Mahitaji yako siyo mahitaji ya kila mtu. Kama wewe umejenga usitake kila mtu apoteze hela kizembe hivyo.Jengeni nyumba nyumbani ndio hoja iliyo mezani..
Wanaotetea huo ujinga nahisi wamelelewa na single maza.Tuache kutetea Ujinga wakuu,
Kama mtu unakipato Cha kubadilisha Mboga na Kugombania totoz hapa town, Kipi kinakushinda kurekebisha mazingira ya home??
Ivi husikii raha ukikuta home Pako fresh na wazee wanafurahia?
Uchimba chumvi huu...Mahitaji yako siyo mahitaji ya kila mtu. Kama wewe umejenga usitake kila mtu apoteze hela kizembe hivyo.
Nyumbani ni kaburini, huko kaburini utaishi hata miaka 1000 siyo hii 70 ya hapa njiani.
Angalia Biblia inavyosema πUchimba chumvi huu...
Sasa wewe unaumia nini? hasira zako zimembadilisha?Acha ujinga huyu jamaa Kila wiki kazi kuhonga makahaba tu kumbe Dingi anaishi kwenye nyumba kama Banda la Kuku
Mkuu ukishafungua vifungu vya Bible basi tena sina neno endelea tu kunipa neno bhana tuache mambo ya nyumba sio ya muhimu..Angalia Biblia inavyosema π
14. Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.
Mithali 19 : 14
Ni Baba yako ndiye anawajibika kukujengea wewe nyumba, siyo kinyume chake, labda kwa upendo tu au huruma bali siyo lazima wala wajibu.
Hata ukienda leo huko usukumani porini utakuta Baba ndiye anakulipia mahali hata kama ni ng'ombe 100 kisha anakujengea na nyumba (ya miti na udongo mara nyingi), baba anaweza kwenda mbali akakutafutia na huyo demu (mke) yeye mwenyewe! Hata wamasai huko vijijini kabisa bado wanaishi hivi.
Baba wa mjini Dar Es Salaam anakulipia ada halafu basi utajijua mwenyewe na mwisho wa siku uje kumjengea wewe nyumba ya kuishi yeye!
Huyo mzazi kilema kwa nini azae watoto, wakati anajua yeye ni kilema maskini?Hoja yako inakosa uhalisia. Fikiria kuna watu wamezaliwa na wazazi vilema, wanaishi kijijini huko, nyumba mbavu za mbwa. Halafu inatokea mtoto ufanikiwe na baada ya hapo usiyabadilishe hayo maisha ya wazazi wako kweli?
Mi sijawahi kuona mzazi anakataa kujengewa nyumba na mtoto wake. Hiyo nadhani umeisema kama assumption tu kwamba, labda baba yake alikataa kujengewa.
Halafu inatia kinyaa, yaani mtu bilionea halafu eti mzee wako anaishi mbavu za mbwa, mabati yameegeshwa kwa mawe badala ya misumari. Halafu bilionea umekuja msibani na gari ya milioni 500. Hiyo kwako wewe ndo akili ya kitajiri?
Mimi wacha nibaki na mawazo ya kimaskini ya kujenga nyumbani kwa wazazi, wewe baki na mawazo ya kitajiri kwamba sio muhimu kujenga kwa wazazi, wacha waendelee kulala nyumba mbavu za mbwa, mimi nakula bata mjini, natumbua na warembo, niwahonge mamilioni!
Msimamo wangu ni ule ule: hakuna sababu itamfanya mtu kutojengea wazazi--hakunaa!
Kufatilia Maisha ya watu kukikuzidi ni lazima uwe mchawiNi mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.
Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!
Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.
Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Hao wazee maskini wakati wanamwagia kwa ndani, walitegemea nani aje kuwasaidia malezi?We ungejiskiaje mumeo aje kwenu kujitambulisha halafu unakuta mfano kwa mzee wako ni nyumba mbavu ya mbwa, mabati yameegeshwa kwa mawe badala ya misumari.
Wazee wako bahati mbaya standard seven, hawana kazi ya maana. Halafu wamekusomesha mtoto, unafanikiwa, upo zako mjini unakula bata, huoni umuhimu wapate hata nyumba ya milioni 20. Huo ndo ujanja?
Na ukienda kumtambulisha mumeo, bado utajiskia sawa tu kumkaribisha kwenu nyumba mbavu za mbwa?
