Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Mawaziri wamekuwa wawakilishi wa mikoa tangu lini???

Kati ya hao mnaowaita wapwani wameongezeka wangapi wapya hata ionekane kuna mikoa wamenyimwa mawaziri

Akili za ovyo sana hizi baada ya kulalamika kukosekanwa kwa maendeleo mnalalamika mgao wa mawaziri
 
Shida ni je hao viongozi wanaweza kumudu tanzania ni yetu sote
nasubiri mlalamishi mzee mohammed saidi aseme tena waislanu wananyanyaswa
 
Regional Representation ni tunu adimu aliyoitumia baba wa Taifa kujenga umoja na mshikamano.

Tusipo enzi hilo hali ya South Sudan itatunyemelea
Lete uthibitisho kama alitumia regional representation, otherwise hiyo ni stori tu
 
Hata Stagomena Tax ni wa kwanza kwa hiyo sukuma land ipo sana tu!
Hilo jina tu Halima reference Kanda ya Ziwa. Kuzaliwa Mwanza na Wazazi wapita njia hakukufanyi mwenyeji. Afu huyu si chotala wa Kizungu
 
Umeandikwa wapi huo utaratibu. Tubandikie hapa tuuone.
Mambo mengine ni busara tu; mfano tunavyobadilisha wagombea wa urais, mkristu, muislam, haijaandikwa mahali Ila ni busara hekima za waliojielewa.
 
Wakati huo mkoa wa Mara hamna hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…