Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Yalikuwepo ,ni vile walikiwa hawaruhusiwi kusema .I lost my sister hapo kibo complex alichukua fedha na kupigwa risasi na alifariki.Nina mwingine namjua alikoswa koswa risasi ikapita juu ya Bega.
Rest in peace kwa beloved sister. Lakin Mkuu tukiacha hisia binafsi haya mambo hayakuwa kwa kiasi hicho na vile unasema hayakuwa yanatangazwa ni kitu kisuchokuwa na uhalisia hata kidogo sote tunaishi mitaani, mambo haya yalipungua kwa kiasi kikubwa Sir100 mwenyewe alisema kwa hotuba yake pale bungeni kwamba “wizi na uhalifu umeanza kwa kasi” kwaiyo ni wazi kabisa mtangulizi wake alikuwa amedhibiti vyema.

Mambo mengine yanatia hasira tuache ushabiki wa mitandao let us live the real world, hizo ma statistics na bias against mtu alieonekana kufanya kwa ajili ya kundi la wengi hakika ni laana itafuatia ni swala la muda tu ila wacha kila mmoja aamin anachoamin yeye ila kwa swala la uongozi hatutaki undezi ndezi na upuuzi uendelee na sie tufurahi na kuendeleza siasa zilizo na manufaa kwa wachache na wengi wakiumia.
 
Mkuu polisi wetu wapo barabaran wanatafuta hela ya kupigia dawa viatu wengine wapo huko kweny kuzuia maandamano ya BAWACHA
 
NYIE SI MLIKUA MNALALAMIKA AWAMU ILE KULIKUA NA MAITI NDANI YA VIROBA MARA SIJUI MAITI ZILIOKOTWA UFUKWENI, LEO MMESAHAU NA MNATAKA WATU WALE VYUMA

SInce Day one sijawahi kussupport majambazi hata siku moja ,jambazi dawa yake ni kula chuma tu ,hao wa kwenye viroba sio majambazi baadhi ni wanaharakati,wakosoaji wa serikali,nyoka waliohasi kambi etc
 
Ila kuna ndezi wabishi usipime. Leo hii kuna mtu yuko Kagera kaniagizia mzigo. Namwabia nipe akaunti niweke mzigo anadai akaunti yake ilipata matatizo kwahiyo haiwezekani kutuma humo. Huu siyo undezi?
 
Watu si mlitaka Uhuru wa kufanya kazi bila bugdha.?.
Sasa hivi na majambazi nao wamepewa Uhuru wa kufanya kazi zao.
Nadhani soon mzunguko wa Ela utaongezeka mtaani kwa Uhuru tuliopewa.
Yaani ni sawa na kusema una njaa sana, unaletewa msosi wenye polipili ya kutosha. Chagua moja kubaki na njaa au kuumizwa na pilipili.

Kwa bahati mbaya haitakiwi kubaki na njaa ni lazima ule. Acha tu tupigwe risasi kwa vile chaguo letu ni uhuru kwa kila kitu
 
Sio ataonekana hatoshi mpk mda huu huku mtaani nazungumzia wananchi wa tabaka la chini ambao ndo 80% ya watanzania washamchoka popularity ya huyu mama ni humu tu JF na kwenye sosho media nyingne trust me ingawa ntapondwa sana na kuonekana ni pro magufuli but to be honest haswa kitendo cha LUKU kimemharibia credit nyingi sana mazaa...!!!
 
Sahihi kabisa
 
RIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Mmmh!!! Mbona matukio ya kuteka na kupigwa risasi akina lissu yalikua kipindi cha anko?

Au haya hamkuyaona?


Acheni siasa uchwara na hiyo team mliyoiandaa kumvuruga mama nawaambia hamtaweza
 
kwahiyo hata jf mlishindwa kuriport!!!
unafiki na mtoto wa kike havipendezi.
 
Hii hali jamani mamlaka iangalie, mdogo wangu mmoja home boy wamemvamia usiku wa Leo na kumuumiza anapoelekea hospital ya rufaa...si sawa hali hii kiukweli tulishaisahau nini shida mpaka irudi kwa speed kubwa hivi??
Pole sana ndugu!yaani vinahuzunisha sana
 
Wewe na mapraivet wenzako wa JW ndo wezi.
Matukio mengi tu askari wachache msio na maadili mnaliaibisha jeshi letu la wananchi. Kesi kibao zimesolviwa kimya kimya kati ya viongozi wa polisi na Jw, pengine hulijui hilo.
Muache ujambazi.
Hawa JWTZ ndio walio tuletea huku mtaani wale vijana wao wa JKT walio maliza mkataba ndio hawa wanao tusumbua na kutuua kabisa huku mtaani
 
Kwani wangapi wanatoa pesa kibao au wanapeleka, kwanini yeye? Kuna cha kujifunza hapa. Watu matangazo kibao, kwanini msiwe wasiri wa mambo yenu. Nani kauza gemu ni tella, washkaj au wafanya kazi wenzie..
 
Tulia wewe! Hawa majambazi wanawakomoa sukuma gang, mataga na marehemu jiwe
 
tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai
Tena anafungua nchi, na wanataka hela zimwagike mtaani ndio hizo sasa! Tena atulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…