Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Mmegawana sh ngapi ngapi za mliempiga risasi?Kuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba
Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki
Au...!!!?