Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Mkuu sasa huo si mfano mmoja tu.
 
Nilichogundua Watanzania wengi wanaishi kwenye kundi la Umasikini haiwezekani wanajadili kitu cha chini ya 80m kama familia na wanakomaa hapana kwani lazima.
Kuna uwezekano una tafsiri mbovu kuhusu utajiri na umasikini.

Na unafikiri kile unachoamini wewe kila mtu ana amini hivyo.
 
Mnaitamka USA kama vile unaitamka Somalia hizo Nchi mambo ya makazi,kula kusafiri walimaliza karibu karne kadhaa nyuma wazee..
Kwahiyo huko kila mtu ana nyumba? Hakuna wapangaji huko? Je nyumba zilizopo huko zimetosheleza mahitaji?
 
Hao ni wakinga ambao anasa siyo desturi zao.
Lakini hata matajiri wengi akiwemo Dangote huwa wanaishi maisha ya kawaida tofauti na kiwango cha utajiri wao.
Matajiri feki kama akina Chief Godlove nk ndiyo huwa wanaishi maisha ya kuigiza kama futuhi.
Safi sana
 
Unatetea usenge mwana ni mashaliti ya mganga kutojenga
 
Kwahiyo huko kila mtu ana nyumba? Hakuna wapangaji huko? Je nyumba zilizopo huko zimetosheleza mahitaji?
Hapana kupanga sio kesi kama unajiweza mkuu hata hapo home unaweza kupanga sehemu ingine na una nyumba mkoa mwingine yaani swala la nyumba kwa Nchi zilizoendelea sio ishu kaka.
 
Na wewe unavyowambia watu kujenga ni kujilisha upepo? Au hujui kila kitu ni kujilisha upepo?, watu kujenga wewe inakuhusu nini ?
Angalia Biblia inavyosema 👇

14. Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.

Mithali 19 : 14
 
Kuendelea kutetea kutokua na nyumba ya 60m ni dalili za umasikini hizo hakuna tafsiri tofauti hapo Tajiri hawazi vitu vidogo hivyo..
Tajiri kama tajiri hatumii hela kijinga kijinga. Matajiri fake ndiyo kazi yao kutaka kujionyesha mil 60 ni hela ndogo kwao.
 
Nafikiri wengi wanaozungumzia kujenga kijijini ni watu waliozaliwa huko na wazazi wao bado wanaishi kijijini.
Kwa binadamu wengi ardhi yenye chimbuko lenu kiukoo huwa inaleta "emotional link" ambayo haina thamani ya pesa. Refer Dr Livingstone, Chuma and Susi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…