Maelekezo yote kuhusu ndoa na kuoa na wanawake yamepewa sura nzima katka Quran surat Anisaa sura ya 4, na humo imewekwa wazi anayekidhi vigezo vya kuolewa ni Mwanamke sasa mtu mwenye miaka 9 ni Mwanamke? Hapo lazima akili itumike muongozo upo tena umejitosheleza huwezi kufuata hadithi katka kuoa wakati Quran imeisha tuelekeza anaye olewa ni mtu wa namna gani watu Sunni sijui shia na madhheb ndio changamoto wametuletea hizi kwa kufosi fosi hadithi ziwe base ya hukumu badala ya Quran. Hao watu wa Iraq wako Wrong tena ni mihemko tu