SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Vipi wameagizwa na Magufuli?Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)
Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.
Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.
Hiyo ndio post yake ya mwisho ⏬
Tanzania hakuna kura, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Akitoka na yeye atembee kuonyesha majeraha.
Labda nitawaonea huruma, lakini kura hampati.
Nasubiri yanayojiri
Kinachomponza huyo jamaa ni njaa, huwezi kupigiwa simu za kuuza vitabu kisha ukajipeleka hovyohovyo tu.Mdude ni Shujaa
Nakazia...Mbowe amewaonya nyie uchwara lakini mnajifanya hamsikii.
Nani mwizi wa kura.Viongozi wezi wa kura hawataki kutukanwa, kuna matusi zaidi ya wizi wa kura?
Efidence duh!!Unapomshutumu mtu kibaka, lazima uwe na efidence,, unless otherwise hilo linakuwa kosa kisheria🤷♂️
Shida ni chawa. Bado wana ndoto za mwenda zake.Hold on....[emoji113]
Simlisema maridhiano tayari..[emoji848]
Raiya mwema huna haja ya kuogopa polici sababu ndio walinzi wa amani.Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)
Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.
Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.
Hiyo ndio post yake ya mwisho [emoji675]
Nakusikia.Tanzania hakuna kura, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Shujaa wapiMdude ni Shujaa