Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Haya yalidhibitiwa au habari zake hazikutakiwa kuwekwa hadharani sababu zilimchukiza mtawala
Taarifa za uwepo wa ujambazi hata zikikatazwa kuwekwa hadharani zitajulikana. Hazifichiki.

Kama ilivyokuwa habari za utekaji.
 
Mtupe na ripot za waliouawa mkiru na walipotezwa kimyakimya ili tufananishe na wanaouawa na majambazi wapi wengi
Haya ni matukio tofauti kabisa usiyoweza kuyalinganisha kama unao uelewa wa kuyatofautisha.
 
Hujapendekeza solution yoyote mkuu,umeelezea tatizo tu.
Kwani pendekezo lako ni lipi mkuu, mbona silioni?

Lakini haikuhitaji nitoe pendekezo, kwa sababu mwendelezo ya yaliyokuwa yakifanyika kabla yangeendelezwa pengine hali isingebadilika haraka hivi.

Hili ni pendekezo tosha.
 
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.

Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.

Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.

Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
Kuna haja ya kwenda kumkamata Teller aliyumuhudumia,Maana hii michezo unaonekana mateller wanahusika maana kuna Matukio yamewahi kunitokea mara mbili,kuvamiwa wakati nimetoka kuchukua mtonyo kila nikipiga mahesabu naona mateller ndo huwa wanawaelekeza "huyo mwenye bichwa kubwa ana milion 8"
 
Kuna haja ya kwenda kumkamata Teller aliyumuhudumia,Maana hii michezo unaonekana mateller wanahusika maana kuna Matukio yamewahi kunitokea mara mbili,kuvamiwa wakati nimetoka kuchukua mtonyo kila nikipiga mahesabu naona mateller ndo huwa wanawaelekeza "huyo mwenye bichwa kubwa ana milion 8"
Teller inaweza ikawa ndio na hapana. Ndani ya ma bank kuna watu wengine pia wanaingia kama wateja na kucholesha hivyo hivyo.
 
Una maana watu walikuwa wanapigwa risasi na majambazi na kufa, ndugu zao wanakaa kimya na kuzika kimya kimya. Kweli?
Mimi mwenyewe nimeua wanne na sijaona
Dogo,Rais Samia mwenyewe alikiri ujambazi umerudi na kuagiza IGP Sirro kufanya mabadiliko ya kamanda Dar
Kama ulimsikiliza vizuri, hakusema umerudi baada ya mwendazake kudedi...
 
Eti Ee!? Hata wapita njia na Kigogo pia hawakuripoti matukio yaraia wema wakiporwa pesa na kuuawa mchana kweupe kwa miaka 5+ ya JPM? Au ni "sukima gang" wanamhujumu mama?
Mimi nineshuhudia mauaji matatu, sijawahi kuona yameripotiwa...
 
Mkumbuke aliyekufa ni Magufuli sio Jeshi la polisi
Sasa ukiona kiongozi kafa mambo yanaharibika, Wala usimtafute mchawi Anza na watendaji kwani ndio wale wale waliohudumu kipindi kile kukatulia inakuwaje sasa mambo yaharibike kisa jamaa kaondoka?
Something wrong somewhere
 
Back
Top Bottom