Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

kwamba hutakiwi kutumia akili,duh!
 
Umeandika mambo mchanganyo kama mtu asiye na akili timamu. Na sishangai, kuamini kwenye hizo dini zenu inakubidi usiwe na akili sawasawa.

Mimi sina dini.

Uislamu na Ukristo kwangu ni upuuzi tu.
 
swahiba aliambiwa Allah kasema nikaoe katoto kako ka miaka 9 na amri ya Allah haipingwi
Hapana ile ilikuwa ndoa ya swahiba wa mtume nafikiri Abubakari, kwahiyo ilikuwa fahari kwa familia yake, amri haina maswali wewe si unaona watu wanavyo kufa Ukraine na Gaza
 
Umeandika mambo mchanganyo kama mtu asiye na akili timamu. Na sishangai, kuamini kwenye hizo dini zenu inakubidi usiwe na akili sawasawa.

Mimi sina dini.

Uislamu na Ukristo kwangu ni upuuzi tu.
Hauna dini inakuhusu nini mambo ya miaka 1400 iliyopita? Unakuwa kama tahira.
 
Sawa, wewe katombb hako katoto ka miaka 9 halafu useme hujabaka kisa Muhammad alilala na katoto ka miaka 9.
Ndiyo utapata hiyo reference mahakamani.
Unadhani kama mnavyotombana ovyo huko kwenye ukafiri. Binti huku huwa anachukuliwa sharti za wazazi wake na yeye akikubali.
Wenzetu itakuwa mnafanya mapenzi kwa kubakana kumbe.
 
Kutokuwa kwangu na dini, haimaanishi niwaache tu wenye dini mfanye ubakaji.

Mambo ya miaka 1400 iliyopita inanihusu kwa sababu ndio inafanya leo mhalalishe ubakaji.
Ndugu yako gani kabakwa? Nenda kabake mtu unayemuona mtu mzima kwako uone utakavyofanywa.
 
Elimu kwako ni tatizo ficha ujinga wako
 
Ndugu yako gani kabakwa? Nenda kabake mtu unayemuona mtu mzima kwako uone utakavyofanywa.
Kuoa au kufanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18 umebaka, maana yeye bado ana akili za kitoto, unakuwa umemrubuni kufanya kitu asichokijua.

Hivi mtoto wa miaka 9 anapoolewa, shule anakuwa amesoma saa ngapi, au kwenye uislamu mtoto wa kike hatakiwi kusoma?
 
Kila nikiwaza namna Muhammad alikuwa anagegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa napatwa na kichefuchefu natamani hata kutapika, hiyo dini yenu ni tafrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…