haya yanaanza kutokea.Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa ,wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja,gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.