Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Ilikuwa ni kosa kwasababu hilo si eneo la muungano. Hata hivyo bado alikuwa waziri na mikataba inapatia kwa Rais Mtanganyika. Kwasasa ni Wazanzibar wanaoamua hatma ya Tanganyika. Kwa chuki tunazoziona kama kauli ya Ali Salehe kushangilia kufeli kwa bandari ya Bagamoyo lazima kuwe na wasi wasiMagufuli aliyempa ubunge kabisa na baadae akampa uwaziri wa mawasiliano na uchukuzi alifanya makosa?.
Hivi lini Mtanganyika asiyeweza kuwa balozi wa nyumba kumi au karani Zanzibar anaweza kuandika mkataba unaohusu Zanzibar bila Zbar kupiga mayowe!
Muhimu hapa Mbarawa ajiuzulu nafasi, ameleta tafrani kubwa sana! Watanganyika hawana imani naye
Ili kumpa rais nafasi , Mbarawa step down! Hatuna imani na wewe kabisa na tukisoma mkataba ndiyo kabisa
JokaKuu