Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar
Magufuli aliyempa ubunge kabisa na baadae akampa uwaziri wa mawasiliano na uchukuzi alifanya makosa?.
Ilikuwa ni kosa kwasababu hilo si eneo la muungano. Hata hivyo bado alikuwa waziri na mikataba inapatia kwa Rais Mtanganyika. Kwasasa ni Wazanzibar wanaoamua hatma ya Tanganyika. Kwa chuki tunazoziona kama kauli ya Ali Salehe kushangilia kufeli kwa bandari ya Bagamoyo lazima kuwe na wasi wasi

Hivi lini Mtanganyika asiyeweza kuwa balozi wa nyumba kumi au karani Zanzibar anaweza kuandika mkataba unaohusu Zanzibar bila Zbar kupiga mayowe!

Muhimu hapa Mbarawa ajiuzulu nafasi, ameleta tafrani kubwa sana! Watanganyika hawana imani naye
Ili kumpa rais nafasi , Mbarawa step down! Hatuna imani na wewe kabisa na tukisoma mkataba ndiyo kabisa

JokaKuu
 
GTs,

Kipindi Dkt Magufuli anahakikisha Tanzania inakuwa kwa ajili ya watanzania, mbowe na genge lake wakaibuka na kusema eti Dkt Magufuli siyo mtanzania, wakaenda mbali zaidi na kutaja mpaka kabila ambalo sijui walitoa wapi.

Tumeshuhudia tena Rais Dkt Samia kaja na mikakati mizuri kabisa ya kuhakikisha Tanzania inafaidika na bandari basi mbowe tena na genge lake wamekuja na kauli siyo mtanzania bali ni Mzanzibari.

Je hiki kikundi kinafaa kupewa dhamana ya kuongoza nchi kwa kauli za kibaguzi namna hii???

Nawasilisha tujadili
 
FyKO6s9X0AAw_dK.jpeg
 
GTs,

Kipindi Dkt Magufuli anahakikisha Tanzania inakuwa kwa ajili ya watanzania, mbowe na genge lake wakaibuka na kusema eti Dkt Magufuli siyo mtanzania, wakaenda mbali zaidi na kutaja mpaka kabila ambalo sijui walitoa wap...
Uslinganishe kifo na usingizi au barafu na mwamba. Magufuli alimtengeneza Samia na Samia anamharibia Magufuli. Can't you see mwanangu?
 
Achaa uchawaa mbwaa wewe utakufaa vibayaa,,mataahiraa kama wewe ndio maaduii wa nchi hii wanaosifiaa kila kitu,,Msaidienii rais kujibu hoja za msingi kwamba huo mkataba wa bandari ni WA miaka mingapii??je?unawezaa kuvunjika ,,kwa nini bandari za Zanzibar hazijajumuishwa kwenye mkataba huo au wao hawatakii maendeleo na sio kujificha kwenye kichaka Cha ubaguzii
Mmejaa chuki nyie hamna akili kabisa. Siwezi bishana na wewe.
 
Achaa uchawaa mbwaa wewe utakufaa vibayaa,,mataahiraa kama wewe ndio maaduii wa nchi hii wanaosifiaa kila kitu,,Msaidienii rais kujibu hoja za msingi kwamba huo mkataba wa bandari ni WA miaka mingapii??je?unawezaa kuvunjika ,,kwa nini bandari za Zanzibar hazijajumuishwa kwenye mkataba huo au wao hawatakii maendeleo na sio kujificha kwenye kichaka Cha ubaguzii
Kwani Zanzibar sio tanzania? Bandari sio lazima upangishe zotee.
 
Huo ni utaratibu tu, bunge limejadili kwa uwazi tatizo lipo wapi?? Hamtaki Dkt Samia ang’are??
Acheni ushamba kujikomba na uchawa. Samia siyo daktari. Kama udaktari ungemfanya mtu awe daktari, Nyerere na Mkapa wangekuwa doctor emeritus maybe lakini waliogopa aibu ya kutumia sifa za kupewa kwa heshima ambapo kimsingi rais anapewa kwa ajili ya cheo siyo yeye binafsi.
 
Acheni ushamba kujikomba na uchawa. Samia siyo daktari. Kama udaktari ungemfanya mtu awe daktari, Nyerere na Mkapa wangekuwa doctor emeritus maybe lakini waliogopa aibu ya kutumia sifa za kupewa kwa heshima ambapo kimsingi rais anapewa kwa ajili ya cheo siyo yeye binafsi.
Sasa tunamuita ni Rais Dkt Samia, wewe inakuuma nini?
 
Hizi ni biashara kubwa zinazokwenda kubadili kabisa utendaji kazi uliozoeleka bandarini. Ni mradi mkubwa unaogusa maslahi ya wadau wengi wa biashara wa ndani na wa nje.

Safari ya kwenda uchumi wa juu wa kati mwanzo wake ni kujiamini lakini watanzania tumekosa hiyo sifa tunataka kwenda mbinguni lakini kifo tunakiogopa.
Eti? Mkapa alituambia Netgroup watawekeza na kuongeza ufanisi. Tutakusanya pesa nyingi sana na Tanesco itakuwa kama ile ya south Africa. Rais Kikwete kauza Reli kwa mikataba ya hovyo kama huu. Wahindi wakang'oa chuma chakavu shirika likajifia.

