๐๐๐๐๐๐ hatariiii sana uduguu.Uduguu wangu haya wala siyabwagi muda bado sanaaa!!
Raha ya miubuyu km hii inikute nishapiga vitu vyangu. Nimetulia na glass yangu ya shots pembeni nalianzisha huku napiga vitu vya muitaly.
Nasema uongo uduguu wangu? ๐น๐น๐น
Aahaa udugu tulia sikurupuki miye mpk kiumbe majnuni aingie kwenye mfumo nianze shengesha langu. Na Uzuri nayawezaโฆ!! ๐
Mzee wa upako akichangia shiling ya mkate mezani.Mwandiko wa Pdidy
Wakkahi ntachukua mda kuusahau
Nilitafna mtoto mmoja wa Arusha kupitia jf
niseme tu alikuwa na K tamu elewa k tamu
Acha kabisakaa kijanja
1. DDOS ATTACK
2. KUZiMWA INTERNET NA KUIKOSA JF
3. KuFUNGWA KWA JUKWAA LILEEEE PENDWA
Kula nyama tamu za kuchoma, kuroast, kisinia, mchemsho na hata za mchuzi! Hakika mungu ni mwema!!
January imekuwa ngumu sana yaan hata maji ya upako ya buku tumepunguzq kwa 500 bado hawanunui ukweli Jan iende tuMzee wa upako akichangia shiling ya mkate mezani.
HatariAcha kabisa
kumbe ndio Mana Munch wa Anabelle kaleta mudomo kapigwa solex kubwa.
Dah nikikumbuka nachoka mimi aisee asubuhi ๐๐GiLesi mitikisiko tako limemzidi uzito anaomba ushauri.๐คฃ๐คฃ๐คฃ Bujibuji Simba Nyamaume
Robert Heriel Mtibeli mbona toka kitambo anatoa madini humu na hamna tabia za hovyo na za kitoto kwenye nyuzi zake ?Wakina Robert Helieri
Mods hawakutaka kuangalia hata umri wake wamstahi. Halafu alivyokua anajibu nyodo wanaume sasa kwenye reply ๐คฃ๐คฃ๐คฃDah nikikumbuka nachoka mimi aisee asubuhi ๐๐
Ile siku nilijikuta nacheka siku nzima ,yule mbaba alijua kuvuliwa nguo na mods aisee .Mods hawakutaka kuangalia hata umri wake wamstahi. Halafu alivyokua anajibu nyodo wanaume sasa kwenye reply ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nilitafna mtoto mmoja wa Arusha kupitia jf
niseme tu alikuwa na K tamu elewa k tamu
Wewe Dogo wa juzi Jf hauna historia humuMjusi leo nimekosa pa kucoment nimebaki napapasa ukuta tu.
DJ sepetu au Muosha rungu .Kuna jamaa alikua anaanzisha nyuzi za challenge, anaitwa member mmoja anaulizwa maswali, sijui iliishia wapi
Kenya talkHapo namba 2, kuna wakati wazee wa JF tukawa tunatokea "JF ya mchongo ya Kenya" baada ya JF halisi kutokupatikana...
1.Enzi hizo Jf ilikuwa ukiwa mgeni watu walikuwa kama wanajua jinsi wanavyochatUnakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?
Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!
Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?
Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani.
Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako mkali? Au kipindi kile Makonda na Zitto wako active huku.
Unahisi saivi makali ya nyuzi ndani ya JF yamepoa au ndio yameongezeka.
Any story unaeza share.