ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hata awe na miaka 50, mzazi akitaka anaolewa tu , mbona hata wakina Yakobo waliozeshwa tu lakini wanawake sio chaguo lao , ndoa ni suala la mzazi kuamua weweMzazi akibariki ubakaji, inaacha kuwa ubakaji? Mtoto wa miaka 9 hana uwezo wa kukubali wala kukataa, hivyo ni ubakaji….
Wewe unahakika gani kama hayo maneno ni ya Bi Aisha?Ungea kwa ushahidi wa Kimaandiko.
La utakuwa unaongea pumba tu.
Lete Ushahidi kwa unacho kiongea kama ni mkweli
Huwa mnaongopa sana
Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that
'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."
Bila kuleta andiko unaonekana kama ni mlopokaji tu.
Mtume wa Allah anakatamani katoto ka miaka 6 na kukaingilia kakiwa na miaka 9 huku mwenyewe Kikongwe wa miaka 54.
Is pure from other side
Mtoto wa miaka 9 akiolewa kwa ruhusa ya mzazi, mzazi anakuwa kabariki ubakaji,Hata awe na miaka 50, mzazi akitaka anaolewa tu , mbona hata wakina Yakobo waliozeshwa tu lakini wanawake sio chaguo lao , ndoa ni suala la mzazi kuamua wewe
Mkuu watu humu wanajadili kihisia sana.Wamasai wana Mila ya kuchumbia mimba kama lakini haimaanishi kama akizaliwa tu anaolewa bali huwa anasubiriwa afikishe umri sahihi ndipo aolewe... Watu wengi wanakurupuka katika kuelewa vitabu vya dini vinavoelekeza, kwa kuelewa wangu na jinsi nilivyofanyia utafiti maandiko hayo ni kwamba unaruhusu wa kuposa binti wa miaka 9 na uka endelea kumsubiri mpaka afikishe umri sahihi ndio umuwowe
Ila hamsemi ni umri gani ulikuwa sahihi enzi hizo binti kuolewa na kwanini umri huo?Mtoto wa miaka 9 akiolewa kwa ruhusa ya mzazi, mzazi anakuwa kabariki ubakaji,
Kwa hiyo waarabu wa Iraq sio waislamu?Tusipende kukurupuka unaposikia jambo lifanyie uchunguzi kwanza ujue aliyepitisha ni nani na kwa sababu zipi , halafu siyo kila muarabu ni muislamu ndio maana unaona leo syria wameweka christmas kama public holiday na. Lebanon miaka yote raisi lazima awe mkristo
😂😂 Wewe siyo muislam.hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Kwa hiyo mtume aliikiuka Quran kwa kuoa mtoto wa miaka 9?Maelekezo yote kuhusu ndoa na kuoa na wanawake yamepewa sura nzima katka Quran surat Anisaa sura ya 4, na humo imewekwa wazi anayekidhi vigezo vya kuolewa ni Mwanamke sasa mtu mwenye miaka 9 ni Mwanamke? Hapo lazima akili itumike muongozo upo tena umejitosheleza huwezi kufuata hadithi katka kuoa wakati Quran imeisha tuelekeza anaye olewa ni mtu wa namna gani watu Sunni sijui shia na madhheb ndio changamoto wametuletea hizi kwa kufosi fosi hadithi ziwe base ya hukumu badala ya Quran. Hao watu wa Iraq wako Wrong tena ni mihemko tu
Kila binadamu kiasili ni muislam sasa lakini uislam sio jina tu na kujitengea ka kundi imani na kitabu ndio vina toa majibu ya Uislam wakoKwa hiyo waarabu wa Iraq sio waislamu?
Je mtume anaweza kwenda kinyume na Quran?Kwa hiyo mtume aliikiuka Quran kwa kuoa mtoto wa miaka 9?
Kwa zama hizi ambazo kuna haki mpaka za mashoga na wasagaji ni sahihi,ila kwa zama hizo za manabii hakukuwa na shida yeyote kama kabalehe mtoto wa kike, maana. Hata kwenye ukoo wengine walikuwa hawana urithiMtoto wa miaka 9 akiolewa kwa ruhusa ya mzazi, mzazi anakuwa kabariki ubakaji,
Sasa kama Quran imesema mwanamke ndo anatakiwa kuolewa halafu wewe mwenyewe umesema binti wa miaka 9 sio mwanamke huoni kama kakiuka?Je mtume anaweza kwenda kinyume na Quran?
Mtoto wa miaka 9 hana uwezo wa kukubali au kukataa.., ni ubakaji..Kwa zama hizi ambazo kuna haki mpaka za mashoga na wasagaji ni sahihi,ila kwa zama hizo za manabii hakukuwa na shida yeyote kama kabalehe mtoto wa kike, maana. Hata kwenye ukoo wengine walikuwa hawana urithi
Hio ni sheria kwa Wairaq lakini kwa waislam sheria ziko Quran 4.Sheria mbovu sana
Anaweza kukosea kama binadamu ndio maana kuna maandiko ukiyasoma sababu ya kushuka kwake kama onyo kwa mtume asifanye jambo fulani afanye jambo lingine, alikuwa binadamu huyu , mbona hata wakina Nuhu walikunywa mpaka wakaacha korodani nje nje mpaka anakuja kulaani mtoto kwa ulevi wakeJe mtume anaweza kwenda kinyume na Quran?
Je mtu wa kike wa miaka 9 anakidhi vigezo vya kuwa Mwanamke? Kimaumbile na kiakili?Sasa kama Quran imesema mwanamke ndo anatakiwa kuolewa halafu wewe mwenyewe umesema binti wa miaka 9 sio mwanamke huoni kama kakiuka?
Hebu nieleweshe hapa mkuu.
Ndoa ilikuwa ni amri ya mzazi sio suala la mtoto mbona nimesha kuelezea , mtoto wa kike hakuwa na maamuzi kwenye kuolewa yeye ni KUTII tuMtoto wa miaka 9 hana uwezo wa kukubali au kukataa.., ni ubakaji..
Ondoka tu kama kama hauna imani na Uislam, unangoja nini?hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Jibu swali langu mkuu kama hauna jibu kausha na sio kunuliza tena maswali ambayo ulitakiwa umuulize Mtume.Je mtu wa kike wa miaka 9 anakidhi vigezo vya kuwa Mwanamke? Kimaumbile na kiakili?