Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Primitive& mind colonials;
Angekaa ushuani angeishi milele?
Usitegemee kwenda msibani ulakuta kila kitu kipo smooth km umeenda vacation, umeenda kuwafariji wafiwa, mnayoyakura myaache hapo, ni uswahili kuanza kujadili maisha ya watu hasa waliofikwa na jambo!!
 
Huyo Baba wa Mbwana hana that old..
Huyo ni middle aged tu..
Halafu ana ka-shule fulani, aliwahi kuwa polisi.
Tena huyo atakuwa rika la kocha Julio-au Mgunda early 1960's.

Sasa Julio ana mzee upi wa kupoteza interest ya kuishi mazingira yaliyoboreshwa.
Na Wassira aitweje, au Msuya.

Samatta ni national icon...samatta ni celebrity...ndio Drogba wa kwetu.

Hawezi ku-host Msiba unaomgusa katika mazingira aina ile No No No...wakati nafasi inamruhusu.

Amevuruga kabisa portrait ya Wachezaji-mpira mbele ya Jamii...
Wachezaji wamechorwa as if Wahuni-wahuni, wanyonge, bangi, njaa kali,

Samatta alipaswa awe version mpya ya wachezaji wa zama za leo...sio wale wa zama za akina Chuji, au Boban
 
Wako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewi
Kuzungukwa na masikini ni kero sana
Hata angeishi masaki angekufa ila hapa tunajaribu kumoa mtu hadhi yake
Wazee wanahitaji maeneo tulivu wajifika umri wa utu uzima
Mbagala sio sehemu sahihi
Samatta amejenga nyumba nzuri sana Kibada, wako karibu na Joti.

Nijuavyo ndg walimrudisha nyuma sana.
Alikuwa akiwatumia pesa wajenge, wao wakafuja na kumjengea kituko.

Ndipo aliwaachia hiyo nyumba yeye akafumua mjengo mpya.
 
UNaijua mijengo ya Samatta?
 
Kabisa mkuu,kama drogba wetu baba yake anafia mazingira duni sio sifa njema
 
Kumbuka hizo option zako na mtazamo wako hauapply kwa watu wote...Wazee wengi wa Pwani hawape di maisha ya upweke...huwezi kwenda kumpeleka kwenye maisha yasiyo na mwingiliano wa neighbourhood aliyoizoea huko ni kutaka kumua mapema na upweke.
Ameshazoea anatoka anaenda kwa mzee Jumaa wanapiga stori wanakunywa kahawa na wazee wenzie wenye haiba zinazofanana sio umpeleke sehemu hizo zilizojaa upweke na ubinafsi.
 
Acha kupangia watu maisha
 
Leo mdukuzi
Leo umechamba mdukuzi, sijui ume copy na ku paste hapa au ndio mawazo yako leo ndio yamekutuma kuandika andiko la kitoto kama hili?

Kifo kinakukuta popote pale, uishi kwenye Mansion /Palace au uishi kwenye kibanda /mbavu za mbwa kama ni sehemu unayo hisi inakupa amani ya moyo inatosha kabisa.

Kufia Mbagala unazikwa mawinguni?
Kufia Masaki /Oystebay /Upanga unazikwa wapi?

As long as Mzee Samatta kafa na kafia sehemu yake kabla ya umaarufu wa Mwanae sioni shida kabisa. Sema wewe mwandishi leo umechemka aisee 😂😂😂

Wazee hawana mambo mengi, babu yangu alikataa kuishi mjini akawa analazimisha arudishwe kijijini. Lakini wewe Umeandika hili andiko kiulimbukeni tu pasipo kujua Wazee wa miaka ya 1970 na kurudi nyuma ni mahali gani wanapenda kuishi na wakafurahia maisha.
 
Yaani bibi angu hataki kusikia habari za maisha mazuri, alikatzwa aache kugema Ulanzi na kuuza,
Akajibu "mlisoma kupitia nini? Mniache na kazi yangu.
😂😂😂😂😂
 
Wazee wengi hawapendi kuhama kwenda mahali ambapo hajapazoea, aanze kutafuta wazee wengine ugenini...Bora atulie uswahilini alikozoea....maisha yetu yanajulikana, hakuna mahali gari inapita kufika nyumbani na nyumbani eneo dogo hakuna Cha kufunga maturubai😄😄 matumizi mazuri ya eneo, hatuishi milele....wake kuomboleza wakae pazuri, wapaki magari vizuri ..haiwezekani
 
Nunua nyu
kuna umri ukifika hakuna sababu ya kumhamisha mzee kwenye Maskani yake, Bali ni kuyaboresha tu.

Mtu ana miaka 50, Umtoe kwenye nyumba yake aliyo kua anaishi siku zote mbagala umpeleke mbweni like awe anaongea na Rami au
Miaka 50 ni umri wa dulky sykes,mwana Fa,haji manara,maulid kitenge,january makamba ,nape,je hao ni wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…