Hizi hadithi za uchumi wa kupaa na yada yada tumezisikia sana

Jambo la ajabu miaka 60 hatuwezi kufanya kitu na rasilimali zetu hadi tuite watu waje halafu tutenge bakuli ili kupata kodi! Bado watu wanashangilia aibu hii! aisee

Mbarawa msaidie rais, kuna conflict of interest! huna vote of confidence kutoka kwa Watanganyika! JIUZULU

JokaKuu
 
Sasa tunamuita ni Rais Dkt Samia, wewe inakuuma nini?
Hainiumi chochote. Mnajidanganya na kumdanganya. Hata naye anajua siyo daktari. Hata digrii moja hana atakuwaje daktari au ni yale ya akina Msukuma na Masaburi na Tale na Gwajima? Ni aibu rais kujiweka au kuwekwa kwenye kundi hili la vihiyo.
 
Huo ni utaratibu tu, bunge limejadili kwa uwazi tatizo lipo wapi?? Hamtaki Dkt Samia ang’are

Huo ni utaratibu tu, bunge limejadili kwa uwazi tatizo lipo wapi?? Hamtaki Dkt Samia ang’are??
Hakuna watu wabayaa saana kwa rais na wanaopaswa kukemewaa kwa nguvu zote kama machawaa na ndio maaduii wa kwanza wa rais,kipindii Cha magufulii machawaa hawa hawaa walimsifiaa saana alipoondoka wakaanza kumpondaa tena,halafu saivii wamehamia uchawa wao kwa mama samia na ndio wanaomkwamishaa,,hakuna mtu anaekataaa uwekezajiii wanachokataaa watu ni MKATABA MBOVU kuzidii ule wa CHIEF MANGUGO,, kwanii Kuna shidaa ganii mkataba ukirekebishwaa
 
Hainiumi chochote. Mnajidanganya na kumdanganya. Hata naye anajua siyo daktari. Hata digrii moja hana atakuwaje daktari au ni yale ya akina Msukuma na Masaburi na Tale na Gwajima? Ni aibu rais kujiweka au kuwekwa kwenye kundi hili la vihiyo.
Rais Dkt Samia ana equivalent na degree ya utawala. Na yeye pia ni Dakitari na watanzania tunampenda 100%
 
..Tunahitaji serikali ya TANGANYIKA.

..Kwa hali ilivyo sasa hivi Watanganyika hatuna mtetezi ktk serikali ya muungano...
Lakini pia Rais kaonyesha mambo mengi yanayokera. Kamteua Shaka Hamdu kuwa DC Kilosa
Hivi nani anaweza kuwa sheha Unguja au Pemba kwa jinsi wanavyochukia Watanganyika.

Tanganyika haina mtetezi , inagawana na Zanzibar sawa wenyewe wakisema 'Mbuzi '

Wazanzibar wanalalamika mambo ya muungano kuongezwa halafu wao wamejazwa kwenye taasisi hata zisizo za muungano. Kazi hii kaifanya Samia kiasi Watanganyika wanamuona kama Rais wa Zanzibar na si muungano

Hili la Mbarawa ndilo limetia kinyaa kabisa. Ili kulinda muungano Mbarawa AJIUZULU haraka
Mbarawa amemuweka Rais katika mazingira magumu licha ya ukweli kuwa Rais amejijengea tatizo

Kimya cha Watanganyika alichukulia hawajui. Hii document ya bandari imevujishwa na Wataganyika baada ya kuvumilia mengi sana. Hili jambo linamweleza Samia , hali si shwari!

Sasa hivi nguvu ya Katiba mpya haizuliki tena, hata wanaompigia makofi ni kwa ajili ya mkate.
 
Pamoja na Bunge kupitisha Azimio la kubariki Makubaliano ya Uwekezaji kwenye Bandari zetu kati ya Nchi yetu na ile ya Falme za Kiarabu,Mimi Nina maswali machache ya nyongeza.

1.Kama ni kweli Makubaliano haya ni kati ya Nchi na Nchi,kwa nini kwa upande wa Tz aliyesaini ni waziri wa Uchukuzi na si Raisi au Mwanasheria mkuu wa Serikali.

2. Kama Wabunge ni wawakilisbi wa Wananchi, je wametumwa na nani kupitisha Azimio hili ilihali Wananchi wanaodai kuwawakilisha hawajawashirikisha kikamilifu?

3.Kama ni kweli Makubaliano yaliyopitishwa na Bunge kwa niaba ya waTz ndio Msingi wa Mikataba ya Uwekezaji tarajiwa itakayofuata,je itawezekana vipengele vitakavyokuwamo kwenye hiyo Mikataba kukinzana na vipengele vilivyomo kwenye makubaliano haya yaliyoazimiwa na Bunge?

4.Kuna uwezekano wote wa Kubadili chochote kilichomo kwenye Makubaliano haya ilihali yameshasainiwa na Serikali zote mbili na kuridhiwa na Bunge?

Naomba majibu ya kina kabla sijaunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom