Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Kwahiyo mwendazake ndo alikuwa polisi? Kwani IGP kabadilishwa?
 
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheeza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi...
Hiv haya mambo yanauhusiano na ma bank trller nini?Maana jambazi hawezi ku risk kama hajajua una kiasi gani?
 
Wewe na mapraivet wenzako wa JW ndo wezi.
Matukio mengi tu askari wachache msio na maadili mnaliaibisha jeshi letu la wananchi. Kesi kibao zimesolviwa kimya kimya kati ya viongozi wa polisi na Jw, pengine hulijui hilo.
Muache ujambazi.
Hajui kitu huyo ndugu halafu Rufiji dam si private,ni serviceman tu.
 
Dawa ya jambazi ni kuuwawa tu Sasa wakiuwawa huwa mnakuja kuanzisha uzi wa kulalamika kwanini wanauwawa wasipelekwe mahakamani yani sisi binadamu tuna shida sana
Bora waendelee kututeka tu ili tutie heshima,unajua sisi raia wema hatuna shukrani.
 
Kwani cashier wanaruhusiwa kutumia simu??
 
Ni hilo moja tu, acha kujazia.
 
Anashindwaje
Mama anashindwaje kumuagiza IGP kuwaondoa mara moja marpc wanaoshindwa kudhibiti uharifu wakati wamepatiwa kila kitu
 
So sad, mwanaume handsome, mtanashati, amejaliwa kila kitu km mwanaume. RIP Jimson [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Acha hizo unafikiri kila mmoja ana shida zinazofanana ! Ni uzembe wa polisi tu ndio haya yanaanza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…