Tozo tunakusanya mwaka huu tuongeze mishahara ya watumishiAirport ipo singida? au mnatukomoa na tozo tu
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Mlivyo wataja akina Ridhiwan, Kipanga na Ulega mlikuwa mnajua kwamba ni Mawaziri? Hawa nao ni manaibu ila kwenye hesabu mumewaweka lakini manaibu wengine mnawakataa kwa kuwa siyo Members of the Cabinet !!Uliyowataja ni manaibu wote. Manaibu siyo wajumbe wa mabaraza ya Mawaziri
Dar ina mawaziri wangapi?Ukiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%
Kanda ya Ziwa ina mikoa 3 kwenye top 10 lakini mawaziri kamili 2 ama 3, pwani ina mawaziri 5 wakati hata top 15 haimo.
Watu wa kanda ya ziwa ni kumkataa huyu mama asubuhi.
Huyo nadhani anatoka South Sudan, kwa mujibu wao!!Jumanne Sagini anatoka wapi?
Tatizo wakristo ndio waliojaa rohombaya,wizi na majungu.......hata Magufuli alikua anawatengua mawaziri wakrito sana kuliko waislamSijajua hasa kigezo cha kuteua mawaziri ni nini lakini kuna mikoa haina waziri hata mmoja na mikoa mingine mawaziri 5.
Kwa mfano, mkoa wa Tanga ina mawaziri 3, Pwani ina mawaziri 5 huku mara ikiwa na Naibu waziri mmoja.
Angalia mfano hapa Pwani.
1. Dr. Jaffo..kisarawe
2. Mchengelwa..Rufiji
3. Ridhiwani..Chalinze
4. Ulega..mkuranga
5.kipanga..mafia
Mwanza ni mkoa wa pili kwa pato la Taifa Tanzania, una waziri mmoja wa Ardhi. Je Pwani ni bora sana kuliko Mwanza?
Ukija kwenye utenguliwaji, wote wanaotenguliwa ni wafuasi wa Issa Bim Mariam, Chamriho, Kalemani, Ndungulile, Job Ndugai, Waitara, Lukuvi, Mkumbo, Mwambe, Prof Majalala na wanaoteuliwa wote ni wa Uarabuni.
Ama mama amekuja kuhakikisha watu wa upande wake wanapendelewa?
Mukiambiwa katiba mpya hamutaki,......nduli JPM alivojenga uwanja wa Chato kijijini kwake mulikenua meno[emoji16][emoji16][emoji16]Tanzania ina mikoa karibu 30, mawaziri ni kama 60. Mkoa mmoja kutoa 5 na mingine kuambulia 0, kilio cha ubaguzi, udini, ukanda, ukabila kitasikika. Na hasa katika nchi ambayo bunge limefunikwa na serikali, na kiongozi serikalini ana uamuzi wa kuhamisha fungu la mradi wa maendeleo toka eneo moja kwenda eneo jingine.
Mliokua mnashangiria wasukuma feki kujazwa bungeni na serikalini ndio leo hii mnapanua midomo.. hameni Nchi,Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Hao mawaziri wote wa pwani,wanne aliwateua Magufuli,mmoja Samia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].....hata hivo si tumekubaliana watu w Pwani hawajasoma?Wangekua Kanda ya Ziwa Mkoa mmoja Mawaziri wawili kungenuka hapa. Mfano Mkoa wa Mara hakuna Waziri tangu 2020 siyo issue. Mkoa wa simiyu 1 Shy hakuna Kuna naibu, Mwanza wamepata Waziri kamili awamu hii 1. Mkoa wa Geita 1 Waziri.
Pwani 5
Tanga 3.
Assalamualaikum
Hao mawaziri 5,wanne alianza nao JPM ,Samia kamalizia na Ridhiwani Kikwete.Magufulia hakuawahi kuweka Mawaziri hata 3 Mkoa mmoja taja mfano hapa
Uwakilishi kila mkoa unamaana sana wewe unangalia upande mmojaHiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.
Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.
Mawaziri 5 wa pwani,JPM alianza na 3,mama kamalizia na mmoja.Hivyo unamaanisha mikoa mingine kama Mara, Shy haina watu wa kuwa Mawaziri ila pwani na Tanga ndiyo wanasifa
Kinachoshangaza Sukuma GANG wamejitoa akili kabisa. Kama sio wao waliokua wanashangilia ubaguzi wa Magufuli wa kikanda. Wahame nchi.Kuimba kupokezana , tulizeni mishono, mlianza nyie nao wanamaliza sasa hivi.
Kama mbwai mbwai tu
Ila wao ndio wanaongeza awamu zao kupandisha madaraja na kuongeza mishahara[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Zaramo gang Mambo magumu hawawezi Labda kukopa na kutembeza na umbeya pamoja na taarabu.
Mzigo mzito mpe myamwezi au Sukumagang.
We umeona nani analalama?,si ni nyie majinga ya kusukuma,kuna wengine?Kama haina faida, waachie basi.
Mawaziri watano.Nimeshangaa sana.
JPM aliteua Mawaziri wawilitu toka Mkoa wake Geita. Mh Biteko na Mhe Kalemani. Lakini ilikua Nongwa maneno yalisemwa kua anapendelea kwao.
Leo Samia ambaye iko wazi ni timu ya Kikwete kateua Mawaziri watano toka Mkoa wa pwani kwao Bw Prof Kikwete na Mawaziri wengine 3 toka Mkoa jirani wa Tanga sioni kelele yoyote.
Binafsi sijaelewa shida ni Nini? Ni chuki dhidi ya Wasukuma ama dhidi ya Magufuli ama dhidi ya Kanda ya Ziwa nzima.
Asante.
Katiba inasema mawaziri watachaguliwa kutokana na Pato la Taifa?[emoji16][emoji16]Ukiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%
Kanda ya Ziwa ina mikoa 3 kwenye top 10 lakini mawaziri kamili 2 ama 3, pwani ina mawaziri 5 wakati hata top 15 haimo.
Watu wa kanda ya ziwa ni kumkataa huyu mama asubuhi.
Watu wa pwani wavivu hawajasoma[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3].Kaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....
Wamajisahaulisha kabisa......,[emoji16][emoji16]Mliokua mnashangiria wasukuma feki kujazwa bungeni na serikalini ndio leo hii mnapanua midomo.. hameni Nchi,
mmekosa aibu kabisa sukuma GANG.