Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mzazi akibariki ubakaji, inaacha kuwa ubakaji? Mtoto wa miaka 9 hana uwezo wa kukubali wala kukataa, hivyo ni ubakaji….
Hata awe na miaka 50, mzazi akitaka anaolewa tu , mbona hata wakina Yakobo waliozeshwa tu lakini wanawake sio chaguo lao , ndoa ni suala la mzazi kuamua wewe
 
Ungea kwa ushahidi wa Kimaandiko.
La utakuwa unaongea pumba tu.
Lete Ushahidi kwa unacho kiongea kama ni mkweli
Huwa mnaongopa sana

Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that

'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."

Bila kuleta andiko unaonekana kama ni mlopokaji tu.
Mtume wa Allah anakatamani katoto ka miaka 6 na kukaingilia kakiwa na miaka 9 huku mwenyewe Kikongwe wa miaka 54.
Is pure from other side
Wewe unahakika gani kama hayo maneno ni ya Bi Aisha?
Hakuna mke wa mtume aliyetajwa dhahiri katka Quran mwanamke aliyetajwa kwa majina ni mmoja tu, binti Imran sasa wewe unakuja na hadithi ambayo haina support ya aya hii itabaki maneno tu iliyokutana nayo lolote linaweza kuchomekwa tu
 
Hata awe na miaka 50, mzazi akitaka anaolewa tu , mbona hata wakina Yakobo waliozeshwa tu lakini wanawake sio chaguo lao , ndoa ni suala la mzazi kuamua wewe
Mtoto wa miaka 9 akiolewa kwa ruhusa ya mzazi, mzazi anakuwa kabariki ubakaji,
 
Wamasai wana Mila ya kuchumbia mimba kama lakini haimaanishi kama akizaliwa tu anaolewa bali huwa anasubiriwa afikishe umri sahihi ndipo aolewe... Watu wengi wanakurupuka katika kuelewa vitabu vya dini vinavoelekeza, kwa kuelewa wangu na jinsi nilivyofanyia utafiti maandiko hayo ni kwamba unaruhusu wa kuposa binti wa miaka 9 na uka endelea kumsubiri mpaka afikishe umri sahihi ndio umuwowe
Mkuu watu humu wanajadili kihisia sana.
 
Tusipende kukurupuka unaposikia jambo lifanyie uchunguzi kwanza ujue aliyepitisha ni nani na kwa sababu zipi , halafu siyo kila muarabu ni muislamu ndio maana unaona leo syria wameweka christmas kama public holiday na. Lebanon miaka yote raisi lazima awe mkristo
Kwa hiyo waarabu wa Iraq sio waislamu?
 
Maelekezo yote kuhusu ndoa na kuoa na wanawake yamepewa sura nzima katka Quran surat Anisaa sura ya 4, na humo imewekwa wazi anayekidhi vigezo vya kuolewa ni Mwanamke sasa mtu mwenye miaka 9 ni Mwanamke? Hapo lazima akili itumike muongozo upo tena umejitosheleza huwezi kufuata hadithi katka kuoa wakati Quran imeisha tuelekeza anaye olewa ni mtu wa namna gani watu Sunni sijui shia na madhheb ndio changamoto wametuletea hizi kwa kufosi fosi hadithi ziwe base ya hukumu badala ya Quran. Hao watu wa Iraq wako Wrong tena ni mihemko tu
 
Kwa hiyo mtume aliikiuka Quran kwa kuoa mtoto wa miaka 9?
 
Kwa hiyo waarabu wa Iraq sio waislamu?
Kila binadamu kiasili ni muislam sasa lakini uislam sio jina tu na kujitengea ka kundi imani na kitabu ndio vina toa majibu ya Uislam wako
 
Mtoto wa miaka 9 akiolewa kwa ruhusa ya mzazi, mzazi anakuwa kabariki ubakaji,
Kwa zama hizi ambazo kuna haki mpaka za mashoga na wasagaji ni sahihi,ila kwa zama hizo za manabii hakukuwa na shida yeyote kama kabalehe mtoto wa kike, maana. Hata kwenye ukoo wengine walikuwa hawana urithi
 
Je mtume anaweza kwenda kinyume na Quran?
Sasa kama Quran imesema mwanamke ndo anatakiwa kuolewa halafu wewe mwenyewe umesema binti wa miaka 9 sio mwanamke huoni kama kakiuka?
Hebu nieleweshe hapa mkuu.
 
Mtoto wa miaka 9 hana uwezo wa kukubali au kukataa.., ni ubakaji..
 
Je mtume anaweza kwenda kinyume na Quran?
Anaweza kukosea kama binadamu ndio maana kuna maandiko ukiyasoma sababu ya kushuka kwake kama onyo kwa mtume asifanye jambo fulani afanye jambo lingine, alikuwa binadamu huyu , mbona hata wakina Nuhu walikunywa mpaka wakaacha korodani nje nje mpaka anakuja kulaani mtoto kwa ulevi wake
 
Sasa kama Quran imesema mwanamke ndo anatakiwa kuolewa halafu wewe mwenyewe umesema binti wa miaka 9 sio mwanamke huoni kama kakiuka?
Hebu nieleweshe hapa mkuu.
Je mtu wa kike wa miaka 9 anakidhi vigezo vya kuwa Mwanamke? Kimaumbile na kiakili?
 
Je mtu wa kike wa miaka 9 anakidhi vigezo vya kuwa Mwanamke? Kimaumbile na kiakili?
Jibu swali langu mkuu kama hauna jibu kausha na sio kunuliza tena maswali ambayo ulitakiwa umuulize Mtume.
 
Back
Top Bottom