secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sina mpango huo mkuu, yule aliyenizaa atapajenga kwake.secretarybird naomba ujenge kwenu wewe mnyaturu mix mgogo
Nadhani kwetu Tarakea umeona ule msouth pale mgombani,
Hebu rudia kusoma ulichoandika uone kama utakielewa….Watu hawana uwezo wa kufanya hayo wanakwepa majukumu yao hakuna kingine mtu mwenye pesa hawezi kufikiri kujenga nyumba.
Mnakwepa majukumu kiongozi.Hebu rudia kusoma ulichoandika uone kama utakielewa….
Ok.Mnakwepa majukumu kiongozi.
Kutukana humu na kujenga nyumba ya 60m vina uhusiano gani ndugu?Kutwa mpo busy mnatukana humu nyumba ya 60m tu mnakataa kujenga
Daah kazi ipo hapa..
Sasa hii habari ni ya uongo. Na huko Kilimanjaro siyo kila mtu kajenga... Hizi ni habari za vijiweni?Narudia tena
Utamaduni wa kupenda makwao tuwaachie watu wa KILIMANJARO!
Mikoa mingine karibia yote ni majanga!
Unaweza kuta Wazazi wanakaa nyumba imechoka, hawana maji, umeme nk huku vijana wana tanua mjini
Mimi mwenyewe siwezi kujenga kwetu , watu mmezaliwa watoto kibao ujenge kwenu instead kujenga nyumba za kwako ili iweje !?Kila mtu ajenge nyumba yake hata mimi kwetu sijajenga na wala sina mpango
😀Kwanini baba hakujenga mji wake ?
Alikua kilema?
Kwani ni lazima kujenga kwenu !?Umasikini tu huu unawasumbua ukiwa na hela hauwezi kuwa na mawazo kama yako..tembea uone watu wanavyoishi sio kwa mawazo haya..nyumba shilingi ngapi mpaka useme umiliki wewe..
Mie sijui hata mzee anaezungumziwa, mie hapa nimejibu mada tu, mchizi ana maisha poa, ila mzee wake kibanda.. sijui ni mchizi gani na sijajua mzee ganiEmbu wekeni picha ya nyumba ya huyo mzee
Una mawazo ya kimaskini sanaMnakwepa majukumu kiongozi.
Ndio sababu ya kusema, mimi(binafsi yangu) na sijamshutuma asie saidia kila mtu na moyo wake, akili yake na maisha yake..Kuona ni wajibu haimaanishi kwamba ni wajibu. Mazoea ya kijamii yanaweza kulifanya jambo ambalo sio wajibu lionekane ni wajibu.
Yes, shida iko kwenye hapo kulazimishana mitazamo.. mie napenda saidia ndugu, ila asiesaidia simlaumu ndio akili yake inamwambia yuko sahihi.Ni sawa unachosema, Ila kwann usipojenga watu wakulaumu kama wanajua historia ya kimaisha ya Familia yenu?
Watu waache kufatilia mambo ya watu
Kuna samaki wamezoea kuogelea kwenye maji mpaka hawayajui haya ni maji, kwa sababu maisha yao yote wapo kwenye maji, hawajui kitu tofauti.Yes, shida iko kwenye hapo kulazimishana mitazamo.. mie napenda saidia ndugu, ila asiesaidia simlaumu ndio akili yake inamwambia yuko sahihi.
Njoo Tarakea uone mzeeSina mpango huo mkuu, yule aliyenizaa atapajenga kwake.
Ukishazaliwa toka kwenu usijuane na wale waliokuleta duniani maana hakujafiliana nawe kabla hajakuzaa.
Ulishaona wapi nyoka amemsaidia mzazi wake baada ya kuzaliwa?
Hebu tujifunze kwa wanyama na wadudu wajameni!
Ulijenga wewe ama baba yako akishitikia na mama yako?Njoo Tarakea uone mzee
Baba nimemjengea na tulishuka Juzi dec kuifungua, kwangu nimeishia lentaUlijenga wewe ama baba yako akishitikia na mama yako?
Mkuu acha hivyo basi! Mbona sasa umeshaanza kunishinda kimaendeleo.Baba nimemjengea na tulishuka Juzi dec kuifungua, kwangu nimeishia lenta