Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

NIKUAMINI VIPI BABA YAKO ANA NYUMBA MBEZI BEACH UNAWEZA NIPA USHAHIDI?
 
Shida ipo pale kwenye kulazimisha tufanane mitizamo..

Ifike mahala tukubaliane "KUTOKUKUBALIANA"
Watu washamba, wenye mabaki ya ujima, waliolelewa katika Ujamaa, ni kazi ngumu sana kuelewa hili somo.

Hili ni somo kubwa la kifalsafa la individual rights, individual freedom.

Watu wa Tanzania wengi sana wamezoea wote kwenda njia moja kama ng'ombe.

Akija mtu akileta wazo tofauti na walivyozoea wao tu, akiishi tofauti, wanamuona mbaya saana. Bila hata kuelewa sababu.

Halafu pia kuna element za kuchukiana na kudogoshana tu.

Mtu kawashinda maisha ya mjini, wanamtafutia visa kwenye msiba of all places, kwao huko hata bila kuijua familia.

Ni vitabia vya watu kusengenyana kijingajinga tu.
 

Wachaga wapo mbali Sana, halafu hawana show off kama huyu mjamaa
 
Na yeye anawekeza kwa watoto wake.

Baba yako alijenga kwa babu yako? Baba yako sio rijali?
Mbona watu wa Kaskazini wa Kilimanjaro na Arusha wameweza, mbona Mzee Mengi alijenga hekalu kijijini na hakuwa na show off, huyu jamaa ni msumbufu tu hapa Mjini biashara za ulozi na uchawi tu, chini ya kapeti marehemu katolewa kafara
 
WATU MNAO ISHI MAMTONI, MKIJA KWENYE MISIBA NI HURUMA TU MNAKUA MMECHOKA NA MIWANI MIKUBWA, KIDOGO TU NIGA, HAMNA CHOCHOTE SAHIVI MNAANDA KINGA ETI MZAZI ANATAKIWA AJIJENGE MWENYEWE SI KUSAIDIWA NA MWANAE,
 
Kama hao vijana hawakumjengea baba yao wamezingua sana, kwa hiyo miaka yote hiyo baba alikua analala wapi? nje au aliombewa hifadhi kwa jirani? 🙆‍♂️

Mbona Watu wa Arusha na Kilimanjaro wanajenga vijijini Maghorofa na hawana show off, huyu msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo wanaweza
 
NIKUAMINI VIPI BABA YAKO ANA NYUMBA MBEZI BEACH UNAWEZA NIPA USHAHIDI?
Sihitaji uniamini. Siko hapa ili nioate validation yako. Wanaoninua wananijua, wanatosha.

Ukishangaa nyumba Mbezi Beach hiyo ni dibaji tu sijakuambia kuhusu nyumba zetu za Boston na New York City.

In fact, sihitaji hata kujadiliana nawe mtu usiyejua kuandika kwa mpangilio unaandika in all caps kama ngumbaru.

Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Ila tajiri mkubwa Fred Vunjabei, yaani hata nyumba ya milioni 100 ameshindwa kumjengea baba yake?

Hakuna utetezi wa kutojenga nyumbani kwa wazazi

Anatamba Mjini kwa kuhonga honga vidada wa Chuo kwa kusafiri nao nje ya nchi uturuki, china na Dubai na kuwahonga Dolari masuper star wa Mjini, kumbe kwa Dingi yake hakuna alilolifanya kazi kutusumbua tu kwa show off za kitoto Mjini, Sasa hizo hela si angejenga mjengo wa maana kama wa Mzee Mengi machame ukiwa umezungukwa na miti
 
NINA WAZEE NAWAFAHAMU WALIKUA MATAJIRI WA KUTUPWA ILA SASA WAMEFILISIKA HAWANA KITU, UNA MAANA NA WAO WASISAIDIWE NA WATOTO WAO? KISA HAWAKUJIPANGA?
Tatizo hutaki kuelewa nini tunasema

1. Mimi binafsi sisemi watoto wasisaidie wazazi wao. Hili naomba unielewe mapema. Ninachopinga mimi ni kuniambia NI LAZIMA KUMSAIDIA MZAZI AU KUMJENGEA NYUMBA. HII ni hiyari na upendo wa mtoto, lakini Halazimiki kufanya hivyo

2. Kufilisika ni jambo la kawaida maishani, jambo la ajabu ni wewe kutoweka chochote kwa mategemeo watoto watanisaidia uzeeni, wakifa je itakuwaje?

Mbona mimi sikuachiwa chochote na baba na bado nawaza kuwaachia urithi wa maana wanangu?
 
