Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Moja ya nukuu za JK zitakazoishi hata baada yake na zitakazomjengea heshima daima.
 
Ratiba ya Mikutano .Kanda ya NYASA .....kuna mtu anaunguwa na Joto la Mkutano kupigwa jimboni..

Mungu ibariki Chadema na WaTanzania wote wapenda HAKI
 

Mtambuka, mr chopa karibuni muendelee kukenua
 
Mdude ni ndugu yangu kama ulivyo wewe mkuu. Basi na uwe huru kupokea ya kwake kukuhusu wewe.
Impressed by your humble reply.

Sina personal hatred kwa Mdude. Ninachokikosoa kwake ni tabia yake ya kuropoka, na ni suala ambalo anawakwaza hata wenzake ndani ya chama na hata wapo baadhi huwa wanamsahihisha mara kwa mara - tena waziwazi.

Kama chama kikuu na mpinzani halisi wa CCM hatupaswi kuwa na mentality kama za watu wa upande huo. Tunapaswa kuwa smart; tusiwape watu sababu.

Akibadilika ni kijana mzuri. Lakini anaonekana ni kichwa ngumu.
 
Chadema ina vijana wa hovyo. Mdude huwa anajihisi nani labda

Uhuru was maoni ni haki ya msingi ya mtu. Kama yanavyo heshimiwa ya kwako kuwa tayari kupokea ya wengine dhidi yako kokote uliko. Kwa hakika huo ndiyo ulio ustaarabu.
 

Mkuu watu hawawezi kulingana. Zingatia tofauti ya kauli za mwendazake, JK, Samia nk.

Pamoja na yote ni muhimu tukatambua u tofauti wetu ndiyo ulio wa muhimu zaidi na hasa katika mapambano.

Mdude ana guts. Zinahitajika guts kuleta mabadiliko.
 
Hold on....✋
Simlisema maridhiano tayari..🤔
Nilishawaambia maridhiano yale ni ya bandia

Bado mtaona mengi na wengine tutaanza kuwindwa ili wamsaidie Muunga kazi halafu wamsingizie kazi yake haina makosa

Ni suala la muda tu
 
Naye azunguke na Tundu Lissu waonyeshe makovu yao, tuwashangilie weeeeew piiiipooooooo
Kura: Hawapati
Wabakie kitamthilia kitamthilia watu bado wanapenda za bure manake hizi za bando hatuziwezi.


Ni vizuri kajiachilia.
 
Huyu alisema atanyoosha Samia kama alivyosema mnyoosha Magufuli.wacheni amnyooshe

USSR
Sasa mbona mnamteka kama mnaona anamakosa kwanini msimwite akafika huko kituoni?

Ndio nguvu zenu zilizobakiaa kuzitumia tu za policcm nje ya hapo hamna uwezo wa kushindana na hata nzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…