Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Rest in peace kwa beloved sister. Lakin Mkuu tukiacha hisia binafsi haya mambo hayakuwa kwa kiasi hicho na vile unasema hayakuwa yanatangazwa ni kitu kisuchokuwa na uhalisia hata kidogo sote tunaishi mitaani, mambo haya yalipungua kwa kiasi kikubwa Sir100 mwenyewe alisema kwa hotuba yake pale bungeni kwamba “wizi na uhalifu umeanza kwa kasi” kwaiyo ni wazi kabisa mtangulizi wake alikuwa amedhibiti vyema.Yalikuwepo ,ni vile walikiwa hawaruhusiwi kusema .I lost my sister hapo kibo complex alichukua fedha na kupigwa risasi na alifariki.Nina mwingine namjua alikoswa koswa risasi ikapita juu ya Bega.
Mambo mengine yanatia hasira tuache ushabiki wa mitandao let us live the real world, hizo ma statistics na bias against mtu alieonekana kufanya kwa ajili ya kundi la wengi hakika ni laana itafuatia ni swala la muda tu ila wacha kila mmoja aamin anachoamin yeye ila kwa swala la uongozi hatutaki undezi ndezi na upuuzi uendelee na sie tufurahi na kuendeleza siasa zilizo na manufaa kwa wachache na wengi wakiumia.