masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hiyo ndiyo kazi yao.Kuna banker kauza ramani.
Teller aliyemhudumia aminywe barabara.
Mimi iliwahi kunitokea tulidhibiti tukio lakini tulilalamika kwa uongozi wa benki, mtu tuliyemhisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndiyo kazi yao.Kuna banker kauza ramani.
Taarifa za uwepo wa ujambazi hata zikikatazwa kuwekwa hadharani zitajulikana. Hazifichiki.Haya yalidhibitiwa au habari zake hazikutakiwa kuwekwa hadharani sababu zilimchukiza mtawala
Haya ni matukio tofauti kabisa usiyoweza kuyalinganisha kama unao uelewa wa kuyatofautisha.Mtupe na ripot za waliouawa mkiru na walipotezwa kimyakimya ili tufananishe na wanaouawa na majambazi wapi wengi
Sijui, kwani hata tukio hilo halikuletwa hapa JF tukalijadili kama tunavyojadili hili.Kwani kipindi cha Magufuli hakuna mtu sliyepigwa risasi katika ujambazi?
Kwani pendekezo lako ni lipi mkuu, mbona silioni?Hujapendekeza solution yoyote mkuu,umeelezea tatizo tu.
Hiyo simu haikusajiriwa, ili isaidie polisi?Kuna banker kauza ramani.
Kuna haja ya kwenda kumkamata Teller aliyumuhudumia,Maana hii michezo unaonekana mateller wanahusika maana kuna Matukio yamewahi kunitokea mara mbili,kuvamiwa wakati nimetoka kuchukua mtonyo kila nikipiga mahesabu naona mateller ndo huwa wanawaelekeza "huyo mwenye bichwa kubwa ana milion 8"Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.
Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.
Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
Ahahahah mkubwa naona unatumia Hadi kipareDada mzuti unakuwasha sana,njoo nkupe kilambio
Teller inaweza ikawa ndio na hapana. Ndani ya ma bank kuna watu wengine pia wanaingia kama wateja na kucholesha hivyo hivyo.Kuna haja ya kwenda kumkamata Teller aliyumuhudumia,Maana hii michezo unaonekana mateller wanahusika maana kuna Matukio yamewahi kunitokea mara mbili,kuvamiwa wakati nimetoka kuchukua mtonyo kila nikipiga mahesabu naona mateller ndo huwa wanawaelekeza "huyo mwenye bichwa kubwa ana milion 8"
Mimi mwenyewe nimeua wanne na sijaona aliyetangaza...Una maana watu walikuwa wanapigwa risasi na majambazi na kufa, ndugu zao wanakaa kimya na kuzika kimya kimya. Kweli?
Mimi mwenyewe nimeua wanne na sijaonaUna maana watu walikuwa wanapigwa risasi na majambazi na kufa, ndugu zao wanakaa kimya na kuzika kimya kimya. Kweli?
Kama ulimsikiliza vizuri, hakusema umerudi baada ya mwendazake kudedi...Dogo,Rais Samia mwenyewe alikiri ujambazi umerudi na kuagiza IGP Sirro kufanya mabadiliko ya kamanda Dar
Mimi nineshuhudia mauaji matatu, sijawahi kuona yameripotiwa...Eti Ee!? Hata wapita njia na Kigogo pia hawakuripoti matukio yaraia wema wakiporwa pesa na kuuawa mchana kweupe kwa miaka 5+ ya JPM? Au ni "sukima gang" wanamhujumu mama?
We kweli ni Upopo.Sasa tangu samia ametawala kuna jingine.Msikuze mambo enzi za JPM wengine walipotea kabisa na mifuko kuokotwa baharini
ulishindwa hata kuyaandika hapa Jamii forum.?Mimi nineshuhudia mauaji matatu, sijawahi kuona yameripotiwa...
Unajua matukio yote yanayoletwa JF kujadiliwa?Sijui, kwani hata tukio hilo halikuletwa hapa JF tukalijadili kama tunavyojadili hili.
Hujui kitu. Unadhani anakutupuka tu kama unavyodhani? Kuna vigogoAcha hizi ngonjera.....
mama ana mamlaka ya kudeal na yyte yule anayemkwamisha
Tuache kujifariji mama ashituke mapemaKilled for his own money. Ila Alipangiwa atakufa hivyo.
Si muda mrefu vinywa vyao vitanena.Mnamiss kimoyomoyo ila vinywani mnashindwa kukiri