Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

Muda usio na kikomo? unaweza kusubiri? kumbuka Katiba sio mapenzi ya Mtawala hakuna mahali Duniani kote Mtawala akaridhia mabadiliko bila kusimamiwa
 
Alituweza sisi pekeyetu au Taifa zima?

Nan alikuwa Ana nafuu?

Sasa ahuen imeanza kuonekana badala ya wao watulie nchi ipate Aman na utulivu wanaanza leta choko choko
Mkuu watu wanachotaka kwenye ahueni hii iwekwe kwenye Sheria zetu ili hata akiondoka atakaekuja tubaki kwenye ahueni hiyo lkn Sasa tunaishi kwa Hisani ya Samia hatakiwi
 
Unashida kichwani sio bureee..how comes unahusisha imani ya mtu kwenye utendaji? Kwanza nani alikwambia walikaa kimyaa kuhusu katiba mpya kipind cha Jpm? Shida hukuwa unafuatilia yaliyokuwa yanazungumza kipindi kile..unakurupukaa tu kutoka huko msikitini na hoja dhaifu dhaifu..aaaahh..
 

Cdm wanadai hiyo katiba mpya kwa mtazamo wao na ni halali yao, huyo rais na chama chake wanasema katiba haipo kwenye ilani yao. Unataka wabembeleze nini? Hao unaosema wananchi nani kawazuia kudai hiyo katiba mpya, kama ww unaona hamko tayari kwa hiyo katiba tulieni wanaoona waidai, siku mkiwa tayari mtadai ya kwenu.

Ni lini wananchi wa nchi hii wamekuwa na ajenda ya wazi ya pamoja, zaidi ya kusubiri kuongozwa na hao hao wanasiasa? Kila siku tunasikia tuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu elimu yetu, afya, je ni lini ajenda hizo zimewahi kuratibiwa na hao wananchi, zaidi ya kuratibiwa na wanasiasa, na kuita watu wachache kwa jina la wadau na kupitisha watakacho? Nasema hivi, acha uduwanzi we dogo, kama unaona ccm wananyimwa raha kisa rais ni muisilamu, hiyo ni kimpango wako, watu walioko tayari wataidai hiyo katiba mpya, ww subiri siku huyo mama mkimuomba nyie waisilamu wenzake, awape katiba mpya kwa kuwaheshimu.
 
Akili zako azina akili, katiba mpya ni lazima, na ni kwa faida ya kizazi cha taifa.
Tatizo lenu MaCCM mnaona teuzi ndio legacy ya nchi.

Nchi ni yetu sote hii….!
Unadhani huyo jamaa ni kijani? anatetea Imani ya Mama
 
Mkuu watu wanachotaka kwenye ahueni hii iwekwe kwenye Sheria zetu ili hata akiondoka atakaekuja tubaki kwenye ahueni hiyo lkn Sasa tunaishi kwa Hisani ya Samia hatakiwi
Samia hajaikataa hoja ya katiba,

kaomba muda,we ukitaka aseme nin?

akubali kitu ambacho Hana uwezo nacho kwa sasa Ili mradi tuh awafurahishe chadema??

Hebu sema,ukitaka aseme nin
 
Uchumi uliharibiwa na nani
 
Chadema wameanzisha hili vuguvugu la Katiba so inatakiwa Kila kundi liendeleze ikiwa na pamoja na wauza korosho nk
 
Naanza kuamini hawa jamaa wanatumika,yaani wao hawataki kuona kuna utulivu! Wana visirani sana,lakini wasimchukulie mama poa,tena katika hili la katiba kawa mkweli,lakini kwa vile wamezoa kashkash wanaanza tena.
Wajinga kama nyie ndio mnaifanya hii Nchi ionekane Ina wapuuzi wengi
 
k
Alituweza sisi pekeyetu au Taifa zima?

Nan alikuwa Ana nafuu?

Sasa ahuen imeanza kuonekana badala ya wao watulie nchi ipate Aman na utulivu wanaanza leta choko choko
kwani hapo awali ilikuwa haina utulivu?
 

Reading between the lines i can spotlight your emotions,

You are underaged,

Hao chadema hawawez kutupangia kama.vile ambavyo ccm hawawez kutupangia,

Lakin kama saut ya mamlaka imesema inaomba mida mtafanya nin,mnaingia barabaran??

Ingien basi tuone,
 
Unadhani huyo jamaa ni kijani? anatetea Imani ya Mama

You are very very right...

You have just put it in the shortest term known to me.

Thank you,if it's like that then let it be...
 
Mzee hakuna Mtawala anaekubali mabadiliko bila zengwe labda kama umepumzika kufikiri
 
k

kwani hapo awali ilikuwa haina utulivu?

Under mwendazake??

Huo utulivu utokee wapi??

Si walikuwa wanashinda mahakaman hawa daily,umesahau??

KIBOKO yao kavuta now they're pretending to be constitution heroes...
 

Mimi binafsi nimesoma between the lines, nimeona ww ni muisilamu mpuuzi. Cdm hawawezi kukupangia ww na nani? Cdm wanadai katiba kwa mbinu zao, kama ww imekuuma pambana hiyo katiba isipatikane.
 
Watu wa pwani wana msemo unasema UKICHEZA NA MBWA ATAKUFUATA HADI MSIKITINI
Mama alianza kwa kucheza nao sasa asubiri wamfuate hadi msikitini

Nina uhakika kwa hii miaka 4 iliyobaki mama hawezi kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya na CHADEMA wanalijua hili ila wanatafuta kiki ambazo hazitakua na faida kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu Ila you are missing something
 
Shida yako unataka watu waishi kwa Hisani ya Samia ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…