SIKUTOFAUTISHI NA SERIKALI YA NCHI FULANI BADALA YA KUJIBU HOJA ZA WATU UNAANZA KUTAFUTA VISABABU VYA KUKIMBIA HOJA, NAKUAMRISHA WATU WAULIWE, WE UNGE KUA MTU MAKINI NA UNAEJIELEWA USINGE NITAMBIA NYUMBA ZENU ZA NEW YORK NK, HAPA TUNAONGEA MAMBO YA KUSAIDIA MZAZI, UNANITISHA ETI TUNA NYUMBA MBEZI BEACH, ALAFU HAO UNAOWASEMA WANAKUJUA NI WAJINGA TU, MACHAWA,NA WASIO JIELEWA, SI TUMETOKA KWENYE FAMILIA MASIKINI NDO TAMADUNI ZETU KUSAIDIA WAZAZI WE UNA TUONA WASHAMBA, NA BADO UNATAKA NIKUSUJUDIE BROTHER UANDISHI USIKUPE SHIDA MI NI MSUKUMA ATA LAFUDHI YANGU NIKIONGEA TU WANAJUA HUYU NGOSHA, SINA LENGO BAYA KWAKO NILITAKA UHESHIMU MILA ZETU MASIKINI ILI NASI TUHESHIMU MILA ZENU WE UNAPANDA UNAANZA KUNITAMBIA NYUMBA MBEZI, UMEULIZWA? LE MUTUZ ALIKUA KAMA WEWE SI ALIUUMBUKA BADAE, WATISHE WAJINGA WENZAKO HIKI KICHWA ACHANA NACHO KABISA, MAREKANI UMEPELEKWA, MARA YANGU YA KWANZA NAENDA SOUTH NILIENDA KWA PIKPIK KUBEBWA NA KABURU TENA DEMU TU, SIJUI NAENDA WAPI, SIJUI ALIENIBEBA, SIJUI NAENDA KUISHIJE SINA HAKIKA KAMA NAPO ENDA NI SOUTH YANI BETTING TU ALAFU MUHUNI NAJIAMBIA NENO MOJA TU, ............



POTELEA POTWE
 
Mpe vidonge vyake, usimuonee huruma!
 

Huyu jamaa nimemdharau Sana labda sijui Mimi wa Kaskazini, lakini huyu jamaa yangu kachemka Sana tena Sana.

Nguvu ya kuhonga makahaba angeelekeza Iringa apate hata eneo la Eka 10 ajenge Mjengo wa laana zaidi hata Yale Majengo ya ghorofa yaliyopo Machame, halafu ndiyo ulete fujo Mjini siyo unaleta fujo Mjini wakati Marehemu Baba Yako alikuwa anaishi kwenye nyumba utafikiri Banda la Kuku. Eneo dogo kama viwanja vya Sinza vya sqm 400
 
Kumjengea Baba Yako nyumba kama watu wa Kaskazini wa Arusha na Kilimanjaro wanavyofanya huko vijijini kwao na kwenda kuhonga Malaya Kila siku mamilioni kipi Bora?
 

Tusilee huu ujinga
 
MKUU NAOMBA NIKUJUZE USITAKE KAMWE MAISHA YA TAJIRI UUJUI MASHARTI ANAYOISHI

MATAJIRI WENGI WANAISHI MAISHA MTESEKO MKUU ASIKWAMBIE.MTU

JUN NIKIENDA KUZIKA TAJIRI MKUBWA TU PALE TANGA ANA BIASHARA ZA KUTOSHA

JUFIKA KOROGWE NANGALIA MBELE MBONA TUMESIMAMA ULIZA WHY

PEMBEN KUNA NYUMBA YA UDONGO NDOGO KABISA

KUKIA KUNA MSINGI WA VYUMBA 7 UNA UKUNGU UMEISHIA DIRISHAN

PEMBEN YAKE MSINGI WA VYUMBA 5 NA SEBULE NK IMEISHIA CHINI HUU HATA DIRISHAN HAIKUFIKA


NKAONA MZEE ANASHUSHWA ANAINGIZWA KWENYE NYUMAMBA YA UDONGO

AISEE N AIBU UNAJUA WAKIOINGIA HAAAKUZIDI 7 WAKAOMBA TUKAE NJE KUMEJAA DAH AISEE

WALIPOTOKA NKAOMBA NIINGIE KUANGALIA ALIPOWEKWA NAINGIA CHUMBAN KWAKE NAINAMA MKUU YAAN MITI NAIONA ILE NIKISMAMA


WATU WALICHINJA MBUZI ZA MAANA..BAADA YA KUULIZA NDUGU NDIPO NKAMWOMBA MUNGU NISIWAHI KUTAMAN MAISHA YA MTU KAMWE NA UTAJIRI WAKE


MMOJA WA NDUGU AKASEMA KESHO YAKE INAONA ILE MSINGI..MMOJA ALIJENGA AKAISHIA DIRISHAN ALIPAYA AJALI MBAYA KARIBU KUFA......


AKARUDI NAFIKIRI AKASHAURIWA KULE KUACHE WEKA MSINGI MWINGINE PANDIAHA HAKUNA WA KUKUGUSA

TAJIRI ALIPOFIKA TU MSINGI KISUKARI.PRESSURE..UTI.KISONONON YAAN MAGONJWA HATARISHI YOTE AJAYABEBAA...


AKAPAMBANA ANAKOPAMBANA AKATOBOA AKAWA SAWA... ANAJIPANGA AKAPANDISHE IKATUMWA KANSA YA HATAREEE ISIYONA MAELEZO WALA USHIRIKIANO.......


WIKI KADHAA ATULO NAEE..
 
MI siwalaumu kabisa wengine kwao walsmishaandikiwa hawatajenga na wakijpambana hawatamaliza huo ujenzi

Ndioo maana nasisitiza na mwakasege anasisitizaa ukiwa na familiaaaa kataa mizizi yenu na ukoo wenu taja vizazi na vizaziii.....

Kataa laana mateso ya ukoo aliyopitia Baba na mamako na mababu zakoo else lazima kiumane shehe

Altazaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…