Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Unajuaje mtoa hela alikuwa hana siri kuwa anachukua hela leo? Conclusion yako ni wrong
Sawa, suppose mtoa hela aliwaambia washikaji atakwenda kutoa bilioni moja benki, je aliwaambia ni benki gani? Huu mchongo ni wa wafanyakazi wa benki wenyewe, unaitwa inside job na usikute hata bunduki waliazima toka jeshini au polisi.
 
Kuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba

Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki

Au...!!!?
Upo Tanzania hii ama Gambia?
 
Kidogo inaanza kutia wasiwasi.

Ni kama mama hakuwemo kwenye serikali iliyokuwa imeyadhibiti haya mambo, na sasa ni kama anatafuta njia zake mpya kabisa kwa kila kitu, jambo ambalo inaonekana inamchukua muda mrefu na kutoa mwanya kwa watu kujifanyia yao.

Hivi polisi nao wamebadili utendaji kazi wao uliokuwa umedhibiti uhalifu wa aina

Samia atalinganishwa na mtangulizi wake katika baadhi ya mambo, na ataonekana hatoshi kabisa!
Askari police na wanausalama ndio walipwao kwa jukumu hilo.upuuzi unaoendelea ni uzembe na kutowajibika kwa vyombo husika. Na wakuu wa mabenki mchunguze washirika wa majambazi waliopo kwenye taasisi zenu.
 
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheeza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.

Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.

Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.

Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
IGP na Polisi Kanda maalum wapo ,pia mabenki yameanza kuuza siri za wateja
 
Kuandika kwenyewe hujui, unakaa standard seven material uliejifunza kutumia smart phone [emoji336], vijana bwana , tuna vijana wa hovyo sana nchi hii, ila nashukuru Mungu ni wachache kama wew
Tuna wazee wenye werevu wengi nchi hii ila tuna mzee mjinga kama wewe kwa akili hii lazima umebambikiwa watoto kawapime DNA. Wewe ulizaliwa na smart phone kila jambo tunajifunza takataka wewe. Mpuuzi ww mimi nina elimu kushinda yako usiongee kufurahisha uzee wako. Uwe na akili siku nyingine mata core yako. Jikaze baba msiba umeshatokea. Usiwe na tabia ya Farasi kupenda kupandwa.
 
kwani mama kabadili nini kwenye sheria mpaka majambazi warudi?!?. hii ni issue ya polisi kuzembea naamini atawashughulikia
 
Kuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba

Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki

Au...!!!?
Mshamba wewe ambaye hayajakukuta na siku yakikukuta unaita "MAMAA,MAMAA"
 
RIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Yalikuwepo wala sio kuwa kwa sababu ya JPM nikwa sababu walikuwa hawatangazi.Mimi nilimpoteza my sister mwaka.juzi alikuwa anachukua ametoka kuchukua fedha pale.kibo complex.Wakati kwa JPM walikiwa hawaruhusiwi kutangaza ila matukio yalikiwepo sana tu
 
Tupo pmja kiongozi jamaa hta mm nilikuwa simkubali kbsa lkni kwenye ujambazi alifanikiwa kuwadhibiti Askari wake wasishirikiane na majambazi maana hili lipo wazi wezi ni hao hao Askari
Alijua hasa unakumbuka alisema hawa akina Mpango na Kabudi nawatukana sana[emoji38]. Magu nilikuaa simkubali kbs ila aliweza kuitia heshima kidogo.
 
Mambo ya kijinga yameanza kwa kasi bongo land.
Hii nchi inahitaji kiongozi mwenye maamuzi ya bila kumuonea haya mtu.
Pumzika kwa amani Jembe.
Yalikuwepo ,ni vile walikiwa hawaruhusiwi kusema .I lost my sister hapo kibo complex alichukua fedha na kupigwa risasi na alifariki.Nina mwingine namjua alikoswa koswa risasi ikapita juu ya Bega.
 
Kwa nini Mama alaumiwe?

Je, ni kweli kwamba Mama ameagiza Polisi waache kushughulika na UHALIFU na WAHALIFU?

Au, Kamanda Siro na timu yake wameamua kuachia UHALIFU NA WAHALIFU ili Mama Mh. Samia Suluhu Hasan "ALAUMIWE"

LAWAMA ZIELEKEZWE KWA KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.

WA KUWAJIBIKA NA AU KUWAJIBISHWA NI KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
Unamlaumuje Sirro wakati Mama kasema hata majambazi na magaidi waliokuwa mahabusu waachiwe kwa kuwa eti wanabambikwa kesi!! ukiona polisi wanamshikilia mtu muda mrefu, ujue mtu huyo ni hatari kwenye jamii. Sasa hivi ameanza kucheka na mambo ya usalama barabarani, hapo pia hakuna muda mtaanza kulia sana kwa ajali, kwani kuna madereva kenge huwa hawaelewi kitu, twendeni tu, tutafika tu japo tutakua tumechoka sana
 
tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai
Nawe umeandika ama ndio kaka jambazi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom