CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,149
Wooote mnaomnanga marehemu mna michepuko kila mahali, munazini kila kukicha, si bora aliyehalalisha na kuzaa watoto wake ambao hajamuomba yeyote Kati yetu amsaidie kulea! Kumlaumu ni ushenzi kabisaaaa!Mungu hafanyi biashara kichaa kama hizo. One husband one wife ndo mpango mzima. Zaidi ya hapo endelea na umalaya wako. You have a free moral, uchaguzi ni wako.
Hv kama una mke wako 1 hiyo nyeto inakujaje hapo? Acha kutetea uzinzi na umalaya. Ukikomaa na 1+, just get prepared on the judgment day.
We umechanganua wale 3 wa daktari jirani.Kuna mzee alikuwa Jirani yetu alikuwa daktari, (kwa sasa ni msataafu) alikuwa anamuona mzee wetu kuwa uncivilized kwa kuwa sisi tulikuwa 17 yeye alikuwa na watoto 3!
Katika watatu wakike 2 wamezalia nyumbani na wanasaidiana kula pension na mzee wao, wa kiume mmoja alimaliza degree ya community development, hajawahi kuajiriwa!
Wakati huo mzee alikuwa anatusisiza kufanya bidii kwenye kila jambo, shuleni. Shambani, Kuchunga, kulisha kuku nyumbani, kukamua maziwa, zote tulifanya wenyewe, wenzetu walikuwa wanapanda magari ya njano kwenda na kurudi shule!
Tusikariri maisha, watoto wengi au wachache sio kesi, ugumu wa maisha yao utategemea na namna unavyowalea!
Okay, wewe ambaye hakuna watoto 15 kama yeye, una ndege ngapi mpaka sasa?Sawa ni kawaida lakini Maendeleo kwenye hizo jamii ni sifuri zenye masikio! Hakuna elimu, hakuna nyumba, hakuna afya ni kuhangaika na ng😱mbe from one place to another.
Nakumbuka Rais mstaafu JK wakti wake aliwai kusema hawa Wafugaji wapewe elimu! Maana unakuta NG'OMBE WAMEKONDA NA MFUGAJI AMEKONDA......Who is benefiting who? Ngombe hawamsaidii Mfungaji na ng'ombe nao hawapati msaada wowote toka kwa mfugaji woote ni choka mbaya.
Siyo lazima uwe kama Bill au Obama, ishi kadri unavyowezaKwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Una uhakika Mungu ndiye aliyeiandika?Sheria ya ndoa ya Mungu ni MME MMOJA(1) na MKE MMOJA(1). Zaidi ya mke 1 ni UZINZI NA UMALAYA TU.
Serikali yetu kichini chini wanalia .Juzi makamu wa Rais anasema population 70m walipa kodi 2m hakuna uwiano na serikali uduma zinakata budget ya serikali haizunguki ,madeni lukuki .Population haiendani na ukuaji wa uchumi kwa kuwa wanaume ni kufyatua watoto tu na sio kufanya kazi.China wali restrict wakati hule maana population was getting so high ikawa inaelemea serikali kutoa huduma. Baadae walikuja allow watoto wawili per family
Sijui kama serikal yetu inaliona hili, haswa kwa familia masikin lakin watu bado wanafumua
Ni mwanzo tu, kuna bomu lita burst. Tutakuwa kama nigeria. Mwishowe gov itashindwa ku handle huduma, hawatosema kama kawaida. Ila watapigwa propaganda, watapigwa siasa ili kuuficha ukweliSerikali yetu kichini chini wanalia .Juzi makamu wa Rais anasema population 70m walipa kodi 2m hakuna uwiano na serikali uduma zinakata budget ya serikali haizunguki ,madeni lukuki .Population haiendani na ukuaji wa uchumi kwa kuwa wanaume ni kufyatua watoto tu na sio kufanya kazi.
Fyatua akili itakaa sawa tuMmoja tu ananitoa mvi,halafu kuna mindugu mijinga inaniambia we fyatua tu eti ukoo wetu mdogo.Hawanipati.
Sasa kitu kimezima ghafla. Hao watoto wa mwisho mwisho wata pata shida kama wa kwetu.Hao Wana mishahara mikubwa asikuambie mtu, pia Rushwa na marupurupu.
I wont take it like that,
Ndani ya miaka mitano ijayo kila alichonacho kitakuwa 0. Maana ukiwa na watoto wengi kama hao ni rahisi sana watu kuja kujichukulia mali.Bosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
Kulea sio hela tu,kuna kuwa na muda na watoto kuwapa misingi ya maisha n.kI wont take it like that, kama alikuwa na uwezo wa kuwale na kuhudumia. Why asizae?
Kama uchumi wako unahili large numbers , it okay
YeesKwamba nae alikuwa kaingia mkenfe wa kuwasimesha watoto kingereza kwa bei gali?
Yes mkuuu mambo ya vidonge vya uzazi WA mpango noma nomaHakuna kuchoka hapo Mama zetu wamezaa watoto 8 na hawachaka ila sikuhizi wanawake wanazaa watoto 2 wanakua wamechoka wanakua hawana utofauti na Mama mwenye watoto 6 kimuonekano
Hiyo safi,xa unakua na watoto wawili umekua kifaruBosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
NakaziaSafi sana.
Hela yake aliyotafuta kwa jasho ipate warithi wa kugawana.
Sio mtu unakuwa tajiri halafu unamuachia mali mke mmoja na mabinti wawili tu
Na bado alikuwa na nguvuBosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
we chini hupendi?Duuh kumbe marehemu alikua anapenda chini sana