Home ni pale unapoishi.Tuache kutetea Ujinga wakuu,
Kama mtu unakipato Cha kubadilisha Mboga na Kugombania totoz hapa town, Kipi kinakushinda kurekebisha mazingira ya home??
Ivi husikii raha ukikuta home Pako fresh na wazee wanafurahia?
1.Kwaio kwasababu baba yako alijenga kabla wewe hujazaliwa, na wewe ulijenga kabla mtoto wako hajazaliwa hivyo ndo inavyotakiwa kua? Mbona sasa kama vile wewe unataka uimpose standard za baba yako na zako wewe kama SI unit?Hakuna mtu anayesema wazazi wasihudumiwe na watoto, elewa kusoma kwa ufahamu.
Na hili si suala personal ni hoja dhahania, ya kifalsafa.
Kama tunataka kuongea personal,
mzazi wangu ana real estate porfolio ya zaidi ya dola za Kimarekani milioni tano na ana jumba Mbezi Beach anataka kuligawa liwe makazi ya watoto yatima.
Alijenga nyumba zake huko alikotoka na mjini Dar kabla sijazaliwa.
Na mimi pia nilijenga nyumba kabla ya mwanangu kuzaliwa.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Matatizo ya kujenga nyumba katika familia yetu tukishayamaliza.
Sasa hivi tuna tatizo jipya, majumba tuliyojenga tuyafanyie nini?
Kwani Biblia inasemaje? Kati ya baba na mtoto yupi anatakiwa kumjengea mwenzie nyumba?1.Kwaio kwasababu baba yako alijenga kabla wewe hujazaliwa, na wewe ulijenga kabla mtoto wako hajazaliwa hivyo ndo inavyotakiwa kua? Mbona sasa kama vile wewe unataka uimpose standard za baba yako na zako wewe kama SI unit?
2. Kwanza individual gani huyo ana portfolio ya real estate ya $5,000,000 akatae $3,000,000 wakati hata hao mlimani city holding hawana hio turnover taja kampuni gani hio yenye turnover hio least of all properties hizo
3. Watu wana haki ya kusema vike wanavyotaka kwa huyo anaejidai huko mitandao kama nyumba ni mbovu ni mbovu ndo maana picha mnato na video mjongeo zilizuiliwa huko kwasababu ya aibu
Inaonekana watu wengi hawajajenga makwao huko...πππ
Ringa kwijula kyala ikupa.. ππ
1. Umefanya mfano kuwa mada. Sijakwambia iwe hivyo kwa sababu baba yangu kafanya. Nakwambia iwe hivyo kwa sababu huo ni mkakati wa kuondoa umasikini wa kumtegemea mtoto kama kitegauchumi.1.Kwaio kwasababu baba yako alijenga kabla wewe hujazaliwa, na wewe ulijenga kabla mtoto wako hajazaliwa hivyo ndo inavyotakiwa kua? Mbona sasa kama vile wewe unataka uimpose standard za baba yako na zako wewe kama SI unit?
2. Kwanza individual gani huyo ana portfolio ya real estate ya $5,000,000 akatae $3,000,000 wakati hata hao mlimani city holding hawana hio turnover taja kampuni gani hio yenye turnover hio least of all properties hizo
3. Watu wana haki ya kusema vike wanavyotaka kwa huyo anaejidai huko mitandao kama nyumba ni mbovu ni mbovu ndo maana picha mnato na video mjongeo zilizuiliwa huko kwasababu ya aibu
Inaonekana watu wengi hawajajenga makwao huko...πππ
Ringa kwijula kyala ikupa.. ππ
Kabisa!Nafikiri wengi wanaozungumzia kujenga kijijini ni watu waliozaliwa huko na wazazi wao bado wanaishi kijijini.
Weanaoishi maisha mazuri huwezi kuwakuta wanaenda back and forth kujengea wazazi kijijini.Kabisa!
Lakini uhalisia ni kwamba maisha ya kijijini leo siyo sawa na miaka ya nyuma. Unaweza kuta kuna watu wanaishi maisha mazuri vijijini, wa mjini can only dream of.
Siku zote waafrica wengi wetu tukishimdwa kushirikisha akili na nguvu kupambana na Hali zetu, tunakimbilia kwenye dini kujifarijiMkuu ukishafungua vifungu vya Bible basi tena sina neno endelea tu kunipa neno bhana tuache mambo ya nyumba sio ya muhimu..