Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?

Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?

Kama ilivyokuwa kwa akina:

Dr. Dotto Biteko
Mwita Lwaitama
Bwana Kalemani
Bwana Katambi
Bwana Bashing
Na wote wale wengine wenye hadhi za namna hiyo awamu ile, ieleweke:

"Kulia au kucheka ni kwa kupokezana."
 
Uliyowataja ni manaibu wote. Manaibu siyo wajumbe wa mabaraza ya Mawaziri
Mlivyo wataja akina Ridhiwan, Kipanga na Ulega mlikuwa mnajua kwamba ni Mawaziri? Hawa nao ni manaibu ila kwenye hesabu mumewaweka lakini manaibu wengine mnawakataa kwa kuwa siyo Members of the Cabinet !!
 
Ukiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%

Kanda ya Ziwa ina mikoa 3 kwenye top 10 lakini mawaziri kamili 2 ama 3, pwani ina mawaziri 5 wakati hata top 15 haimo.

Watu wa kanda ya ziwa ni kumkataa huyu mama asubuhi.
Dar ina mawaziri wangapi?
 
Sawa tu wapwani ndio wenye CCM yao, Waliasisi. Inapendeza kuona historia imejirudia. Tatizo la sukuma GANG hamuijui CCM na asili yake.
 
Sijajua hasa kigezo cha kuteua mawaziri ni nini lakini kuna mikoa haina waziri hata mmoja na mikoa mingine mawaziri 5.

Kwa mfano, mkoa wa Tanga ina mawaziri 3, Pwani ina mawaziri 5 huku mara ikiwa na Naibu waziri mmoja.

Angalia mfano hapa Pwani.
1. Dr. Jaffo..kisarawe
2. Mchengelwa..Rufiji
3. Ridhiwani..Chalinze
4. Ulega..mkuranga
5.kipanga..mafia

Mwanza ni mkoa wa pili kwa pato la Taifa Tanzania, una waziri mmoja wa Ardhi. Je Pwani ni bora sana kuliko Mwanza?

Ukija kwenye utenguliwaji, wote wanaotenguliwa ni wafuasi wa Issa Bim Mariam, Chamriho, Kalemani, Ndungulile, Job Ndugai, Waitara, Lukuvi, Mkumbo, Mwambe, Prof Majalala na wanaoteuliwa wote ni wa Uarabuni.

Ama mama amekuja kuhakikisha watu wa upande wake wanapendelewa?
Tatizo wakristo ndio waliojaa rohombaya,wizi na majungu.......hata Magufuli alikua anawatengua mawaziri wakrito sana kuliko waislam
 
Tanzania ina mikoa karibu 30, mawaziri ni kama 60. Mkoa mmoja kutoa 5 na mingine kuambulia 0, kilio cha ubaguzi, udini, ukanda, ukabila kitasikika. Na hasa katika nchi ambayo bunge limefunikwa na serikali, na kiongozi serikalini ana uamuzi wa kuhamisha fungu la mradi wa maendeleo toka eneo moja kwenda eneo jingine.
Mukiambiwa katiba mpya hamutaki,......nduli JPM alivojenga uwanja wa Chato kijijini kwake mulikenua meno[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Mliokua mnashangiria wasukuma feki kujazwa bungeni na serikalini ndio leo hii mnapanua midomo.. hameni Nchi,
mmekosa aibu kabisa sukuma GANG.
 
Wangekua Kanda ya Ziwa Mkoa mmoja Mawaziri wawili kungenuka hapa. Mfano Mkoa wa Mara hakuna Waziri tangu 2020 siyo issue. Mkoa wa simiyu 1 Shy hakuna Kuna naibu, Mwanza wamepata Waziri kamili awamu hii 1. Mkoa wa Geita 1 Waziri.

Pwani 5
Tanga 3.

Assalamualaikum
Hao mawaziri wote wa pwani,wanne aliwateua Magufuli,mmoja Samia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].....hata hivo si tumekubaliana watu w Pwani hawajasoma?
 
Magufulia hakuawahi kuweka Mawaziri hata 3 Mkoa mmoja taja mfano hapa
Hao mawaziri 5,wanne alianza nao JPM ,Samia kamalizia na Ridhiwani Kikwete.
Hata hivo si tulikubaliana watu wa pwani hawajasoma?[emoji16][emoji16][emoji3]
 
Hiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.

Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.
Uwakilishi kila mkoa unamaana sana wewe unangalia upande mmoja
 
Hivyo unamaanisha mikoa mingine kama Mara, Shy haina watu wa kuwa Mawaziri ila pwani na Tanga ndiyo wanasifa
Mawaziri 5 wa pwani,JPM alianza na 3,mama kamalizia na mmoja.
Mchengerwa tumeona utendaji wake,bado Ridhiwani
Hata hivo watu wa pwani si tumekubaliana hawajaenda shule?[emoji16][emoji3][emoji3]
 
Kuimba kupokezana , tulizeni mishono, mlianza nyie nao wanamaliza sasa hivi.
Kama mbwai mbwai tu
Kinachoshangaza Sukuma GANG wamejitoa akili kabisa. Kama sio wao waliokua wanashangilia ubaguzi wa Magufuli wa kikanda. Wahame nchi.
 
Zaramo gang Mambo magumu hawawezi Labda kukopa na kutembeza na umbeya pamoja na taarabu.
Mzigo mzito mpe myamwezi au Sukumagang.
Ila wao ndio wanaongeza awamu zao kupandisha madaraja na kuongeza mishahara[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila si tumekubaliana kua hawajaenda shule?
 
Nimeshangaa sana.

JPM aliteua Mawaziri wawilitu toka Mkoa wake Geita. Mh Biteko na Mhe Kalemani. Lakini ilikua Nongwa maneno yalisemwa kua anapendelea kwao.

Leo Samia ambaye iko wazi ni timu ya Kikwete kateua Mawaziri watano toka Mkoa wa pwani kwao Bw Prof Kikwete na Mawaziri wengine 3 toka Mkoa jirani wa Tanga sioni kelele yoyote.

Binafsi sijaelewa shida ni Nini? Ni chuki dhidi ya Wasukuma ama dhidi ya Magufuli ama dhidi ya Kanda ya Ziwa nzima.

Asante.
Mawaziri watano.
Watatu alianza nao JPM,mmoja mchengerwa tumeona kazi zake,Ridhiwani waziri mpya..
Hata hivo watu wa pwani hawajasoma,ni wavivu kama nini[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%

Kanda ya Ziwa ina mikoa 3 kwenye top 10 lakini mawaziri kamili 2 ama 3, pwani ina mawaziri 5 wakati hata top 15 haimo.

Watu wa kanda ya ziwa ni kumkataa huyu mama asubuhi.
Katiba inasema mawaziri watachaguliwa kutokana na Pato la Taifa?[emoji16][emoji16]
Ninyi so hamutaki katiba mpya ninyi
Hata hivo watu wa pwani wavivu na hawajasoma[emoji3][emoji16][emoji16]
 
Kaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....
Watu wa pwani wavivu hawajasoma[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3].
Wakae kwa kutulia ngoma ichezwe vizuri
 
Back
Top Bottom