Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Punguza stress mkuu 😁😁😁Soma comment zako ujione ulivyo mweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza stress mkuu 😁😁😁Soma comment zako ujione ulivyo mweupe
Hata Stagomena Tax ni wa kwanza kwa hiyo sukuma land ipo sana tu!Hao wote ni mikoa tofauti. Wasukuma kuwa 4 Mawaziri ni sawa Sukumaland inamikoa mitano so ni eneo kubwa na watu wengi.
Punguza stress mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
aKama wana uwezo na ni wa Tanzania ni sawa, tofauti na hapo tusiingie kwenye siasa za kidini na ukabila.
Sisi sote ni wa Tanzania, kikubwa tuangalie uwezo wa mtu na nafasi aliyowekwa, kuhoji wanatokea wapi ni kama uchochezi.
Mbeya ni ya wapinzani,hawaaminiki.Ulitaka na waziri kutoka Mbeya?
Heri yenu nyinyi kibaigwa wana ccm mnao aminikaNi hoj
a
Mbeya ni ya wapinzani,hawaaminiki.
🤣😂🤣🤣🤣 Mkuu stress sio nzuriJenga hoja acha tabia za porini
Lete uthibitisho kama alitumia regional representation, otherwise hiyo ni stori tuRegional Representation ni tunu adimu aliyoitumia baba wa Taifa kujenga umoja na mshikamano.
Tusipo enzi hilo hali ya South Sudan itatunyemelea
Hilo jina tu Halima reference Kanda ya Ziwa. Kuzaliwa Mwanza na Wazazi wapita njia hakukufanyi mwenyeji. Afu huyu si chotala wa KizunguHata Stagomena Tax ni wa kwanza kwa hiyo sukuma land ipo sana tu!
Mambo mengine ni busara tu; mfano tunavyobadilisha wagombea wa urais, mkristu, muislam, haijaandikwa mahali Ila ni busara hekima za waliojielewa.Umeandikwa wapi huo utaratibu. Tubandikie hapa tuuone.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu stress sio nzuri
Nina furahia maisha mkuu 😁😁😁 sio stressKujikesha km wewe ni sign ya stres
Wakati huo mkoa wa Mara hamna hata mmoja1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Nina furahia maisha mkuu [emoji16][emoji16][emoji16] sio stress
🤣🤣🤣🤣🤣Kujichekesha tena kwa mwaume ni sign ya stress
Jumanne Sagini anatoka wapi?Wakati huo mkoa wa Mara hamna hata mmoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]